#COVID19 Mbowe awataka wananchi wasihudhurie msiba wa Kaka yake kuepuka maambukizi ya COVID-19

Juzi alikuwa anafanya mikutano anashikana mikono kwenye shwrehe ya bawacha leo anasema tena wasifike kwenye msiba coz ya coranona mbona hii ni double standard
 
Isaya 26:20 Njooni, watu wangu, ingia wewe ndani ya vyumba vyako, ukafunge mlango nyuma yako ujifiche kitambo kidogo, mpaka ghadhabu hii itakapopita.
Serikali ya CCM ipelekwe mahakamani haraka iwezekanavyo wamesababisha maelfu ya watu Kufa kwa ujinga wao..hata biblia ilituambia janga Kama hilo likitokea mjifungie ndani..
 
Wakudadavua utakuta wewe nae hapo Lumumba unaaminika hata kupewa u naibu waziri
 
Huo ukwaju endelea kuufaidi kamanda
Ukwaju wake huupati maana unautafuta kwa udi na uvumba.
Hivi Samia amekusahau? Làbda kwenye uDED, endelea kumkandia Mbowe làbda atakusikia lkn kumbuka huyu siyo Jiwe, hataki kukanyaga watu
 
Mbowe anafikiri watanzania wa sasa ni sawa na wale wa miaka ya 80, ambapo watu walikuwa wakijua au wakipata taarifa kupitia redio Tanzania tu. Jamaa anawadharau sana watanzania.
RTD...
 
Lakini kaamuru wahamiae Usukumani huko kama watakufa ni sawa tu. Siku zote kwao anakuenzi abakutunza, Usukumani halali yao..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…