Mbowe: Bunge likipitisha Mkataba wa DP World, tutaamsha Nchi nzima

Mimi nawashangaa watanzania wanaopiga kelele eti kutetea masilahi ya taifa, hivi kuna anayejua maslahi ya taifa kuliko serikali? Ufisadi Meremeta, kagoda, deep greem, Tangold, Kiwila na IPTL zote walipiga kelele nini kilibadilika?View attachment 2649805

“Bandari yetu ipo Salama kutoweka kikomo cha uhinafsishaji haimaanishi ni muda mrefu” Spika wa BUNGE
Ona hiki kinyago kinavyobwabwaja
 
Mbowe yupo sahihi.Ila tusisahau kwamba nchi zetu za Afrika hufanya mambo ya hovyo mengi kwa mashinikizo.
 
Mimi nawashangaa watanzania wanaopiga kelele eti kutetea masilahi ya taifa, hivi kuna anayejua maslahi ya taifa kuliko serikali? Ufisadi Meremeta, kagoda, deep greem, Tangold, Kiwila na IPTL zote walipiga kelele nini kilibadilika?View attachment 2649805

“Bandari yetu ipo Salama kutoweka kikomo cha uhinafsishaji haimaanishi ni muda mrefu” Spika wa BUNGE
Huyu akae kimya tu...
 
Mpuuzi ni wewe ambae hata haujui namuongelea nani nyani wewe 😂 Chakaza
Kuna majitu majinga yamekalia kulishana ujinga tu! Kila kinachofanywa na awamu ya 6 yanaona hakiko sawa utafikri mtu wao alikuwa na chochote cha maana!
 
Mnaopinga huo mkataba mmeusoma vizur au .binafsi siungi mkono kauli ya mbowe.
 
"Mbowe: Bunge likipitisha mkataba wa DP World tutaamsha nchi nzima."

Nitarudisha heshima yote niliyokwishampa Mbowe akisimamia hili; hata kama halitafanikiwa.
 
ukitaka kujua watanganyika wana dukuduku, mbowe afanye hivyo halafu uone idadi ya watu watakaokuwa nyuma yake, hapo ndipo utajua kumbe tanganyika bado inaishi mioyoni mwa watu.
 
Kitanuka this time.

Wametuona maboya sana Hawa wakoloni weusi.
 
ukitaka kujua watanganyika wana dukuduku, mbowe afanye hivyo halafu uone idadi ya watu watakaokuwa nyuma yake, hapo ndipo utajua kumbe tanganyika bado inaishi mioyoni mwa watu.
Wakati huu ni wakati sahihi kabisa kufanya jambo. Nchi hii imechezewa sana na hawa wajinga.
 
Back
Top Bottom