Mbowe: Bunge likipitisha Mkataba wa DP World, tutaamsha Nchi nzima

Ni hasara kubwa sn kwa taifa
 
Mkataba ulishasainiwa kitambo unataka uchambuwe nini yaani wewe upikiwe ugali uletewe mezani halafu uanze kutafuta unga na kuni inaingia akilini?

Ungekua hauwezi kubadilishwa usingepelekwa bungeni.ndio maana nasema wengi hamjui kitu zaid ya kumezeshwa,wamekubaliana mkataba lazima upitishwe bungeni ndio utumike
 
Ungekua hauwezi kubadilishwa usingepelekwa bungeni.ndio maana nasema wengi hamjui kitu zaid ya kumezeshwa,wamekubaliana mkataba lazima upitishwe bungeni ndio utumike
Bunge gani hili la kuteuliwa na Mwendazake,hapo tumepigwa mchana kweupe.
 
Bunge litaitisha huo mkataba na Mbowe hatofanya chochote..Mikataba mingi ilikuwa ikiitishwa bila ya kuelekwa Bungeni na watu walipiga kimya
 
WATANZANIA WAMEKATAA NA HATUTAKI UO UWEKEZAJI NA NINASHAURI KAMA VIPI UYO MWEKEZAJI TUJALIBU KUMPA KWANZA BANDARI YA ZANZIBAR AWEKEZE ILI TUMTAZAME KWA MIAKA ATA MITANO [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Bunge gani hili la kuteuliwa na Mwendazake,hapo tumepigwa mchana kweupe.

Wakat wanaujadil ndio tutaujua kwa kina..mbunge wako ndio muwakilishi wako [emoji23]ingawa wabunge ni wamchongo
 
Sasa akili zimeanza kurudi au dumu la asali limekwisha. Hawa wazanzibar wataliingiza taifa kwenye matatizo makubwa kwa ulafi wao 10%.Wamalize muda wao waondoke tupate kina JPM wengine.
 
Wamewachukulia Watanzania wajinga kabisa kila kukicha mikataba ya hovyo hovyo..
Acha kujadili tetesi; utaonekana huna hekima. Kesho Bunge linajadili LIVE; sikiliza Bunge; acha kusilkiliza mawazo mufilisi ya kwenye mitandao
 
Hakuna kitu amini usiamini

Tusisahau tulivoambiwa tunajenga kwa feza zetu wenyewe life ilivokua ngumu mpk tukakatazwa kusema vyuma vimekaza.mwisho wa cku kumbe ela tumekopa [emoji81]c heri huu mkataba tumeshirikishwa kutoa maoni na tunajua c hela zetu zinazotumika
 
Kama shida yako ni Mbowe basi endelea kuuza nchi kwa Waarabu.
Mbona Magu alishatuuza kwa waarabu wa Morroco kitambo tu na hakukuwa na mba mba mba.. Mbowe kelele nyingi vitendo sufuri akianzisha maandamano atangulie mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…