Pre GE2025 Mbowe: Chama chetu hakina ukomo wa Madaraka na msitulazimishe kuwa kama CCM ama Act Wazalendo wenye ukomo wa Madaraka kwa viongozi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Daah aisee
 
Aiseee😂😂😂😂🙌🏿
Huyu Baba hadi tunaomtetea tumechoka sasa
We kuweza?
 
Halafu wao kwa jiwe walikuwa wanapiga kelele za nini alivyoanzisha kampeni za chinichini kubadili katiba aongozewe kipindi??

Hiki chama kishajifia imani hakuna tena..!!
 
Haya bana CHADEMA ikipasuka msamba msilie
Siku hizi inaitwa Chagan Political Party vipi kuhusu hili
Wananchi wanadai Mbowe akiachia ndipo watafuta neno Chaga
Mbona ccm wana elements zote kuwa ni chama cha waislamu hamsemi?
 
Mbowe for life
Chama cha wachagga😂
 

Attachments

  • Screenshot_20250103-114821.jpg
    403.1 KB · Views: 1
dah!
huyu jamaa sijui
amewaongozaje
hao wajinga aisee
miaka 20! how?
it is so easy to see
through his bullshit
 
Nadhani iko bayana mbowe hajui maana ya democrasia na uongozi bora
 
NKURUZINZA AYATOLLAH DIKTETA AIKAELI MBOWE anazidi kujipoteza kisiasa. Hakika hata akishinda urais CDM haitokuwa tofauti na CUF ya Lipumba. Yajayo yanafurahisha sababu sipati picha ya uongozi wa FAM na Wenje
 
Hivi wanaolazimisha ukomo wa madaraka wamefanya nini Cha ziada wakati ambapo Chadema kinakadamizwa katika uchaguzi?. Kwa nini mnagawanyika? Hawa wanaoshabikia kutokea mgawanyiko baina ya Mbowe na Lisu ni Shetani Gani anawavuruga? Ninaunga mkono wanaopenda umoja katika nyakati hizi za uchaguzi mkuu kama mlivyofanya wakati wa UKAWA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…