Mbowe: CHADEMA haiko tayari kupokea Ruzuku inayotokana na Kura za Wizi!

Mbowe: CHADEMA haiko tayari kupokea Ruzuku inayotokana na Kura za Wizi!

Chama cha mapinduzi??? Walijipindua akili wakajipachika ujamaa na nchi ikawa masikini mpaka leo.

Kwetu hii ni dogo now tunataka KATIBA TU. Tutoke kwenye umasikini, tunapigwa hela kila siku.
 
ILa mwambie mdude apumzike Kwanza
Hivi kipindi yule mwenyekiti wa UVCCM (Kheri James) alivyokua akitumia kauli Kama vile

1. "kilema"
2. " sindano Moja tu pyaaa chali "

Hapa hamkuona ustaa wa maneno au sio.

Halafu kuna huyu Mange anajifanya kuijua stahaa ya maneno Huyu...yeye ni Mara ngapi hiyo stahaa aitumii.

Tudai uwajibikaji wa wadhalimu! Nje ya hapo ni kujipendekeza tu na unafiki!
IMG_20210704_085335.jpg
 
Mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe amesema chama chake hakiwezi kupokea Ruzuku inayotokana na kura za wizi.

Mbowe amesema Chadema ni chama cha watu waadilifu waliojazwa roho za uzalendo hivyo hawawezi kuwasaliti wananchi.

Nawasalimu kwa jina la JMT!
Mbowe anaongea sana siku hizi
 
Hivi kipindi yule mwenyekiti wa UVCCM (Kheri James) alivyokua akitumia kauli Kama vile

1. "kilema"
2. " sindano Moja tu pyaaa chali "

Hapa hamkuona ustaa wa maneno au sio.

Halafu kuna huyu Mange anajifanya kuijua stahaa ya maneno Huyu...yeye ni Mara ngapi hiyo stahaa aitumii.

Tudai uwajibikaji wa wadhalimu! Nje ya hapo ni kujipendekeza tu na unafiki!View attachment 1839738
Mkuu hizi picha zimeniletea hasira na chuki kubwa ndani ya mwili wangu,binafsi ni muimini wa mizimu yangu ya asili sio imani zilizokuwa imported hapa,mawazo yangu yanafikiria ndugu na familia zao,ipo siku wanawajibika kwa mateso haya kwa binadamu wenzao maana kwangu watesaji hawa ni wanyama
 
Ipo siku
 
Back
Top Bottom