Mbowe azuiliwa na Mahakama kwenda Marekani licha ya kuruhusiwa na Spika Ndugai

Utekelezaji maagizo maalum; hongera @ Simba.... ujaji utapatikana tu maana kazi inaomekana waziwazi
 
Ina maana huoni kama ile ni mihimili miwili tofauti. Au hujui kama Mbowe anakesi mahakamani??

Siku hizi JF imekosa great thinkers ndio maana hakuna nyuzi za maana.

Kumejaa watoto wa form Four tu humu ndani.
Si vema kusema hivyo, Kwan waziri mkuu alisema nchi hii haiongozwi kibabe, sasa kakosa nini hadi azuiliwe kwenda U.S.

Kwani yeye ni BASHITE hadi azuiliwe kwenda kule? Waache mambo ya kishamba bhana.

Watu wana mishe zao kule, acha wajichanganye

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeambiwa ni safari ya kibiashara siyo kisiasa bwashee!

Ndipo hapo wengi tunashangaa hakimu wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkuu Kisutu kupuuza hukumu ya Jaji Sam Rumanyika wa Mahakama Kuu kuwa watuhumiwa wana uhuru chini ya dhamana kusafiri na kufanya shughuli zao maana bado hawajahukumiwa na kuonekana wana hatia ktk kesi iliyofunguliwa.

Rejea March 7, 2019 : Hukumu ya Jaji Sam Rumanyika juu ya haki za watuhumiwa wenye dhamana
Jaji Rumanyika katika hukumu hiyo aliamuru waachiwe huru na dhamana yao iendelee wakati wakiendelea na kesi yao ya msingi baada ya kujiridhisha kuwa Mahakama ya Kisutu haikuzingatia matakwa ya sheria kuwafutia dhamana huku akisisitiza umuhimu wa dhamana kwa mshtakiwa.

Pia, aliainisha mambo tisa ambayo mahakimu na majaji wanapaswa kuyazingatia wanaposhughulikia dhamana, iwe ni kumpa, kumnyima au kumfutia mshtakiwa.

Akizungumzia hukumu hiyo, Wakili wa kujitegemea, Abdon Rwegasira alisema ni ya kihistoria na imeweka mwongozo wa msingi kwa mahakama za chini kuhusu dhamana.

Wakili Rwegasira alisema ingawa hajawahi kufanya kazi na Jaji Rumanyika, lakini anamfahamu kupitia kazi zake anazozifanya kila siku.

โ€œKwa hukumu hii, ametoa uamuzi ambao ninadhani ni wa haki na utakuwa mwongozo kwa mahakama za chini,โ€ alisema Rwegasira.

Wakili Juma Nassoro pamoja na Wakili Daimu Halfani walikumbuka wakati Jaji Rumanyika akiwa Jaji Mfawidhi Tabora alivyokusanya kesi nyingi za mauaji katika mahakama za chini zilizokuwa zimekaa miaka mingi zikiahirishwa kwa sababu ya upelelezi kutokukamilika, akazipitia na kuzifuta zote na washtakiwa wakaachiwa.

โ€œJapo DPP (Mkurugenzi wa Mashtaka) alikata rufaa Mahakama ya Rufani na Mahakama ya Rufani ikaufuta uamuzi wake huo, lakini yeye kama Jaji wa Mahakama Kuu alikuwa amefanya kazi yake.

Wakili Flaviana Charles alisisitiza hukumu hiyo imeweka msingi wa Katiba kuwa mtu hatachukuliwa kama mhalifu hadi kosa lake litakapothibitika na Mahakama ikamtia hatiani.

Wakili Nyaronyo Kicheere alisema hukumu hiyo inatakiwa ifuatwe na Mahakama Kuu yenyewe pamoja na mahakama zote za chini
โ€œSisi mawakili tunaifurahia sana kwa sababu imeweka msimamo ambao hautakiukwa na Mahakama za chini. Sababu alizozitoa ziko kama tisa hivi, zitawaongoza mahakimu katika kutoa au kunyima dhamana,โ€ alisema Kicheere.

