Na uhakika rafiki yake jk hana maslahi na hii kitu ndio maana!!Sasa huyu ndiye mwenyekiti ninae mjua
hata kama sijawahi kuandamana, chadema wakikisanua hiki, nabeba bango.Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe ameitaka Serikali kuondoa Mkataba huo kwenye majadiliano Bungeni kwasababu unakwenda kuiingiza Nchi kwenye migogoro usio na faida.
Pia, amewataka Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa na Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Bandari, Plasduce Mikeli Mbossa kujitafakari kama wana hadi ya kuendelea kubaki kwenye ofisi za Umma kutokana na kuiingiza Nchi kwenye Mkataba huo.
Aidha, amesema ifike wakati sasa badala ya kutoa Kinga kwa Viongozi, wengine waanze kushtakiwa kwa makosa wanayofanya kwa kutumia Mamlaka yao vibaya na kuiingiza Nchi katika mikataba ya ovyo.
Wewe Ni kilaza. Nchi iko vitani na amiri jeshi wa hiyo Fulani kahamua kuuza silaha zote. Unategemea nini?Hakuna atayeungana na nyie kuandamana.
Ninemuelewa Lissu
Mi sitaandamana na hakuna anayejielewa ataandamanaWewe Ni kilaza. Nchi iko vitani na amiri jeshi wa hiyo Fulani kahamua kuuza silaha zote. Unategemea nini?
Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
huyu naye si amshukuru Jiwe kumpa hiki cheo, atuache.Mimi nawashangaa watanzania wanaopiga kelele eti kutetea masilahi ya taifa, hivi kuna anayejua maslahi ya taifa kuliko serikali? Ufisadi Meremeta, kagoda, deep greem, Tangold, Kiwila na IPTL zote walipiga kelele nini kilibadilika?View attachment 2649805
“Bandari yetu ipo Salama kutoweka kikomo cha uhinafsishaji haimaanishi ni muda mrefu” Spika wa BUNGE
msukuma kashapata bahasha ndo maana anaongea hadi analia... bahashaaaaaaa 😀 😀 😀Bunge limepitisha azimio la kuunga mkono mkataba huo sasa atafanya nini? Mwongo mkubwa huyu hana lolote atafanya!
Inabidi tuanze kunyongana sasa, bila kunyonga watu hatutafika popoteMwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe ameitaka Serikali kuondoa Mkataba huo kwenye majadiliano Bungeni kwasababu unakwenda kuiingiza Nchi kwenye migogoro usio na faida.