Mbowe: Bunge likipitisha Mkataba wa DP World, tutaamsha Nchi nzima

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
1686208245666.png
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe ameitaka Serikali kuondoa Mkataba huo kwenye majadiliano Bungeni kwasababu unakwenda kuiingiza Nchi kwenye migogoro usio na faida.

Pia, amewataka Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa na Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Bandari, Plasduce Mikeli Mbossa kujitafakari kama wana hadi ya kuendelea kubaki kwenye ofisi za Umma kutokana na kuiingiza Nchi kwenye Mkataba huo.

Aidha, amesema ifike wakati sasa badala ya kutoa Kinga kwa Viongozi, wengine waanze kushtakiwa kwa makosa wanayofanya kwa kutumia Mamlaka yao vibaya na kuiingiza Nchi katika mikataba ya ovyo.
 
hata kama sijawahi kuandamana, chadema wakikisanua hiki, nabeba bango.
 
Mimi nawashangaa watanzania wanaopiga kelele eti kutetea masilahi ya taifa, hivi kuna anayejua maslahi ya taifa kuliko serikali? Ufisadi Meremeta, kagoda, deep greem, Tangold, Kiwila na IPTL zote walipiga kelele nini kilibadilika?
20230608_101702.jpg

“Bandari yetu ipo Salama kutoweka kikomo cha uhinafsishaji haimaanishi ni muda mrefu” Spika wa BUNGE
 
Mimi nawashangaa watanzania wanaopiga kelele eti kutetea masilahi ya taifa, hivi kuna anayejua maslahi ya taifa kuliko serikali? Ufisadi Meremeta, kagoda, deep greem, Tangold, Kiwila na IPTL zote walipiga kelele nini kilibadilika?View attachment 2649805

“Bandari yetu ipo Salama kutoweka kikomo cha uhinafsishaji haimaanishi ni muda mrefu” Spika wa BUNGE
huyu naye si amshukuru Jiwe kumpa hiki cheo, atuache.
 
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe ameitaka Serikali kuondoa Mkataba huo kwenye majadiliano Bungeni kwasababu unakwenda kuiingiza Nchi kwenye migogoro usio na faida.

Pia, amewataka Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa na Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Bandari, Plasduce Mikeli Mbossa kujitafakari kama wana hadi ya kuendelea kubaki kwenye ofisi za Umma kutokana na kuiingiza Nchi kwenye Mkataba huo.

Aidha, amesema ifike wakati sasa badala ya kutoa Kinga kwa Viongozi, wengine waanze kushtakiwa kwa makosa wanayofanya kwa kutumia Mamlaka yao vibaya na kuiingiza Nchi katika mikataba ya ovyo.
Inabidi tuanze kunyongana sasa, bila kunyonga watu hatutafika popote
 
Back
Top Bottom