Mbowe: Bunge likipitisha Mkataba wa DP World, tutaamsha Nchi nzima

Mbowe: Bunge likipitisha Mkataba wa DP World, tutaamsha Nchi nzima

Mimi nawashangaa watanzania wanaopiga kelele eti kutetea masilahi ya taifa, hivi kuna anayejua maslahi ya taifa kuliko serikali? Ufisadi Meremeta, kagoda, deep greem, Tangold, Kiwila na IPTL zote walipiga kelele nini kilibadilika?View attachment 2649805





“Bandari yetu ipo Salama kutoweka kikomo cha uhinafsishaji haimaanishi ni muda mrefu” Spika wa BUNGE
Ikipita naubunge nisugu mwambieni
 
Msukuma aliwatetea sana hawa DP world
Alichukua namba kwa ka dada kadogoo huko Dubai wahuni walimtegeshea yeye hakujua mpaka anakuja kuongea Bungeni tuna Bunge la watu wasioweza kufanya lolote kwenye Nchi hii ni kama picha tu.
 
Itasaidia nini kuandamana mkuu wakati ushavamiwa? Na pengine ushapoteza wapendwa wako” ngoja tuone hili lina kwendaje
Kenya wanavimba ila upuuzi afanyiki ,usituurumie mtuwacha tupiganie taifa ,ges daa Tena bandari
 
Kenya wanavimba ila upuuzi afanyiki ,usituurumie mtuwacha tupiganie taifa ,ges daa Tena bandari

Hii tayari washachukua mkuu” hapa kinacho endelea ni wataacha upepo huu mkali upite alafu wataendelea na mambo yao!!! Washatuone wapumbavu hasa huyu maza
 
Kwanza poleni wana wa Mwl.Nyerere,mnayokutana nayo leo na mnayosumbuka nayo chanzo ni kuanzia mwaka 1965 basi. Laiti kama Mwl.Nyerere angeruhusu uwepo wa mfumo wa vyama vingi toka awali Tanzania hii isingekua hivi kuanzia Katiba,Uwajibikaji,Utawala nk
Poleni sana wana wa Mwl.Nyerere
 
Lissu yeye kawa kimya kaona isiwe kesi kuliko kuropoka usivyo vijua.
Yeye angesubiri wakae kama chama, watafute wavujisha siri wao, waujue ukweli wote, wajue upande wa serikali umejipangaje kisha ndiyo waje na ukweli
Mbowe Pombe zinamchanganya
 
Mbowe Pombe zinamchanganya
Maana lile swala ni mtu unasema tu, tushirikishwe tuuuone huo mkataba, afu Mbowe ana namba ya Rais kwanini asingepiga kujua ukweli kabla ya kuropoka
 
Kaandamane wewe, mi sitaandamana mana sifaidiki na kitu.
Nitaandamana siku mtoto au wadogo au wazazi wangu wakiuliwa, nitaandamana mwenyewe.

Nitaandamana pale tutapovamiwa kivita.
Miaka 100 inawahusu wazazi, watoto. wajukuu nk. au hujui!
Nchi ikivamiwa kivita wewe ndipo unaadamana! siyo kushika silaha kupigana? Akili gani hiyo?
 
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe ameitaka Serikali kuondoa Mkataba huo kwenye majadiliano Bungeni kwasababu unakwenda kuiingiza Nchi kwenye migogoro usio na faida.

Pia, amewataka Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa na Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Bandari, Plasduce Mikeli Mbossa kujitafakari kama wana hadi ya kuendelea kubaki kwenye ofisi za Umma kutokana na kuiingiza Nchi kwenye Mkataba huo.

Aidha, amesema ifike wakati sasa badala ya kutoa Kinga kwa Viongozi, wengine waanze kushtakiwa kwa makosa wanayofanya kwa kutumia Mamlaka yao vibaya na kuiingiza Nchi katika mikataba ya ovyo.
Good Mbowe ni kaimu baba wa Taifa kwa sasa
 
Mimi nawashangaa watanzania wanaopiga kelele eti kutetea masilahi ya taifa, hivi kuna anayejua maslahi ya taifa kuliko serikali? Ufisadi Meremeta, kagoda, deep greem, Tangold, Kiwila na IPTL zote walipiga kelele nini kilibadilika?View attachment 2649805





“Bandari yetu ipo Salama kutoweka kikomo cha uhinafsishaji haimaanishi ni muda mrefu” Spika wa BUNGE
Huyu bibi ni mtu wa hovyo kabisa, nchi haijawahi kuwa na Spika wa hovyo kama huyu ajuza
 
Sitaki kukombolewa niishi kwenye kwenye umasikini wa kujitakia kuishi kwenye jamii inayoabudu wizi na uzembe na uchawi.
Ukisubiri ukombolewe na Waarabu utabaki hivyo hivyo mtu mwenye akili timamu hujikomboa mwenyewe.
 
Back
Top Bottom