LGE2024 Mbowe: CHADEMA haitajitoa katika uchaguzi Serikali za Mitaa. Wagombea wetu walioenguliwa kihuni warejeshwe

LGE2024 Mbowe: CHADEMA haitajitoa katika uchaguzi Serikali za Mitaa. Wagombea wetu walioenguliwa kihuni warejeshwe

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
THE WAY FORWARD:
Njia iliyo sahihi zaidi ya kufanya Siasa sahihi kwa hapa Tanzania kwa Sasa ni Moja tu: nayo ni KUDAI NA KUPIGANIA UPATIKANAJI WA KATIBA MPYA ILIYO NZURI.
Lini hii itafanyika mkuu 'Mulholland'. Sasa hivi kabla ya uchafuzi wa Serikali za mitaa? CCM watakubali hilo?

Au "THE Way FORWARD" unayo lenga ni huko 2030 na kuendelea?

Toa mapendekezo yako nini kifanyike sasa; hayo ya baadae yatashughulikiwa huko baadae.
 
Kukiwa na dhamira ya dhati kabisa kabisa ya Kudai na Kupigania Katiba Mpya, Nina uhakika kabisa kwamba inaweza ikapatikana hata ndani ya Mwezi mmoja, hiyo inawezekana kabisa.

Nakupa mfano mmoja ulio hai: Nchini Afrika ya Kusini kulikuwa na tatizo la Katiba mbaya kama unavyoona hapa Tanzania. Lakini ilipofika Mwaka 1991 Watu wa ANC walipozidisha zaidi madai yao ya kudai na kupigania Katiba Mpya katika nchi hiyo, utawala dhalimu wa Makaburu ulilazimika kuunda Serikali ya Mseto/Mpito na Kuunda Katiba ya Mpito kwa kuviondoa maraoja Vifungu vyote kabisa vilivyomo kwenye Katiba ya nchi hiyo ambavyo ANC na Watu weusi wa nchi hiyo walikuwa hawavitaki. Sheria zote kabisa kandamizi zilifutwa ndani ya kipindi kifupi kabisa kisichozidi mwezi mmoja, Katiba ya Mpito ilitumika huku Wananchi wote wa nchi hiyo wakiendelea na Utungajji wa Katiba yao ya kudumu ambayo ilipatikana Mwaka 1998.
 
Ndio hivyo..
Kwani serikali inaogopa nini?? Kila mmoja alete first eleven yake anayoamini mpira uchezwe..
Tuache woga wa kutaka kucheza na timu pungufu halafu tujisifie..

Lucas Mwashambwa acheni woga njooni uwanjani tucheze game ya wazi,
kwamba wasio na sifa na vigezo vya uongozi kisheria na kikatiba warudishwe kuinajisi katiba?🤣
 
Chadema ni mpango wa mungu

20241119_152227.jpg
 
kwamba wasio na sifa na vigezo vya uongozi kisheria na kikatiba warudishwe kuinajisi katiba?🤣
Wewe jamaa ni hopeless kabisa. Unafurahi sana wenzako wanaponyimwa haki wanayostahili. Nimeona na Sadist mwenzako Mwashambwa amelike upuuzi wako.
 
Ndio hivyo..
Kwani serikali inaogopa nini?? Kila mmoja alete first eleven yake anayoamini mpira uchezwe..
Tuache woga wa kutaka kucheza na timu pungufu halafu tujisifie..

Lucas Mwashambwa acheni woga njooni uwanjani tucheze game ya wazi,
 
Attachments

  • Screenshot_2024-07-16-21-00-20-1 (1).png
    Screenshot_2024-07-16-21-00-20-1 (1).png
    420.8 KB · Views: 1
  • 20240907_095744 (1).jpg
    20240907_095744 (1).jpg
    116.1 KB · Views: 1
  • IMG-20200726-WA0000.jpg
    IMG-20200726-WA0000.jpg
    43.7 KB · Views: 1
  • 5810871-156c33252d331784831e630b50148deb.mp4
    2 MB
  • 5811523-6041f5af6e2b5c7600d07027005d6658.mp4
    3.7 MB
View attachment 3156104
Huyu nitajie sifa ambazo wa chadema hawana.
mimi ambae sio msimamizi wa uchguzi nitaje sifa za Chadema, right?🤣

sifa ya kwanza ya Chadema ni kulalamika bila sababu ya msingi.

sifa ya pili, ya tatu, ya nne na ya tano ni mihemko, kuporomosha matusi, kukosea kujaza fomu za uongozi, maandamano haramu, kususa na kugomea matokeo ya uchaguzi n.k🐒
 
Nachotaka kusikia ni kujitoa kwenye uchaguzi huu wa kipumbavu.
Kujitoa hawawezi kwakuwa pengine kuna maslahi wanayapata,kimsingi tumechoka na malalamiko yenu kila siku yasiyo na impact yoyote.ukimshindwa adui yako basi shirikiana nae baaaaaas no more no less
 
Ndio hivyo..
Kwani serikali inaogopa nini?? Kila mmoja alete first eleven yake anayoamini mpira uchezwe..
Tuache woga wa kutaka kucheza na timu pungufu halafu tujisifie..

Lucas Mwashambwa acheni woga njooni uwanjani tucheze game ya wazi,
Hakuna kitu government inaogopa ila uwezi achia nchi chama kinanuka rushwa kama chadema ( kwa mujibu wa lissu) yani hii nchi itaendelea kuwa chini ya ccm sana na hakuna kitu mnaweza fanya Zaid ya kulialia mitandaoni
 
Back
Top Bottom