Wasalaaaam!
"Hatutashiriki Uchaguzi wa Udiwani, Ubunge au Urais hadi tutakapokuwa na Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba mpya na hatusemi tunakwenda kulala tukisubiri vishuke kama maji tutavipigania kuanzia leo kwa nguvu zetu zote” amesisitiza Mh. Mbowe.
Tunaunga mkono hojaWasalaaaam!
"Hatutashiriki Uchaguzi wa Udiwani, Ubunge au Urais hadi tutakapokuwa na Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba mpya na hatusemi tunakwenda kulala tukisubiri vishuke kama maji tutavipigania kuanzia leo kwa nguvu zetu zote” amesisitiza Mh. Mbowe.
Hata msiposhiriki poa tu maana hamna la maana, wahuni tu nyieWasalaaaam!
"Hatutashiriki Uchaguzi wa Udiwani, Ubunge au Urais hadi tutakapokuwa na Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba mpya na hatusemi tunakwenda kulala tukisubiri vishuke kama maji tutavipigania kuanzia leo kwa nguvu zetu zote” amesisitiza Mh. Mbowe.
Kuna rasmu ya katiba iliyokuwa tayari kupigiwa kura na wananchi lakini Chadema wakiwa katika umoja wa UKAWA waliipinga rasmu ile.Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe ameenda kinyume na Lisu kwa kutangaza kuwa Chadema haitashiriki uchaguzi mkuu nchini wa mwaka 2025, hivyo kumpa nafasi rais Samia kuendelea kutawala mpaka 2030.
Ikumbukwe mwanzoni mwa mwezi wa tano Tundu Lisu alitangaza kumvaa rais Samia kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.
===
Mbowe alitoa msimamo huo jana jijini, akisisitiza kwamba wanakusudia kupita nchi nzima kuidai katiba hiyo kwa kuwa ni haki ya wananchi.
Alikuwa akizindua mfumo wa kielekroniki wa chama hicho wa kuwatambua wanachama wake. “Tunaposema tunahitaji Katiba Mpya, tutawafundisha wanachama na viongozi wetu, watambue umuhimu na uzito wake, kwa sababu udhaifu wa katiba yetu ya sasa umesababisha kuwa na kiongozi aliyekuwa madarakani kuharibu nchi, kuumiza na kuwatesa wananchi kwa kuwa katiba hii inampa mamlaka makubwa ya kifalme.
“Rais akisema mfunge mtu huyu, sitaki kuona mikutano ya hadhara au kuona kiongozi wa upinzani, anashinda uchaguzi na haki za wananchi wote milioni 60 zinapotea shauri ya kiongozi mmoja mwenye madaraka na mamlaka makubwa kutokana na udhaifu wa katiba hii ya sasa," alifafanua.
Mbowe alisema tayari ameshazungumza na Rais Samia Suluhu Hassan kuhusu suala la Katiba Mpya, kwamba siyo mapenzi ya mtu mmoja, bali ni mapenzi ya taifa.
“Nimemwambia Mama Samia (Rais), mambo ya katiba siyo mambo ya mapenzi yake, ni mapenzi ya taifa la Tanzania na Katiba Mpya tutaitafuta na kuipigania kwa jasho na damu ili kupata katiba ya nchi yetu kabla ya uchaguzi wa mwaka 2025," alisema.
Katika hatua nyingine, Mbowe, alimpongeza Rais Samia kwa kile ambacho alikiita kurudisha tabasamu na matumaini kwa wananchi akidai walipoteza imani na viongozi kutokana na baadhi ya mambo maovu.
"Mama (Rais) amerejesha matumaini na tabasamu kwenye sura za Watanzania na CHADEMA, kwa hilo tunamuunga mkono na nilimwandikia ujumbe wa kutaka kuonana naye kwa ajili ya mazungumzo.
"Alinijibu kwamba tutakutana na kuzungumza, hivyo basi tunasubiri nafasi hiyo ya mazungumzo kwa kuwa kuna mambo mengi mabaya yamefanyika kwenye nchi hii," alisema.
Mbowe alidai kuwa moja ya mambo watakayoyawasilisha kwa Mkuu wa Nchi ni kitendo cha wafuasi wa chama hicho zaidi ya 250 kufungwa gerezani huku akidai baadhi yao wameshtakiwa kwa makosa ya kubambikwa ukiwamo unyang’anyi, uhujumu uchumi, mauaji na ubakaji.
Pia alitangaza mkakati wa CHADEMA kuanza kujenga ofisi za chama hicho kuanzia ngazi ya wilaya, mikoa na kanda ili kuongeza imani kwa wanachama wake, kuwaziba midomo baadhi ya makada kutoka vyama vingine vya siasa kuwa chama hicho hakina ofisi.
"Ofisi hizi zitajengwa kwa nguvu za wanachama ili kuonyesha nguvu ya umma inaweza kufanya chochote bila kutengemea ruzuku ya Sh. milioni 380 kwa wabunge na madiwa kabla ya uchaguzi wa mwaka 2020, walizokuwa wanapokea kwa mwezi.
