Mbowe: CHADEMA haikupokea mwaliko wa kwenda Ikulu kuzungumza na Rais Magufuli

Mbowe: CHADEMA haikupokea mwaliko wa kwenda Ikulu kuzungumza na Rais Magufuli

Hivi CCM bado mna siasa za kianalogia hivi..yaani 2020 hii bado mnaamini itikadi ya kukodi mamluki??

Hii hoja tunaomba majibu ya kina!! Ni aibu kwa chama kilivhotawala nchi miaka zaidi ya 60 kuwakodi kama mamluki wa mikutano ya siasa.
 
Kuitwa au kutokuitwa ispunguze ari ya kile mnachokifanya, pengine ni vyema hamkuitwa kwa kuwa ingeharibu kitu fulani. Uchaguzi 2020 patachimbika. Wananchi wako kimya lakini wana reservations zao. Ogopa raia wenye hasira wanapompiga mwizi kimya kimya. Anakufa kabla hajapiga kelele yeye mwenyewe.
 
Na wewe tukuulize wazazi wako umewafanyia nini toka wamekuzaa mpaka Leo?!
Mana unaonekana unataka mbowe atumie mshahara wake kuleta maendeleo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]!wanaoleta maendeleo ni chama taw ala,kazi ya bunge makini ni kuishauri serikali!!!mbunge hana hata pesa ya kujenga 3km za lami!
Anachotakiwa ajibu hoja za watu wa hai amewaletea maendeleo gani mpaka sasa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anachotakiwa ajibu hoja za watu wa hai amewaletea maendeleo gani mpaka sasa?
Mtu mqenye akili huwezi kupotea kuwajibu walionyeshwa gongo na kuvutishwa bangi kwa bia ya kuleta vurugu. Ukifanya hivyo, nawe utaonekana umepagawa kama hao UVCCM waliojitia uwendawazimu.
 
ndiyo anatakiwa awaambie wananchi wake kuwa nimefanya hiki na nmenymwa hiki na serikali
Ni mtu mp.umbavu pekee yake anayeweza kuregemea mbunge anaweza kujenga barabara, kuleta umeme, au hospitali. Hayo siyo majukumu ya mbunge, labda uwe mjinga ndiyo unaweza kuuliza maswali ya kijinga kiasi kile.

Kazi kubwa za Mbunge:

1) Kuwasemea wananchi Bungeni
2) Kutunga sheria
3) Kuisumamia serikali

Kuna wapu.mbavu utawasikia eti mbunge wetu ameshindwa kutuletea maji! Hivi mbunge huwa ndiye anayekusanya kodi zenu?
 
Mbowe hana chake tena Hai.
Sure
IMG-20200306-WA0013.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Salum Hamduni, alikaririwa na vyombo vya habari juzi, akisema hajapokea taarifa zozote za kutokea kwa vurugu katika mkutano wa Mbunge wa Hai.
Aiseeeeeeeee RPCCM.
 
Anachotakiwa ajibu hoja za watu wa hai amewaletea maendeleo gani mpaka sasa?
Majimbo ya upinzani hayapelekewi maendeleo na serekali pamoja na kukusanya Kodi.

Msikilize mwenyekiti wako alipokuwa anamjibu yule Mama aache kiherehere akamdai mume wake maji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anachotakiwa ajibu hoja za watu wa hai amewaletea maendeleo gani mpaka sasa?
Akili za kijinga na kipumbavu kama hizi zinaweza kuliangamiza taifa,Kama wana ubavu huo si wamuulize mwenye serikali anayekusanya kodi kwa wananchi sasa unapotumwa kufanya uhuni kwenye mkutano halali na unaolindwa na polisi na polisi hawakufanyi kitu hapo tunajua sasa kuwa polisi wetu pia wanatumika kisiasa!!!
 
Anachotakiwa ajibu hoja za watu wa hai amewaletea maendeleo gani mpaka sasa?
Maendeleo yanaletwa na serikali inayokusanya kodinza wananchi wote. Mbunge yeyote hana uwezo wa kuwaletea maendeleo wananchi kutoka aidha mfukoni kwake au kutoka kokote. Huu ujinga wa kufikiri serikali inawapa fadhila wananchi kwa kuwapa huduma za kitambi (maendeleo) kwa msimamo wao kisiasa kwa mujibu wa katiba unasikitisha.
 
Back
Top Bottom