Mbowe: CHADEMA haiko tayari kupokea Ruzuku inayotokana na Kura za Wizi!

SASA viongoz wenyewe ndiyo kama hao kina mdude,unadhan Kuna chama hapo
 
Hakuna watu wazandiki kama viongozi wa hiyo saccos,wakiongozwa na faru John.
 
Wakisusa wenzake watakula
 
This is really confusing..kwani ni chama kipi kili IBA Kura!? Na kama Chadema hawakuiba Kura kwanini wajipe adhabu twice?!...yaani Kura uibiwe na ruzuku pia usichukue?!....mi nadhani Kwa kutochukua kilicho halali yako ndio kuwatesa wanachama zaidi..hizo pesa zingetatua baadhi ya changamoto za kifedha wakati mapambano yanaendelea.. unless uamuzi huo Una faida Kwa namna Fulani..
 
Hawa wanachosha, wenyewe walikubali kushiriki uchaguzi sasa hawataki ruzuku. Sizitaki mbichi hizi style
 
Na kuna wapumbavu wanamuita shujaa wa Africa
 
Kwa mujibu wa chadema huu wizi wa kura kwa chama tawala umeanza hii 2020 ?

Kwa hiyo ruzuku walizokuwa wanapokea kipindi cha nyuma kabla ya 2020 ilikuwa haitokani na kura za wizi ?

Kwa nini walipokea ruzuku za wakati wa nyuma wakati nao walilalamikia wizi wakati huo kuwepo ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…