Mbowe: Bunge likipitisha Mkataba wa DP World, tutaamsha Nchi nzima

Mbowe: Bunge likipitisha Mkataba wa DP World, tutaamsha Nchi nzima

Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe ameitaka Serikali kuondoa Mkataba huo kwenye majadiliano Bungeni kwasababu unakwenda kuiingiza Nchi kwenye migogoro usio na faida.

Pia, amewataka Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa na Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Bandari, Plasduce Mikeli Mbossa kujitafakari kama wana hadi ya kuendelea kubaki kwenye ofisi za Umma kutokana na kuiingiza Nchi kwenye Mkataba huo.

Aidha, amesema ifike wakati sasa badala ya kutoa Kinga kwa Viongozi, wengine waanze kushtakiwa kwa makosa wanayofanya kwa kutumia Mamlaka yao vibaya na kuiingiza Nchi katika mikataba ya ovyo.
Kusingekuwa na kinga ya kiongozi kushtakiwa umakini katika maamuzi ungekuwepo wa hali ya juu sana.
Ni nini lengo la kuweka kinga ya kushtakiwa?
 
DP World kuendesha Bandari Tz:
- Mbona Wananchi hawapewi taarifa ya walioomba hiyo tenda ni wangapi, Nani, kutoka wapi?
-Sasa naamini alivyosema raia mmoja wa Uswiswi, " Watu wasio Waafrika (blacks) wanaiona Afrika kama pori lenye mali za wao kuvuna katika majira muafaka. Huyu Mswiswi alikuwa na taasisi iliyokuwa inalipa fedha kuwakomboa watumwa huko Sudan.
 
DP World kuendesha Bandari Tz:
- Mbona Wananchi hawapewi taarifa ya walioomba hiyo tenda ni wangapi, Nani, kutoka wapi?
-Sasa naamini alivyosema raia mmoja wa Uswiswi, " Watu wasio Waafrika (blacks) wanaiona Afrika kama pori lenye mali za wao kuvunwa katika majira muafaka. Huyu Mswiswi alikuwa na taasisi iliyokuwa inalipa fedha kuwakomboa watumwa huko Sudan.
Tuwe wakweli sisi Wabantu hatujiwezi kwa lolote labda ngono na pombe, hii Dubai wakati tunachukua uhuru Nchi ya Tanganyika ilikuwa na uchumi na maendeleo kuliko DUBAI na OMANI tumlaumu Mungu aliyetuumba na IQ hafifu.

Falme za Kiarabu walikuwa maskini wa Jangwani miaka 1960 ajira zao zilikuwa ni kuzamia pweza na Oyster.
 
Katika vitu vya MSINGI NCHI HII ameona hicho ndio chanzo cha msingi cha kuamsha???


Wanaacha kuamsha kwenye mizizi wanaamsha kwenye matawi!!!


DJ KAZIMA MZIKI.
 
Back
Top Bottom