Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 8,174
- 16,794
46 Years bado hajawa ajuza labda kama kuna shida sehemu!!Huyu bibi ni mtu wa hovyo kabisa, nchi haijawahi kuwa na Spika wa hovyo kama huyu ajuza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
46 Years bado hajawa ajuza labda kama kuna shida sehemu!!Huyu bibi ni mtu wa hovyo kabisa, nchi haijawahi kuwa na Spika wa hovyo kama huyu ajuza
Kwa hiyo hili walikalie kimya kwa kuwa hakukubadilika chochote?Ufisadi Meremeta, kagoda, deep greem, Tangold, Kiwila na IPTL zote walipiga kelele nini kilibadilika?
Humuoni alivyokomaa sababu ya roho mbaya kama sura ake?46 Years bado hajawa ajuza labda kama kuna shida sehemu!!
Eti nchi iendelee kutafunwaKwa hiyo hili walikalie kimya kwa kuwa hakukubadilika chochote?
Harafu cha ajabu hizo rushwa wanazopewa eti magari na nyumba ambayo wanaweza kuleta hata kwa kuomba vibali bila kulipa kodi wao wanaona wakipewa VX wamepewa vitu vya maana sana majinga kabisa haya sema viongozi wengi wametoka kwenye Umasikini ndio maana naona vitu vidogo vibawatoa Imani kabisa...Wanapewa rushwa huko wanauza nchi yetu
Mkuu wamefanya kitu cha kijinga sijawahi kufikiri kama watu wenye utashi wao wanaweza kufanya hayo madudu...NAUNGA MKONO HOJA NITAKUWA MSTARI WA MVBELE KABISA KWENYE MAANDAMANO YA KUPINGA HILI
yani inauzi kwa kweliMkuu wamefanya kitu cha kijinga sijawahi kufikiri kama watu wenye utashi wao wanaweza kufanya hayo madudu...
mbowe hapa nakuelewa sana.kinga ziondolewa ili tuanze kuona watu wakiburuzwa mahakamani kwa manufaa ya taifa letu.tanzania kwanza mengine baadaye.hatuwezi kuwavulia watu wanaohongwa ili kuingiza nchi ktk matatizo.huyo mbunge wa mlalo takukuru imfutilie tujue alikuwa na maslahi gani na hiyo kampuni.Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe ameitaka Serikali kuondoa Mkataba huo kwenye majadiliano Bungeni kwasababu unakwenda kuiingiza Nchi kwenye migogoro usio na faida.
Pia, amewataka Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa na Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Bandari, Plasduce Mikeli Mbossa kujitafakari kama wana hadi ya kuendelea kubaki kwenye ofisi za Umma kutokana na kuiingiza Nchi kwenye Mkataba huo.
Aidha, amesema ifike wakati sasa badala ya kutoa Kinga kwa Viongozi, wengine waanze kushtakiwa kwa makosa wanayofanya kwa kutumia Mamlaka yao vibaya na kuiingiza Nchi katika mikataba ya ovyo.
Eti bandari kazi yake ni kupokea na kutuma mizigo na pia kukagua mali zinazoibiwa unataka kuwapa watu wa Nje harafu nani atawagakua hao jamaa tena bila kipindi maalumu na pia Pwani yote iwe yao aisee...wahuni sio watuyani inauzi kwa kweli
LABDA BABA WA TAIFA JANG'OMBE.Good Mbowe ni kaimu baba wa Taifa kwa sasa
SafiMwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe ameitaka Serikali kuondoa Mkataba huo kwenye majadiliano Bungeni kwasababu unakwenda kuiingiza Nchi kwenye migogoro usio na faida.
Pia, amewataka Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa na Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Bandari, Plasduce Mikeli Mbossa kujitafakari kama wana hadi ya kuendelea kubaki kwenye ofisi za Umma kutokana na kuiingiza Nchi kwenye Mkataba huo.
Aidha, amesema ifike wakati sasa badala ya kutoa Kinga kwa Viongozi, wengine waanze kushtakiwa kwa makosa wanayofanya kwa kutumia Mamlaka yao vibaya na kuiingiza Nchi katika mikataba ya ovyo.
Hapana, lengo la mchango wangu ni kuja na njia mbadala!! Hizi kelele za nyuma ya keyboards haziwatishi hawa wabunge wa hayati!!Kwa hiyo hili walikalie kimya kwa kuwa hakukubadilika chochote?
Dah!!Humuoni alivyokomaa sababu ya roho mbaya kama sura ake?
Umeusoma mkataba? Au hayo maudhi yanatokana na mimba yako changa?yani inauzi kwa kweli
Hapa sasa ndo kuna upenyo wa kuifufua CHADEMA. msipoteze hii fursaMwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe ameitaka Serikali kuondoa Mkataba huo kwenye majadiliano Bungeni kwasababu unakwenda kuiingiza Nchi kwenye migogoro usio na faida.