Mbowe: CHADEMA hatutashiriki Uchaguzi Mkuu wa 2025 (bila Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi)

100% Nakubaliana na Mbowe; the only solution kwa kile wanachokitafuta Vyama Mbadala ni Kupambana usiku na Mchana kudai Katiba Mpya yenye Tume huru ya Uchaguzi. Mengine yote ni Mbwembwe tu Itakaa Ikatokea hapa Tanzania kwa Wapinzani Kuingia Ikulu kwa tume hizi za CCM. However, Main objective ya Opposition ni Kuongoza nchi, but inapokuwa Imeshindikana au Kura hazijatosha kwa sababu yoyoteile basi uwakilishi wao bungeni ulete Tija katika Jamii. Mh. Mbowe, Mnyika plus your people kaza boot (Kudai Haki Kuna gharama Zake) it's never too late and not ease task to pursue.
Bila tume huru ya uchaguzi hata kura sitapiga nikupoteza muda bure kwa mambo ya kipumbavu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbowe ana wahadaa wafuasi wake wasiojielewa
Hakujawahi kutokea kiongozi mjinga, mpumbavu na asiyejielewa kama marehemu meko!
Wafuasi wake walikuwa zaidi ya mazombi.
Bora limekufa maana lilipokuwa linatupeleka ni kuzimu kabisa, bora limeenda huko lenyewe.

Sasa hivi mnahaha haha tu wafuasi wake, hamjui muunge mkono mama au muunge mkono Chadema. Mmeanza kumpiga spana msaidizi wa mwendakuzimu, kiufupi spana zenu kwa mama mnatusaidia kazi
 
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe ameenda kinyume na Lisu kwa kutangaza kuwa Chadema haitashiriki uchaguzi mkuu nchini wa mwaka 2025, hivyo kumpa nafasi rais Samia kuendelea kutawala mpaka 2030.

Ikumbukwe mwanzoni mwa mwezi wa tano Tundu Lisu alitangaza kumvaa rais Samia kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2025View attachment 1798989
Hivi kwa nini huyu dogo anapenda sana kulia lia?
 
Hakujawahi kutokea kiongozi mjinga, mpumbavu na asiyejielewa kama marehemu meko!
Wafuasi wake walikuwa zaidi ya mazombi.
Bora limekufa maana lilipokuwa linatupeleka ni kuzimu kabisa, bora limeenda huko lenyewe.

Sasa hivi mnahaha haha tu wafuasi wake, hamjui muunge mkono mama au muunge mkono Chadema. Mmeanza kumpiga spana msaidizi wa mwendakuzimu, kiufupi spana zenu kwa mama mnatusaidia kazi
Hakuna tume pale ni hovyo kabisa
 
Raha ya mbowe ni kutawala nyumbu kama wewe.

Kwa hiyo aliyewazuia kushiriki uchaguzi mkuu wa 2025 ni mwendazake?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbowe ana wahadaa wafuasi wake wasiojielewa
Hahaha pia ametangaza tena kuwasamehe wasaliti wote akina Mdee
 
Kwani wasiposhiriki ni nini cha ajabu?

Kwani vyama vyote huwa vinashiriki uchaguzi?
Nenda kamuulize Ndugai kwanini anawang'ang'ania wabunge wa COVID 19 pale bungeni wakati CHADEMA haiwatambui?

Akikupa jibu ndio utaelewa kwanini CHADEMA ni nguvu ya umma wa watanzania.
 
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe ameenda kinyume na Lisu kwa kutangaza kuwa Chadema haitashiriki uchaguzi mkuu nchini wa mwaka 2025, hivyo kumpa nafasi rais Samia kuendelea kutawala mpaka 2030.

Ikumbukwe mwanzoni mwa mwezi wa tano Tundu Lisu alitangaza kumvaa rais Samia kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2025View attachment 1798989
Kwa niliyoyaona uchunguzi mkuu wa mwaka 2020 mbowe uko sawa 100%,
 
100% Nakubaliana na Mbowe; the only solution kwa kile wanachokitafuta Vyama Mbadala ni Kupambana usiku na Mchana kudai Katiba Mpya yenye Tume huru ya Uchaguzi. Mengine yote ni Mbwembwe tu Itakaa Ikatokea hapa Tanzania kwa Wapinzani Kuingia Ikulu kwa tume hizi za CCM. However, Main objective ya Opposition ni Kuongoza nchi, but inapokuwa Imeshindikana au Kura hazijatosha kwa sababu yoyoteile basi uwakilishi wao bungeni ulete Tija katika Jamii. Mh. Mbowe, Mnyika plus your people kaza boot (Kudai Haki Kuna gharama Zake) it's never too late and not ease task to pursue.
watu wengi mdai katiba mpya ila ukiwauliza nini, kibadilishwe, hana jibu, vipi tuanze na wewe mkuu umeisoma rasimu ya Tume ya Jaji Warioba?
 
Waandishi wetu ni bure kabisa. Mbowe amesema hawatashiriki kama mambo kadhaa wa kadhaa hayatafanyiwa marekebisho. Ina maana kama kutakuwa ma some changes, chances are watashiriki.

Sasa huyu Mwandishi yeye kakimbilia kuweka heading hiyo ili labda auze gazeti lao
 
Hakujawahi kutokea kiongozi mjinga, mpumbavu na asiyejielewa kama marehemu meko!
Wafuasi wake walikuwa zaidi ya mazombi.
Bora limekufa maana lilipokuwa linatupeleka ni kuzimu kabisa, bora limeenda huko lenyewe.

Sasa hivi mnahaha haha tu wafuasi wake, hamjui muunge mkono mama au muunge mkono Chadema. Mmeanza kumpiga spana msaidizi wa mwendakuzimu, kiufupi spana zenu kwa mama mnatusaidia kazi
hamna hoja hapa zaidi ya chuki binafsi
 
Kwa mfumo huu uliopo wa kuchaguana wa kihuni huni - naunga mkono hoja 100%.
 
Waandishi wetu ni bure kabisa. Mbowe amesema hawatashiriki kama mambo kadhaa wa kadhaa hayatafanyiwa marekebisho. Ina maana kama kutakuwa ma some changes, chances are watashiriki.

Sasa huyu Mwandishi yeye kakimbilia kuweka heading hiyo ili labda auze gazeti lao
kaka kuna magezeti sasa hivi ? Tanzanite na Habari leo wapo kusifu na kuabudu.
 
Hakujawahi kutokea kiongozi mjinga, mpumbavu na asiyejielewa kama marehemu meko!
Wafuasi wake walikuwa zaidi ya mazombi.
Bora limekufa maana lilipokuwa linatupeleka ni kuzimu kabisa, bora limeenda huko lenyewe.

Sasa hivi mnahaha haha tu wafuasi wake, hamjui muunge mkono mama au muunge mkono Chadema. Mmeanza kumpiga spana msaidizi wa mwendakuzimu, kiufupi spana zenu kwa mama mnatusaidia kazi
Dogo! Meko kesha kufa!

Hapa tunaongelea mstakabali wa chama lako la chadema kushiriki au kutoshiriki uchaguzi!

Kwa ninavyomfahamu Mbowe huwa anakuwa na maneno kama haya ila ikifika mwezi kabla ya uchaguzi utaona amechachamaa kushiriki uchaguzi.

Mtageuzwa geuzwa kama samaki hadi lini enyi wafuasi wa Mbowe?

Halafu nimeona sasa hivi mnaiunga mkono ccm na mama ili kumkomoa marehemu.

[emoji23][emoji23][emoji23]2025 tutakuwa wote kumpigia kampeni mama sawa?
 
Back
Top Bottom