Mbowe: CHADEMA haijawahi kuibiwa kura katika uchaguzi wowote ila hushindwa ka sababu ya msingi dhaifu


Kwa bahati mbaya, Chadema ilikuwa imejikita zaidi kwa wanachama wa ngazi za kati na juu, hasa waishio mijini na watu maarufu na kuwasahau maelfu ya wananchi ambao wanaishi vijijini bila kufikiwa na vyama vya upinzani".
Kukubali responsibility kwa KILA KITU kinachotokea kwenye maisha yako, kuepuka kurusha lawama kwenda upande wa pili, kuangalia madhaifu ni yapi and Then kuweka MIKAKATI ya kuvuka hapo is the way to go.
 
Wakusanye mbumbumbu wenzio mrekebishe kichwa cha habari kisomeke CHADEMA ndio wamekuwa wakiibia CCM kura.
 
Eti amesoma kitabu jinsi ya kupambana na udikteta. Hapo kwanza kashakosea kwa sababu anaanza kwa kupotoshwa na propaganda za magharibu kwa sababu ccm haiongozi nchi kidikteta. Pia ameaminishwa ccm haipendwi inaiba kura. Yote hayo sio sahihi.
Mkuu NDI-National Democratic Institute ni NGO ya Kimarekani inayoeneza uchochezi dhidi ya serikali halali kama hii ya CCM na ni pro CHADEMA

OVERVIEW​



In the 2015 national elections, former president Kikwete of the Chama Cha Mapinduzi (CCM) party stepped down due to constitutionally mandated term limits. Kikwete was succeeded by minister of works and CCM candidate John Magufuli after a closely contested election on the mainland. Tanzania has a record of political stability in the East Africa region, but controversy over the status of the semi-autonomous island of Zanzibar continues to disrupt national politics. Previous Zanzibar elections were contentious and occasionally violent, and domestic and international observers have repeatedly found serious faults with the process. The 2015 electoral process on the mainland was largely deemed free and fair, but in Zanzibar the election was clouded by the Zanzibar Election Commission’s unexpected annulment of the Zanzibar polls.
NDI has worked in Tanzania since 2004 supporting Tanzania efforts to strengthen electoral observation and citizen participation in democratic processes. Past and current NDI programs have assisted Tanzanian civil society groups to monitor elections in 2010 and 2015 and provided support to political parties internal organization and election preparation. NDI assistance in Tanzania has also worked with youth and women to more effectively engage in the political process.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…