Mbowe: CHADEMA hatutashiriki Uchaguzi Mkuu wa 2025 (bila Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi)

Tume iko Huru, nenda kasome Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977, Ibara ya 74 (11) utaelewa ndugu yangu usipotoshe watu.
Simple reasoning
Kwenye mechi ya Simba na Yanga ambayo mmojawapo ndio atoe Referee, utategemea matokeo ya haki kwa wote?
Katiba hiyo ya 1977 inapwaya sana kwenye uwepo wa vyama vingi. Mnaoing'ang'ania mnaogopa ushindani wa kweli na haki.
By the way, umezaliwa lini?
 


Bila tume huru uchaguzi ni kupoteza pesa na muda wa watanzania. Tutakuwa tunaishi kwa uongo
 
Bila tume huru uchaguzi ni kupoteza pesa na muda wa watanzania. Tutakuwa tunaishi kwa uongo
Sawa mkae mtulie sasa mpaka mwaka 20100 ndiyo itakuja tume huru
 
Mawazo ya DJ bwana,yanafurahisha kweli,chama kinaendeshwa kimihemuko,sasa sijui sisi wafuasi wake tuelewe Nini!?.

DJ toka huko uje utueleze tena Kama msimamo wako uko vile vile au umebadilika.

Sent from my iPhone o+using JamiiForums mobile app
 
Mwaka 2025 Yeye aitishe uchaguzi wa Mwenyekiti wa CDM

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Mrembo kinuju nimekumiss
 
Sasa hivi uchaguzi utakuwa huru na wa haki.
Tume ya uchaguzi imeshakuwa huru.
Katiba imeshapatikana.

Mama anatupiga mwingi 2025 tunaingiza team au sio makamanda.
 
Kama ni kweli Mbowe anakosea sana na anakopoteza chama
 
Sawa msemaji mkui wa chama - tumekusoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…