Mbowe: Ccm imeufanya mkoa wa Tanga kuwa kama shamba la bibi.

Mbowe: Ccm imeufanya mkoa wa Tanga kuwa kama shamba la bibi.

Ukishaona unategemea wanasiasa wakuletee maendeleo binafsi fahamu unakaribia kua mwehu.
Ufahamu wa kilabu cha pombe ya mataputapu huu, siasa ni mahusiano ya uchumi na jamii, wanaokutungia Sera na mazingira ya kuishi na kuzalisha ni wanasiasa siyo nyie wachawi
 
Back
Top Bottom