Hivyo nivitu viwili tofauti mbona kumuunga mkono Kwa mambo Fulani lkn sio Kwa mambo ya katibaHuyu jamaa anaua upinzani, yaani jana tu katoka kusema anamuunga mkono mama then leo tena hawatashiriki uchaguzi. Chadema mwangalieni huyu mwenyekiti.
Wapigiane wenyeweAHSANTE,
Sio wewe tu, nami sitarudia kupoteza muda wangu.
Yaani hapa Mbowe amenena, siku 60 na kadhaa tayari nina tabasamu hasa nikifiria kupanda daraja mwezi wa sita na vile vicopy vya barua za Chamwino vya kupandisha madaraja with effective from 91/06/2021 vinavyosambaa mitaondaoni ndio vinanipa hamasa kabisaaa.Katika hatua nyingine, Mbowe, alimpongeza Rais Samia kwa kile ambacho alikiita kurudisha tabasamu na matumaini kwa wananchi akidai walipoteza imani na viongozi kutokana na baadhi ya mambo maovu.
[emoji23][emoji23][emoji23]Hivi nyie binadam wenzangu mpoje mnajuaje Kama mama Samia at survive mpaka 25
YOTE namwachia Mungu, kama ilivyokuwa kwa Mwendazake alipokuwa anajiandaa kutawala milele. Mungu wa haki atauleta mkono wake. AMENSafi kabisa ili ccm iendelee kutawala
Wachawi wakisimamiwa na mashetani waoWapigiane wenyewe
Pole ndugu, maana yaonekana dhahiri umeelewa. AMENHata Mbowe hatakuwa mwenyekiti milele pamoja na kwamba anauwa wenzake wanaojaribu kugombea uenyekiti
Tetetete balaa na nusuWachawi wakisimamiwa na mashetani wao
Katiba mpya ni agenda ya kina Mbowe kwa manufaa ya matumbo yao tu basiKudai Katiba siyo agenda ya Mh.Mbowe wala CHADEMA pekee Bali ya Watanzania wengi kwa faida yetu sote.
Mnaotetea Katiba iliyopo mna maslahi gani nayo kiasi cha kuhamasisha Wananchi kuwa isipatikane Mpya?
Katiba za nchi zinatakiwa ziendane na mahitaji ya wakati husika,inakuwaje Watanzania wa leo wanaong'ang'ania Katiba iliyoandikwa miaka zaidi ya 40 ilyopita tena wakati ule chini ya chama kimoja na watu wachache walioelimika kulikoni sasa?Mazingira na mahitaji ya nchi hii ya mwaka 1977 ni sawa na 2021? Tujiulize,kwa nini CCM wanaogopa Katiba hii kubadilishwa?Je,katiba za nchi ni kwa faida ya vyama vilivyopo madarakani?
Wenye nchi wanapohitaji kujitengenezea utaratibu bora wa kuiongoza nchi yao ni nani mwenye Haki ya kuwazuia?
Uchaguzi wa kidemokrasia bila Tume huru? Wachekesha sana wewe. Si itawasaidia muweze kupata nafasi ya kuokoteza wa kuunda Covid # wengine.Sasa isiposhiriki uchaguzi wa kidemokrasia inategemea kufanya mapinduzi ya kibabe? ifike wakati CHADEMA muache hizi siasa maji taka fanyeni sisa zenye dira kwa maslahi mapana ya taifa. mmeshindwa kumpelekea spika uthibitisho wa vikao vilivyowafukuza Covid 19 wananchi tunawaangalia tu mnavyocheza na akili zetu tunaomba mjibu swali kwanza la rufaa za wale Covid 19 ndio tuwasikilize kwa haya mengine. kusudi la kusema hayo ni kuonyesha kuwa tunahangaika na adui wa nje wakati tunamwacha adui tuliekaa naye mezani shida ya CHADEMA inaanzia ndani ya chama najua katika hili watanielewa wachache kwa sasa lakini wengi watanielewa baadae
Kapumzike kwanza labda waweza kupata HOJA.Katiba mpya ni agenda ya kina Mbowe kwa manufaa ya matumbo yao tu basi
Mbona unaandika kwa mihemuko husomi habari yote?Kampongeza mama kwa kurudisha tabasamu kwa WatanzaniaHuyu jamaa anaua upinzani, yaani jana tu katoka kusema anamuunga mkono mama then leo tena hawatashiriki uchaguzi. Chadema mwangalieni huyu mwenyekiti.
Wakina MBOWE, LISSU , LEMA na wengine wengi walishakua wabunge tena wengine wa muda mrefu tu kwa TUME hii ambayo wanapigia kelele sasa waulize mbona walipokuwa wabunge hawakukataa kwa sababu TUME haikuwa huru? mtu kashindwa uchaguzi na kushindwa kujibu maswali juu ya rufaa ya COVID 19 anakimbilia kujificha kwenye kichaka cha TUME HURU na nyie mnaishia tu kushangilia acheni kushikiwa akili na Mbowe mwenzenu anawacheka tuUchaguzi wa kidemokrasia bila Tume huru? Wachekesha sana wewe. Si itawasaidia muweze kupata nafasi ya kuokoteza wa kuunda Covid # wengine.
Nyumbu ni taabu sanaWakina MBOWE, LISSU , LEMA na wengine wengi walishakua wabunge tena wengine wa muda mrefu tu kwa TUME hii ambayo wanapigia kelele sasa waulize mbona walipokuwa wabunge hawakukataa kwa sababu TUME haikuwa huru? mtu kashindwa uchaguzi na kushindwa kujibu maswali juu ya rufaa ya COVID 19 anakimbilia kujificha kwenye kichaka cha TUME HURU na nyie mnaishia tu kushangilia acheni kushikiwa akili na Mbowe mwenzenu anawacheka tu
Nyumbu hawatambui hiloNi fursa kwa Act wazalendo kuwa chama kikuu cha upinzani chenye nguvu, kufa kufaana... Chama kinajiita demokrasia na maendeleo lakini kina mwenyekiti wa maisha ina maana hakuna mwenye uwezo wa kuongoza zaidi yake?
Akipewa nafasi ya Uraisi huyu si atabadili katiba awe mfalme kabisa.
Act wazalendo na vyama vingine vitashoriki kama chaguzi ndogo ilivyokuwa😋😋Kwani wasiposhiriki ni nini cha ajabu?
Kwani vyama vyote huwa vinashiriki uchaguzi?