Mwenyekiti Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Mkoa wa Kilimanjaro, David Shilatu alisema hukumu hiyo ya haina jipya kwa kuwa huo ndiyo msimamo wa sheria na Katiba.

โ€œKilichofurahisha katika hukumu hii ni hizo kanuni ambazo Jaji Rumanyika amezi โ€˜driveโ€™, ambazo ni wazi kwamba sasa hivi zinakuwa sheria kwa Mahakama zote za chini kwenda mbele juu ya namna gani suala la dhamana linapaswa kushughulikiwa kwa makosa yote yenye kudhaminika,โ€ alisema.

Nyongeza na Daniel Mjema na Elias Msuya

Jaji Rumanyika alivyowarudishia dhamana Mbowe, Matiko - Mwananchi

7 Mar 2019 ยท Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe baada ya kuachiwa huru ... yao wabunge hao imetolewa na Jaji Sam Rumanyika ...
Source : Wachambua hukumu iliyowaachia huru Mbowe, Matiko
 
Ina maana huoni kama ile ni mihimili miwili tofauti. Au hujui kama Mbowe anakesi mahakamani??

Siku hizi JF imekosa great thinkers ndio maana hakuna nyuzi za maana.

Kumejaa watoto wa form Four tu humu ndani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mpaka wasifie Meko ndio uone mada za maana !!, wakiongea negative zinakuwa sio za maana ?!
 
Kwahiyo umekubali mnakimbilia huko na kusema hamuwezi kurudi kwenu.
Huku mkiacha watoto wa walala hoi wakiwa hawana shule wa vifaa vya shule walivyokuwa wanatarijia only kwasababu ya kuzuia hizo fedha.
Wakiwapa hela zao muongezee kwenye bajeti yenu wanageuka na kuitwa wahisani !!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani ingekuwa vizuri tufikirie nje ya box kuliko kuwawaza wakina Magu na Mbowe. Unadhani tutawasaidia wanachi wa Tanzania kwa kuzuia hela za elimu??
Mpaka wasifie Meko ndio uone mada za maana !!, wakiongea negative zinakuwa sio za maana ?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu kumbe wanaipenda Marekani eeh? ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

USA baby ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ
WEWE MWENYEWE UNAIPENDA UNA RINGIA USA KILA SIKU. MPAKA UNABOA. WEWE PIA NI BONGE LA MSHAMBA KAMA MAGUFURI. UNGEJUA KUNA WATU WENGI SANA HUMU NDANI WANAISHI USA NA WAME NYAMAZA KIMYA. USHAMBA NI MZIGO
 
WEWE MWENYEWE UNAIPENDA UNA RINGIA USA KILA SIKU. MPAKA UNABOA. WEWE PIA NI BONGE LA MSHAMBA KAMA MAGUFURI. UNGEJUA KUNA WATU WENGI SANA HUMU NDANI WANAISHI USA NA WAME NYAMAZA KIMYA. USHAMBA NI MZIGO

Of course naipenda Marekani.

Na uamuzi wa kusema naipenda si ushamba.

Kama kuna ambao hawasemi, huo ni uamuzi wao.

Mshamba ni wewe unayeona ni ushamba mtu akisema yupo Marekani.

Kama nakuboa, huwezi kunifanya chochote. Kama unaweza, njoo tuzipige ngumi.

USA baby ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ
 
MAhakimu wapo chini ya Magufuli.

Wanapewa maagizo
 
Mahakama Kuu Tanzania : Jaji ashangazwa na kucheleweshwa kwa dhamana ya Mbowe na Matiko, awapa dhamana
Machi 07, 2019

Picha : Freeman Mbowe na Ester Matiku

Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, Alhamisi imetengua uamuzi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wa kuwafutia dhamana Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe na Mbunge wa Tarime Mjini wa chama hicho, Ester Matiko.

Mahakama hiyo imekubali maombi yao ya dhamana ikiwa ni pamoja na kuripoti mahakamani mara moja kwa mwezi badala ya polisi kila wiki, imeripoti Global Publishers nchini Tanzania.

โ€œHii ni rufaa mojawapo ambayo sijawahi kuiona katika kazi yangu ya ujaji. Maofisa wa mahakama kama mahakimu wanapaswa kutumia utashi wao kuamua haki za watu kwa kuzingatia haki maana ni hatari sana kumnyima dhamana mtu bila sababu za msingi,โ€ alisema Jaji Sam Rumanyika.

