Mbowe: Bunge likipitisha Mkataba wa DP World, tutaamsha Nchi nzima

Mbowe: Bunge likipitisha Mkataba wa DP World, tutaamsha Nchi nzima

Tuwe wakweli sisi Wabantu hatujiwezi kwa lolote labda ngono na pombe, hii Dubai wakati tunachukua uhuru Nchi ya Tanganyika ilikuwa na uchumi na maendeleo kuliko DUBAI na OMANI tumlaumu Mungu aliyetuumba na IQ hafifu.

Falme za Kiarabu walikuwa maskini wa Jangwani miaka 1960.
Uko sahihi sehemu nyeti za kuuza uchumi inatulazimu tuweke akili kubwa maendeleo yapae Kwa haraka, Maza ziba masikio songa mbele, majizi yaliyodumaza hiyo bandari lazima yapige mayowe we usisikilize chapa Raba.
 
Mkataba wa Mangungo huu hapa

This contract has been executed legally and made valid for all time before a great number of witnesses, we testify herewith:
Kwagakinga (mark);
Sultan Mangungo’s son of Golola (mark);
Sultan Mangungo’s second son of Draman (mark);
Graf Pfeil August Otto;
Mark of the intepreter Ramazan etc.
Dr. Karl Juhlke.
Msovero Usagara November 29, 1884.

Kwa tafsiri isiyo rasmi, kwa Kiswahili unasomeka hivi:
Mangungo, Sultan wa Msovero katika Mwenyisagara, na Dk. Karl Peters. Mangungo sambamba na watu wake wote na Dk. Peters kwa niaba yake na washirika wake wengine wajao kwa pamoja wanaweka mkataba wa Urafiki wa Kudumu.

Mangungo amekubali kutoa himaya yake yote pamoja na watu wake na hadhi yake kwa Dk. Karl Peters, kama mwakilishi wa Umoja wa Ukoloni wa Kijerumani (Society for German Colonization), kwa ajili ya matumizi ya moja kwa moja ya koloni la Kijerumani.

Dk. Karl Peters, kwa niaba ya jina la Umoja wa Ukoloni wa Ujermani anatangaza dhamira yake ya kuitwaa himaya yote ya Sultan Mangungo na haki zote kwa ajili ya Koloni la Ujerumani inayohusisha kila kona na amali za Mwenyi Sagara.

Katika kutekeleza hilo, Sultan Mangungo anakabidhi himaya yote ya Msovero, inayomilikiwa na yeye mwenyewe kwa urithi au kwa namna yoyote ile kwa nyakati zote, kwa Dk. Karl Peters, na wakati huo huo kumkabidhi haki zake zote.

Dk. Karl Peters kwa niaba ya Umoja wa Ukoloni wa Kijerumani anakusudia kuweka mkazo maalum kwa eneo la Msovero wakati wa kuitawala Usagara.

Mkataba huu umewasilishwa kwa Sultan Mangungo na mkalimani Ramzan katika dhana ya wazi kabisa na umesainiwa na pande zote, kwa kuzingatia taratibu zilizopo katika Usagara, Sultan baada ya kuhojiwa moja kwa moja alikiri kwamba hakuwa na ushirika ama kutegemea kwa namna yoyote Sultan wa Zanzibar, na kwamba hakuwa hata akimfahamu.

Imesainiwa. Dk. KARL PETERS
Imesainiwa. MANGUNGO
 
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe ameitaka Serikali kuondoa Mkataba huo kwenye majadiliano Bungeni kwasababu unakwenda kuiingiza Nchi kwenye migogoro usio na faida.

Pia, amewataka Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa na Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Bandari, Plasduce Mikeli Mbossa kujitafakari kama wana hadi ya kuendelea kubaki kwenye ofisi za Umma kutokana na kuiingiza Nchi kwenye Mkataba huo.

Aidha, amesema ifike wakati sasa badala ya kutoa Kinga kwa Viongozi, wengine waanze kushtakiwa kwa makosa wanayofanya kwa kutumia Mamlaka yao vibaya na kuiingiza Nchi katika mikataba ya ovyo.
Nitakuwa Front kabisaa
 
Waupitishe huu mkataba kama walivyopitisha bajeti ya wizara ya ardhi
 
1-Group-Chairman-and-CEO--Sultan-Ahmed-Bin-Sulayem2x.png

Karibu akhui tupige kazi zinusuru Bandari zetu.
 
