johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
labda sio ruzuku ila ni bakshishi.Wale matapeli wa siasa wanaosema Chadema wanapokea Ruzuku waweke ushahidi wao hapa.
Hivi kipindi yule mwenyekiti wa UVCCM (Kheri James) alivyokua akitumia kauli Kama vileILa mwambie mdude apumzike Kwanza
Mbowe anaongea sana siku hiziMwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe amesema chama chake hakiwezi kupokea Ruzuku inayotokana na kura za wizi.
Mbowe amesema Chadema ni chama cha watu waadilifu waliojazwa roho za uzalendo hivyo hawawezi kuwasaliti wananchi.
Nawasalimu kwa jina la JMT!
Mbowe ni tapeli sana.kwani ruzuku zilizopita zimeenda wapi ili tuupime uadilifu wa fieldmarshal??
Bila kuongea hakuna siasa!Mbowe anaongea sana siku hizi
Mkuu hizi picha zimeniletea hasira na chuki kubwa ndani ya mwili wangu,binafsi ni muimini wa mizimu yangu ya asili sio imani zilizokuwa imported hapa,mawazo yangu yanafikiria ndugu na familia zao,ipo siku wanawajibika kwa mateso haya kwa binadamu wenzao maana kwangu watesaji hawa ni wanyamaHivi kipindi yule mwenyekiti wa UVCCM (Kheri James) alivyokua akitumia kauli Kama vile
1. "kilema"
2. " sindano Moja tu pyaaa chali "
Hapa hamkuona ustaa wa maneno au sio.
Halafu kuna huyu Mange anajifanya kuijua stahaa ya maneno Huyu...yeye ni Mara ngapi hiyo stahaa aitumii.
Tudai uwajibikaji wa wadhalimu! Nje ya hapo ni kujipendekeza tu na unafiki!View attachment 1839738
Ruzuku za ccm tangu mwaka 1992 huwa zinaenda wapi?kwani ruzuku zilizopita zimeenda wapi ili tuupime uadilifu wa fieldmarshal??
Ipo sikuMkuu hizi picha zimeniletea hasira na chuki kubwa ndani ya mwili wangu,binafsi ni muimini wa mizimu yangu ya asili sio imani zilizokuwa imported hapa,mawazo yangu yanafikiria ndugu na familia zao,ipo siku wanawajibika kwa mateso haya kwa binadamu wenzao maana kwangu watesaji hawa ni wanyama
zinanunua wabunge,zinajenga ofisi za chama, mavieite ya mwenyekiti na crew yake nk.Ruzuku za ccm tangu mwaka 1992 huwa zinaenda wapi?
Kwenye ustawi wa chama!Ruzuku za ccm tangu mwaka 1992 huwa zinaenda wapi?
Una uhakika bwashee?!zinanunua wabunge,zinajenga ofisi za chama, mavieite ya mwenyekiti na crew yake nk.
Kwani zamani alikuwa bubuMbowe anaongea sana siku hizi
Samani = ZamaniKwani Samani alikuwa bubu