LGE2024 Mbowe: CHADEMA haitajitoa katika uchaguzi Serikali za Mitaa. Wagombea wetu walioenguliwa kihuni warejeshwe

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Kukiwa na dhamira ya dhati kabisa kabisa ya Kudai na Kupigania Katiba Mpya, Nina uhakika kabisa kwamba inaweza ikapatikana hata ndani ya Mwezi mmoja, hiyo inawezekana kabisa
Hii "dhamira" unayo izungumzia ni dhamira ya nani, CCM, CHADEMA au ya wananchi wa Tanzania?
Hii "dhamira" itatoka wapi ghafla hivyo; na kwa nini siku zote huko nyuma haikuwahi kuwepo?

Kwani "Katiba Mpya" imeanza le; hujui inakwamishwa na nani? Huyo anaye ikwamisha siku zote, hiyo "dhamira" ya ghafla itamwijia kwa njia zipi? Mfano wako siyo sahihi hata kidogo. ANC walikuwa kwenye mapambano tayari. Makaburu walikuwa walisha lazwa chini, hawakuwa na njia tena ya kuzuia chochote.
Leo hii unawataka CHADEMA watumie nguvu zipi kuwalazimisha CCM kuachana na uchafunzi ambao tayari wamekwisha hesabu ushindi, bila ya wananchi kuwa bega kwa bega na CHADEMA kukataa upumbavu huu?
Mwezi mmoja utaupata wapi?
Viongozi wote wa CHADEMA wanao omnekana na kihelehele, leo hii wakiwekwa jela, utasikia sauti tena?
 

na hizo "hela za mama Abdul" ni hela zetu walipa Kodi. hivyo nasi tujitahidi kuwa wakali.
 
Yote uliyoyaorodhesha ni lipi lililovunjwa kisheria?

Huyu amezaliwa 2024 je ana sifa ya kugombea uchaguzi?
Kugomea matokeo utawezaje kukubali wakati unajua hujashindwa na kwanini hamfanyi uchaguzi huru na haki ili ijulikane nguvu yenu?

 
huyu mbona pingamizi lake lilishakua solved gentleman? ni kwamba sio mgombea ni chadema waliokota picha yake kusikojulikana wakatengeneza mihuri eti uonekane kuna upendeleo ndio wananchi wawaonee huruma ๐Ÿคฃ

kwani hakuna fomu nyingine gentleman?
maana hii ya upotoshaji mmezunguka nayo kweli kweli ๐Ÿคฃ
 
Hebu tuma angalau kapicha tueni hoja yako yenye mashiko. Hakuna upotoshaji wowote huo ndio uhalisia mlionao huko lumumba. Maana mnajua tu kutaja namba ila hamjui kuzitumia.
 
Hebu tuma angalau kapicha tueni hoja yako yenye mashiko. Hakuna upotoshaji wowote huo ndio uhalisia mlionao huko lumumba. Maana mnajua tu kutaja namba ila hamjui kuzitumia.
kesho kampeni zinaanza rasmi na Nov 27 uchaguzi wenyewe,

nyie zubaeni na upotoshaji huo tusije kulaumiana huko mbele ๐Ÿคฃ
 
kesho kampeni zinaanza rasmi na Nov 27 uchaguzi wenyewe,

nyie zubaeni na upotoshaji huo tusije kulaumiana huko mbele ๐Ÿคฃ
Upotoshaji ni upi? Kwani ninayokueleza ni uongo ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