Mbowe: Bunge likipitisha Mkataba wa DP World, tutaamsha Nchi nzima

Wanapewa rushwa huko wanauza nchi yetu
Harafu cha ajabu hizo rushwa wanazopewa eti magari na nyumba ambayo wanaweza kuleta hata kwa kuomba vibali bila kulipa kodi wao wanaona wakipewa VX wamepewa vitu vya maana sana majinga kabisa haya sema viongozi wengi wametoka kwenye Umasikini ndio maana naona vitu vidogo vibawatoa Imani kabisa...
 
NITAKUWA MSTARI WA MBELE KWENYE MAANDAMANO.

SIJAWAHI KUANDAMANA ISIPOKUWA KWA HILI.
 
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe ameitaka Serikali kuondoa Mkataba huo kwenye majadiliano Bungeni kwasababu unakwenda kuiingiza Nchi kwenye migogoro usio na faida.

Pia, amewataka Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa na Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Bandari, Plasduce Mikeli Mbossa kujitafakari kama wana hadi ya kuendelea kubaki kwenye ofisi za Umma kutokana na kuiingiza Nchi kwenye Mkataba huo.

Aidha, amesema ifike wakati sasa badala ya kutoa Kinga kwa Viongozi, wengine waanze kushtakiwa kwa makosa wanayofanya kwa kutumia Mamlaka yao vibaya na kuiingiza Nchi katika mikataba ya ovyo.
mbowe hapa nakuelewa sana.kinga ziondolewa ili tuanze kuona watu wakiburuzwa mahakamani kwa manufaa ya taifa letu.tanzania kwanza mengine baadaye.hatuwezi kuwavulia watu wanaohongwa ili kuingiza nchi ktk matatizo.huyo mbunge wa mlalo takukuru imfutilie tujue alikuwa na maslahi gani na hiyo kampuni.
 
yani inauzi kwa kweli
Eti bandari kazi yake ni kupokea na kutuma mizigo na pia kukagua mali zinazoibiwa unataka kuwapa watu wa Nje harafu nani atawagakua hao jamaa tena bila kipindi maalumu na pia Pwani yote iwe yao aisee...wahuni sio watu
 
mbowe tunayekujua afadhali umekuja Tena ,walikudanganya maridhiano uchwara ili upoe wakijua mbeleni madudu yao uyanyamazie,kanyaga twende mbowe,CCM tukurudie sababu ya magufuli tuuuuuuuuu,Sasa hakuna
 
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe ameitaka Serikali kuondoa Mkataba huo kwenye majadiliano Bungeni kwasababu unakwenda kuiingiza Nchi kwenye migogoro usio na faida.

Pia, amewataka Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa na Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Bandari, Plasduce Mikeli Mbossa kujitafakari kama wana hadi ya kuendelea kubaki kwenye ofisi za Umma kutokana na kuiingiza Nchi kwenye Mkataba huo.

Aidha, amesema ifike wakati sasa badala ya kutoa Kinga kwa Viongozi, wengine waanze kushtakiwa kwa makosa wanayofanya kwa kutumia Mamlaka yao vibaya na kuiingiza Nchi katika mikataba ya ovyo.
Safi
 
Hapa sasa ndo kuna upenyo wa kuifufua CHADEMA. msipoteze hii fursa
 
Mkataba huu wa bandari ndiyo ile cheche tuliyokuwa tunaisubiri kuulipua huu muungano wa mchongo. Mimi niko tayari kuhesabiwa Tanganyika kwanza !!!
 
Back
Top Bottom