โ€œKuanzia sasa, naagiza Mbowe na Matiko waachiwe huru mara moja na watatakiwa kuripoti mahakamani mara moja kwa mwezi badala ya polisi kila wiki," ameongeza.

Wakati wa hukumu hiyo iliyotolewa na Jaji Rumanyika, ulinzi mahakamani hapo ulikuwa umeimarishwa kwa askari wengi waliotanda sehemu mbalimbali.

Jaji Wilbard Mashauri akiwa Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama ya Kisutu, Novemba 23, 2018, alifuta dhamana ya Mbowe na Matiko kutokana na kukiuka masharti ya dhamana.

Kufuatia hilo washtakiwa walikata rufaa katika Mahakama Kuu ya Tanzania kupinga uamuzi wa Mahakama ya Kisutu kufuta dhamana yao ambapo rufani yao ilipangwa kusikilizwa na Jaji Rumanyika.

Hata hivyo, baada ya Mahakama Kuu chini ya Jaji Sam Rumanyika kusikiliza mapingamizi ya pande zote, iliamua kuanza usikilizaji wa rufaa hiyo.

Upande wa serikali ukiongozwa na Wakili Mkuu wa Serikali, Paul Kadushi, ulidai kuwa wamekata rufaa katika Mahakama ya Rufani kupinga maamuzi yaliyotolewa na Mahakama Kuu.

Hata hivyo, Machi 1, 2019, Mahakama ya Rufaa chini ya jopo la majaji watatu: Stella Mugasha, Dk Gerald Ndika na Mwanaisha Kwariko, ilitupilia mbali pingamizi hilo la serikali na kuamuru kesi hiyo irudishwe Mahakama Kuu kwa ajili ya kuendelea kusikilizwa.
Imetayarishwa na Mwandishi wetu, Washington, DC.

source: Mahakama Kuu Tanzania : Jaji ashangazwa na kucheleweshwa kwa dhamana ya Mbowe na Matiko, awapa dhamana
 
Hiyo inaonesha kila mhimili wa nchi una uhuru wa kufanya maamuzi bila kuingiliwa na mhimili mwingine. Hiyo ndio demokrasia. Viva Tanzania!!
 
KILA MTU HUMU NDANI ANAJUA UNAISHI USA. LAKINI IMEKUWA KAMA MATA NGAZO YA BIASHARA OVER AND OVER AND OVER. HUO NI USHAMBA , UNA ACT KAMA MTU AMBAYE NDIO KWANZA AME KWENDA MAREKANI, BADO BRAND NEW . NAONA MUDA WOTE ULIOISHI USA HUNA EXPOSURE KABISA.

YOU'RE TOO MUCH.
 
KILA MTU HUMU NDANI ANAJUA UNAISHI USA. LAKINI IMEKUWA KAMA MATA NGAZO YA BIASHARA OVER AND OVER AND OVER. HUO NI USHAMBA ,
YOU'RE TOO MUCH.

Kila mtu humu anajua naishi USA?

Wewe ushawahi kuniona huko USA?

Narudia tena. Zaidi ya kuandika hapa, hakuna uwezalo kunifanya.

๐Ÿ–•๐Ÿฟ
 
Kila mtu humu anajua naishi USA?

Wewe ushawahi kuniona huko USA?

Narudia tena. Zaidi ya kuandika hapa, hakuna uwezalo kunifanya.

๐Ÿ–•๐Ÿฟ
USHAMBA NI MZIGO NA UTUMWA. JE UNGE ZALIWA USA SI NDIO UNGE JIONA UMETOKA MBINGUNI! MAANA SASA HIVI UNAONA KAMA HAKUNA MWISHO WA DUNIA. ETI UNANIPA MIDDLE FINGER HAPO UNAJIONA MJANJAAA.... WATU KAMA WEWE HATA KULIPA BILLS NI SHIDA... MADENI LEFT AND RIGHT .UKIJA HAPA " USA BABY"

USA BABY MY A$$
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