Alisema kuwa baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka jana, walipaswa kupokea ruzuku ya Sh. milioni 140 kwa mwezi, lakini waliikataa kutokana na kutoutambua uchaguzi huo.
"Atakayeomba kurudi na kuomba msamaha tumpokee na kumsamehe kwa kuwa chama chetu hakihukumu bali tunataka kujenga taifa lenye haki na mshikamano pasipo kuwabagua watu kutokana na itikadi za vyama, sura, rangi, kabila au dini," alisema.
*Imeandikwa na Allan Isack na Cynthia Mwilolezi.
Chanzo: IPP Media
Kama rais akiwa kubalia tunataka ile Raimu iliyopendekeza ukomo wa Wabunge kugombea.Kuna rasmu ya katiba iliyokuwa tayari kupigiwa kura na wananchi lakini Chadema wakiwa katika umoja wa UKAWA waliipinga rasmu ile.
Kama Rais Samia aliyekuwa makamu mwenyekiti wa bunge la katiba ataamua kuwasikiliza kitu pekee ataweza kufanya ni kukamilisha mchakato wa katiba mahali ulipoishia.
Sijui Chadema wanataka katiba ipi Rasmu iliyokuwa tayari kupigiwa kura au mchakato wa katiba urudiwe upya?
Angekuwa hapendwi mgekuwa mnamuongelea hadi leo? Imagine mtu ana miezi 3 kaburini lakini kila siku ni kumjadili yeye tu.Angalau awamu ya 3 na 4 walikuwa watu wenye kiwango kikubwa cha ubinadamu.
Sasa huyu mwenye ushetani alitaka alazimishe kupendwa akafail pamoja na maigizo yote kila siku. Kwa kukosa mvuto, akata aue upinzani nayo ilishindwa kumsaidia mpaka anauacha ulimwengu huu.
Tumechoka kuishi kwa hisani ya mtu yeyote. Yahitajika Katiba mpya na Tume huru kusimamia haki hii.
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe ameenda kinyume na Lisu kwa kutangaza kuwa Chadema haitashiriki uchaguzi mkuu nchini wa mwaka 2025, hivyo kumpa nafasi rais Samia kuendelea kutawala mpaka 2030.
Ikumbukwe mwanzoni mwa mwezi wa tano Tundu Lisu alitangaza kumvaa rais Samia kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.
===
Mbowe alitoa msimamo huo jana jijini, akisisitiza kwamba wanakusudia kupita nchi nzima kuidai katiba hiyo kwa kuwa ni haki ya wananchi.
Alikuwa akizindua mfumo wa kielekroniki wa chama hicho wa kuwatambua wanachama wake. “Tunaposema tunahitaji Katiba Mpya, tutawafundisha wanachama na viongozi wetu, watambue umuhimu na uzito wake, kwa sababu udhaifu wa katiba yetu ya sasa umesababisha kuwa na kiongozi aliyekuwa madarakani kuharibu nchi, kuumiza na kuwatesa wananchi kwa kuwa katiba hii inampa mamlaka makubwa ya kifalme.
“Rais akisema mfunge mtu huyu, sitaki kuona mikutano ya hadhara au kuona kiongozi wa upinzani, anashinda uchaguzi na haki za wananchi wote milioni 60 zinapotea shauri ya kiongozi mmoja mwenye madaraka na mamlaka makubwa kutokana na udhaifu wa katiba hii ya sasa," alifafanua.
Mbowe alisema tayari ameshazungumza na Rais Samia Suluhu Hassan kuhusu suala la Katiba Mpya, kwamba siyo mapenzi ya mtu mmoja, bali ni mapenzi ya taifa.
“Nimemwambia Mama Samia (Rais), mambo ya katiba siyo mambo ya mapenzi yake, ni mapenzi ya taifa la Tanzania na Katiba Mpya tutaitafuta na kuipigania kwa jasho na damu ili kupata katiba ya nchi yetu kabla ya uchaguzi wa mwaka 2025," alisema.
Katika hatua nyingine, Mbowe, alimpongeza Rais Samia kwa kile ambacho alikiita kurudisha tabasamu na matumaini kwa wananchi akidai walipoteza imani na viongozi kutokana na baadhi ya mambo maovu.
"Mama (Rais) amerejesha matumaini na tabasamu kwenye sura za Watanzania na CHADEMA, kwa hilo tunamuunga mkono na nilimwandikia ujumbe wa kutaka kuonana naye kwa ajili ya mazungumzo.
"Alinijibu kwamba tutakutana na kuzungumza, hivyo basi tunasubiri nafasi hiyo ya mazungumzo kwa kuwa kuna mambo mengi mabaya yamefanyika kwenye nchi hii," alisema.
Mbowe alidai kuwa moja ya mambo watakayoyawasilisha kwa Mkuu wa Nchi ni kitendo cha wafuasi wa chama hicho zaidi ya 250 kufungwa gerezani huku akidai baadhi yao wameshtakiwa kwa makosa ya kubambikwa ukiwamo unyang’anyi, uhujumu uchumi, mauaji na ubakaji.
