denooJ
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 18,486
- 68,288
ACT hawa waliolia machozi juu baada ya kugongwa kule Muhambwe au wengine?!Ni fursa kwa Act wazalendo kuwa chama kikuu cha upinzani chenye nguvu, kufa kufaana... Chama kinajiita demokrasia na maendeleo lakini kina mwenyekiti wa maisha ina maana hakuna mwenye uwezo wa kuongoza zaidi yake?
Akipewa nafasi ya Uraisi huyu si atabadili katiba awe mfalme kabisa.