Mbowe: CHADEMA hatutashiriki Uchaguzi Mkuu wa 2025 (bila Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi)

Bila tume huru ya uchaguzi hata kura sitapiga nikupoteza muda bure kwa mambo ya kipumbavu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbowe ana wahadaa wafuasi wake wasiojielewa
Hakujawahi kutokea kiongozi mjinga, mpumbavu na asiyejielewa kama marehemu meko!
Wafuasi wake walikuwa zaidi ya mazombi.
Bora limekufa maana lilipokuwa linatupeleka ni kuzimu kabisa, bora limeenda huko lenyewe.

Sasa hivi mnahaha haha tu wafuasi wake, hamjui muunge mkono mama au muunge mkono Chadema. Mmeanza kumpiga spana msaidizi wa mwendakuzimu, kiufupi spana zenu kwa mama mnatusaidia kazi
 
Hivi kwa nini huyu dogo anapenda sana kulia lia?
 
Hakuna tume pale ni hovyo kabisa
 
Raha ya mbowe ni kutawala nyumbu kama wewe.

Kwa hiyo aliyewazuia kushiriki uchaguzi mkuu wa 2025 ni mwendazake?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbowe ana wahadaa wafuasi wake wasiojielewa
Hahaha pia ametangaza tena kuwasamehe wasaliti wote akina Mdee
 
Kwani wasiposhiriki ni nini cha ajabu?

Kwani vyama vyote huwa vinashiriki uchaguzi?
Nenda kamuulize Ndugai kwanini anawang'ang'ania wabunge wa COVID 19 pale bungeni wakati CHADEMA haiwatambui?

Akikupa jibu ndio utaelewa kwanini CHADEMA ni nguvu ya umma wa watanzania.
 
Kwa niliyoyaona uchunguzi mkuu wa mwaka 2020 mbowe uko sawa 100%,
 
watu wengi mdai katiba mpya ila ukiwauliza nini, kibadilishwe, hana jibu, vipi tuanze na wewe mkuu umeisoma rasimu ya Tume ya Jaji Warioba?
 
Waandishi wetu ni bure kabisa. Mbowe amesema hawatashiriki kama mambo kadhaa wa kadhaa hayatafanyiwa marekebisho. Ina maana kama kutakuwa ma some changes, chances are watashiriki.

Sasa huyu Mwandishi yeye kakimbilia kuweka heading hiyo ili labda auze gazeti lao
 
hamna hoja hapa zaidi ya chuki binafsi
 
Kwa mfumo huu uliopo wa kuchaguana wa kihuni huni - naunga mkono hoja 100%.
 
kaka kuna magezeti sasa hivi ? Tanzanite na Habari leo wapo kusifu na kuabudu.
 
Dogo! Meko kesha kufa!

Hapa tunaongelea mstakabali wa chama lako la chadema kushiriki au kutoshiriki uchaguzi!

Kwa ninavyomfahamu Mbowe huwa anakuwa na maneno kama haya ila ikifika mwezi kabla ya uchaguzi utaona amechachamaa kushiriki uchaguzi.

Mtageuzwa geuzwa kama samaki hadi lini enyi wafuasi wa Mbowe?

Halafu nimeona sasa hivi mnaiunga mkono ccm na mama ili kumkomoa marehemu.

[emoji23][emoji23][emoji23]2025 tutakuwa wote kumpigia kampeni mama sawa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…