Nimeamin ufisadi upo kweny damu kuanzia wakubwa ndan ya sisiem mpaka uvccm!! Wala huez waona wakitoa hoja za msingi kutetea rasilimali za nchi eti kigezo yeye ni sisiem 🤣🤣🤣
Ndiyo maana wanakazania kutuita majina ya ajabu,kama vile Mawakala wa Mabeberu,mashoga ili wapate ulaini wa kuiuza nchi kwa Waarabu.
 
Tuwe wakweli sisi Wabantu hatujiwezi kwa lolote labda ngono na pombe, hii Dubai wakati tunachukua uhuru Nchi ya Tanganyika ilikuwa na uchumi na maendeleo kuliko DUBAI na OMANI tumlaumu Mungu aliyetuumba na IQ hafifu.

Falme za Kiarabu walikuwa maskini wa Jangwani miaka 1960 ajira zao zilikuwa ni kuzamia pweza na Oyster.
Sababu ni Muungano ninakuambia bila Muungano tungekuwa mbali Taifa moja linaneemeka na mwisho linataka kuifilisi nchi nyingine ili itawaliwe na Waarabu.
 
Naunga mkono hoja kwa nguvu zote, hivi hawa wazenji wana tuchukuliaje 🤔🤔
Kuwa makini wasikutupie mdudu.
KItendo cha bandari za zanzibar kutoingizwa kwenye kokoro la waarab inadhihirisha nia ovu ya binti na mjomba zake wa saudia.
Kiuhalisia, tuna rais mzalendo wa nchi na watu wake, sema tu nchi na watu wake sio sisi!
(Tanganyika na zanzibar tuko katika hali kama ya ikolojia ya wanyama wengi kama nyumbu kutawaliwa na wanyama werevu wachache kama jackals na simba.
 
Sababu ni Muungano ninakuambia bila Muungano tungekuwa mbali Taifa moja linaneemeka na mwisho linataka kuifilisi nchi nyingine ili itawaliwe na Waarabu.
Msumbiji hawana Muungano wala nini lakini ni hohe hahe na sasa South Afrika hata umeme umeanza kuwashinda tukubaliane kuwa tatizo ni IQ hafifu.
 
Msumbiji hawana Muungano wala nini lakini ni hohe hahe na sasa South Afrika hata umeme umeanza kuwashinda tukubaliane kuwa tatizo ni IQ hafifu.
Kwa hiyo ukiwa na IQ ndogo ndiyo ujidhalilishe kwa mwenye IQ kubwa huo ni utumwa usio na faida.
 
Kwa hiyo ukiwa na IQ ndogo ndiyo ujidhalilishe kwa mwenye IQ kubwa huo ni utumwa usio na faida.
Nina IQ hafifu na sijifichi kila nikiamka nawaza nile nikishiba nawaza ngono nikimaliza Ngono nawaza nimroge nani.

IQ kubwa zije zituonyeshe jinsi ya kuendesha Mashirika na Viwanda Bandari nk.

Angalia South Africa jinsi sisi Wabantu baada kuwanyang'anya IQ kubwa Nchi mifano hai iko mingi sana

Waarabu huwa wanasema "Afriqiyaa akli zaiif"...
 
Basi hujakombolewa endelea kuwaza hayo hayo tu uone kama yatakusaidia.
Sitaki kukombolewa niishi kwenye kwenye umasikini wa kujitakia kuishi kwenye jamii inayoabudu wizi na uzembe na uchawi.
 
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe ameitaka Serikali kuondoa Mkataba huo kwenye majadiliano Bungeni kwasababu unakwenda kuiingiza Nchi kwenye migogoro usio na faida.

Pia, amewataka Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa na Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Bandari, Plasduce Mikeli Mbossa kujitafakari kama wana hadi ya kuendelea kubaki kwenye ofisi za Umma kutokana na kuiingiza Nchi kwenye Mkataba huo.

Aidha, amesema ifike wakati sasa badala ya kutoa Kinga kwa Viongozi, wengine waanze kushtakiwa kwa makosa wanayofanya kwa kutumia Mamlaka yao vibaya na kuiingiza Nchi katika mikataba ya ovyo.
LEo nimeamini mwamba hajalamba Asali
 
Yupo kwenye deko la mama anaamsha na nani?
 
Back
Top Bottom