Pia alitangaza mkakati wa CHADEMA kuanza kujenga ofisi za chama hicho kuanzia ngazi ya wilaya, mikoa na kanda ili kuongeza imani kwa wanachama wake, kuwaziba midomo baadhi ya makada kutoka vyama vingine vya siasa kuwa chama hicho hakina ofisi.
"Ofisi hizi zitajengwa kwa nguvu za wanachama ili kuonyesha nguvu ya umma inaweza kufanya chochote bila kutengemea ruzuku ya Sh. milioni 380 kwa wabunge na madiwa kabla ya uchaguzi wa mwaka 2020, walizokuwa wanapokea kwa mwezi.
Alisema kuwa baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka jana, walipaswa kupokea ruzuku ya Sh. milioni 140 kwa mwezi, lakini waliikataa kutokana na kutoutambua uchaguzi huo.
"Atakayeomba kurudi na kuomba msamaha tumpokee na kumsamehe kwa kuwa chama chetu hakihukumu bali tunataka kujenga taifa lenye haki na mshikamano pasipo kuwabagua watu kutokana na itikadi za vyama, sura, rangi, kabila au dini," alisema.
*Imeandikwa na Allan Isack na Cynthia Mwilolezi.
Chanzo: IPP Media
Upuuzi mtupu watanzania wanataka kusikia SGR ,Bwawa la umeme vimekamilikaWasalaaaam!
"Hatutashiriki Uchaguzi wa Udiwani, Ubunge au Urais hadi tutakapokuwa na Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba mpya na hatusemi tunakwenda kulala tukisubiri vishuke kama maji tutavipigania kuanzia leo kwa nguvu zetu zote” amesisitiza Mh. Mbowe.
Wanataka mchakato wa katiba uanze upyaKuna rasmu ya katiba iliyokuwa tayari kupigiwa kura na wananchi lakini Chadema wakiwa katika umoja wa UKAWA waliipinga rasmu ile.
Kama Rais Samia aliyekuwa makamu mwenyekiti wa bunge la katiba ataamua kuwasikiliza kitu pekee ataweza kufanya ni kukamilisha mchakato wa katiba mahali ulipoishia.
Sijui Chadema wanataka katiba ipi Rasmu iliyokuwa tayari kupigiwa kura au mchakato wa katiba urudiwe upya?
Dili la poshoWanataka mchakato wa katiba uanze upya
Hiyo ndiyo sababu kuu ccm huwa wana muogopa sana mh Mbowe.100% Nakubaliana na Mbowe; the only solution kwa kile wanachokitafuta Vyama Mbadala ni Kupambana usiku na Mchana kudai Katiba Mpya yenye Tume huru ya Uchaguzi. Mengine yote ni Mbwembwe tu Itakaa Ikatokea hapa Tanzania kwa Wapinzani Kuingia Ikulu kwa tume hizi za CCM.
However, Main objective ya Opposition ni Kuongoza nchi, but inapokuwa Imeshindikana au Kura hazijatosha kwa sababu yoyoteile basi uwakilishi wao bungeni ulete Tija katika Jamii. Mh. Mbowe, Mnyika plus your people kaza boot (Kudai Haki Kuna gharama Zake) it's never too late and not ease task to pursue.
Tatizo lako hujui hata kiswahili masikini ya Mungu.Huyu jamaa anaua upinzani, yaani jana tu katoka kusema anamuunga mkono mama then leo tena hawatashiriki uchaguzi. Chadema mwangalieni huyu mwenyekiti.
Kwa taarifa yako ni kwamba hapo hakuna chama cha upinzani kinacho uawa maana chama cha upinzani hapa Tanzania ni C H A D E M A.Huyu jamaa anaua upinzani, yaani jana tu katoka kusema anamuunga mkono mama then leo tena hawatashiriki uchaguzi. Chadema mwangalieni huyu mwenyekiti.
Mkuu@Saint Ivuga: huoni huo uamuzi wa mh Mbowe kuwa ni mwanzo wa kuanzisha vuguvugu la kudai hiyo katiba?Katiba mpya haitawezekana
Ccm hawawezi kutoa katiba mpya kamwe.
Katiba mpya itatoka kwa kulazimisha ila sio kwa matakwa ya ccm
Kupata katiba mpya mi sawa na kupata uhuru kutoka kwa mkoloni tena bora mkoloni alikuwa na kwao. Anakupa anaondoka. Ccm hawana kwao tupo nao hapa hapa.
Suala la katiba mpya sahauni labda watu waingie kitaa damu zimwagike etc. Ila bure bure hio haipo
Huyo ni moja ya vilazaWe nawe dishi limeyumba
Tangu lini Wanyarwanda wakajua kiswahili?[emoji23][emoji23][emoji23]Kiswahili nahisi kinakupiga chenga wewe kumuunga mkono na na kutoshiriki uchaguzi ni vitu viwili tofauti.