LGE2024 Mbowe: CHADEMA haitajitoa katika uchaguzi Serikali za Mitaa. Wagombea wetu walioenguliwa kihuni warejeshwe

LGE2024 Mbowe: CHADEMA haitajitoa katika uchaguzi Serikali za Mitaa. Wagombea wetu walioenguliwa kihuni warejeshwe

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Kukiwa na dhamira ya dhati kabisa kabisa ya Kudai na Kupigania Katiba Mpya, Nina uhakika kabisa kwamba inaweza ikapatikana hata ndani ya Mwezi mmoja, hiyo inawezekana kabisa
Hii "dhamira" unayo izungumzia ni dhamira ya nani, CCM, CHADEMA au ya wananchi wa Tanzania?
Hii "dhamira" itatoka wapi ghafla hivyo; na kwa nini siku zote huko nyuma haikuwahi kuwepo?

Kwani "Katiba Mpya" imeanza le; hujui inakwamishwa na nani? Huyo anaye ikwamisha siku zote, hiyo "dhamira" ya ghafla itamwijia kwa njia zipi?
Nakupa mfano mmoja ulio hai: Nchini Afrika ya Kusini kulikuwa na tatizo la Katiba mbaya kama unavyoona hapa Tanzania. Lakini ilipofika Mwaka 1991 Watu wa ANC walipozidisha zaidi madai yao ya kudai na kupigania Katiba Mpya katika nchi hiyo, utawala dhalimu wa Makaburu ulilazimika kuunda Serikali ya Mseto/Mpito na Kuunda Katiba ya Mpito kwa kuviondoa maraoja Vifungu vyote kabisa vilivyomo kwenye Katiba ya nchi hiyo ambavyo ANC na Watu weusi wa nchi hiyo walikuwa hawavitaki. Sheria zote kabisa kandamizi zilifutwa ndani ya kipindi kifupi kabisa kisichozidi mwezi mmoja, Katiba ya Mpito ilitumika huku Wananchi wote wa nchi hiyo wakiendelea na Utungajji wa Katiba yao ya kudumu ambayo ilipatikana Mwaka 1998
Mfano wako siyo sahihi hata kidogo. ANC walikuwa kwenye mapambano tayari. Makaburu walikuwa walisha lazwa chini, hawakuwa na njia tena ya kuzuia chochote.
Leo hii unawataka CHADEMA watumie nguvu zipi kuwalazimisha CCM kuachana na uchafunzi ambao tayari wamekwisha hesabu ushindi, bila ya wananchi kuwa bega kwa bega na CHADEMA kukataa upumbavu huu?
Mwezi mmoja utaupata wapi?
Viongozi wote wa CHADEMA wanao omnekana na kihelehele, leo hii wakiwekwa jela, utasikia sauti tena?
 
Kama ni kweli:

CHADEMA chini ya mwenyekiti mwingine, CCM watamkumbuka Mbowe.

Lissu ndio anafaa kumrithi Mbowe, ila wasipkuwa makini, uchaguzi wa Mwenyekiti unaweza kukivuruga chama. na ukawa mwanzo wa makundi ndani ya chama.

Ataechaguliwa wakati ukifika, ashinde kwa haki vinginevyo watavurugana.

Pia, CHADEMA wawe makini na mapandikizi kutoka CCM na hela za Mama Abdul kuanzia sasa mpaka siku ya uchaguzi.

na hizo "hela za mama Abdul" ni hela zetu walipa Kodi. hivyo nasi tujitahidi kuwa wakali.
 
mimi ambae sio msimamizi wa uchguzi nitaje sifa za Chadema, right?🤣

sifa ya kwanza ya Chadema ni kulalamika bila sababu ya msingi.

sifa ya pili, ya tatu, ya nne na ya tano ni mihemko, kuporomosha matusi, kukosea kujaza fomu za uongozi, maandamano haramu, kususa na kugomea matokeo ya uchaguzi n.k🐒
Yote uliyoyaorodhesha ni lipi lililovunjwa kisheria?

Huyu amezaliwa 2024 je ana sifa ya kugombea uchaguzi?
Kugomea matokeo utawezaje kukubali wakati unajua hujashindwa na kwanini hamfanyi uchaguzi huru na haki ili ijulikane nguvu yenu?

20241111_212313.jpg
 
View attachment 3156358
huyu mbona pingamizi lake lilishakua solved gentleman? ni kwamba sio mgombea ni chadema waliokota picha yake kusikojulikana wakatengeneza mihuri eti uonekane kuna upendeleo ndio wananchi wawaonee huruma 🤣

kwani hakuna fomu nyingine gentleman?
maana hii ya upotoshaji mmezunguka nayo kweli kweli 🤣
 
Hebu tuma angalau kapicha tueni hoja yako yenye mashiko. Hakuna upotoshaji wowote huo ndio uhalisia mlionao huko lumumba. Maana mnajua tu kutaja namba ila hamjui kuzitumia.
 
Hebu tuma angalau kapicha tueni hoja yako yenye mashiko. Hakuna upotoshaji wowote huo ndio uhalisia mlionao huko lumumba. Maana mnajua tu kutaja namba ila hamjui kuzitumia.
kesho kampeni zinaanza rasmi na Nov 27 uchaguzi wenyewe,

nyie zubaeni na upotoshaji huo tusije kulaumiana huko mbele 🤣
 
kesho kampeni zinaanza rasmi na Nov 27 uchaguzi wenyewe,

nyie zubaeni na upotoshaji huo tusije kulaumiana huko mbele 🤣
Upotoshaji ni upi? Kwani ninayokueleza ni uongo ?
 
Back
Top Bottom