..makubaliano na nani?Ndugu yangu wewe na yeye ni aina ya watu wanaokiuka makubaliano na kubadilisha maana ya jambo mpaka mnaharibu
Ukiambiwa kuku atage wewe unakataa na kusema azae
Mwisho wa siku kuku anachanika msamba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
..makubaliano na nani?Ndugu yangu wewe na yeye ni aina ya watu wanaokiuka makubaliano na kubadilisha maana ya jambo mpaka mnaharibu
Ukiambiwa kuku atage wewe unakataa na kusema azae
Mwisho wa siku kuku anachanika msamba
Familia ni bora kuliko majangiri ya rasilimali za nchi..Bora utafute nafasi ya kwa kujuana tutaungaunga kuliko kutafuta nafasi kwa familia undugu sasa .Kwa akili zako sikusapoti hili.
Vikao vitaamua, mbowe angekuwa mjumbe angependekeza 30Wanaotaka ukomo wa madaraka wanataka uwe miaka mingapi?
Miaka 3, 5, 7, 10, 15, 20, 25 au 30??
Haahaa mbowe kwake ukomo ni miaka mi5 ya uchaguzi, kwake kina kagame sawa tu, wapinzani wawe makini Sana, watasubiri sanaHuyu ndo alikua namba moja kumsakama Magufuli kwenye masuala ya ukomo wa madaraka aiseee
Mwenyekiti wa Chadema bwana Mbowe amesema chama chao cha chadema hakina ukomo wa madaraka na watu wasiwalazimishe kua kama CCM ana ACT wazalendo wenye ukomo wa Madaraka.
Mbowe anasema ukomo wa madaraka kwenye chama chao ni pale wanapofanya uchaguzi kila baada ya miaka 5 hivyo kama kiongozi anachaguliwa tena kwenye kila uchaguzi hilo halina shida ila kama wanachama watamkataa basi huo ndio ukomo wake unakua umefika.
Mbowe anasema chadema wasilazimishwe kua kama ccm ama act kuweka ukomo ama term limit ya viongozi, kiongozi atawale hadi pale wananchi watakapomchoka wenyewe.
View: https://www.instagram.com/p/DEZq5LeuFlW/?igsh=MTl4ZmRpYTZtY2pzcA==

Laana ya kumtukana Magufuli inawaandama😂😂😂Huyu ndo alikua namba moja kumsakama Magufuli kwenye masuala ya ukomo wa madaraka aiseee
Laana ya kumtukana Magufuli inawaandama😂😂😂
Haya bana CHADEMA ikipasuka msamba msilie..makubaliano na nani?
Term mbili zinatoshaWanaotaka ukomo wa madaraka wanataka uwe miaka mingapi?
Miaka 3, 5, 7, 10, 15, 20, 25 au 30??
Mbona ccm wana elements zote kuwa ni chama cha waislamu hamsemi?Haya bana CHADEMA ikipasuka msamba msilie
Siku hizi inaitwa Chagan Political Party vipi kuhusu hili
Wananchi wanadai Mbowe akiachia ndipo watafuta neno Chaga
Kumeanza kuchangamkaKabisaa yaani hapo na bado watavurugana sana
Nadhani iko bayana mbowe hajui maana ya democrasia na uongozi boraMwenyekiti wa Chadema bwana Mbowe amesema chama chao cha chadema hakina ukomo wa madaraka na watu wasiwalazimishe kua kama CCM ana ACT wazalendo wenye ukomo wa Madaraka.
Mbowe anasema ukomo wa madaraka kwenye chama chao ni pale wanapofanya uchaguzi kila baada ya miaka 5 hivyo kama kiongozi anachaguliwa tena kwenye kila uchaguzi hilo halina shida ila kama wanachama watamkataa basi huo ndio ukomo wake unakua umefika.
Mbowe anasema chadema wasilazimishwe kua kama ccm ama act kuweka ukomo ama term limit ya viongozi, kiongozi atawale hadi pale wananchi watakapomchoka wenyewe.
Hivi wanaolazimisha ukomo wa madaraka wamefanya nini Cha ziada wakati ambapo Chadema kinakadamizwa katika uchaguzi?. Kwa nini mnagawanyika? Hawa wanaoshabikia kutokea mgawanyiko baina ya Mbowe na Lisu ni Shetani Gani anawavuruga? Ninaunga mkono wanaopenda umoja katika nyakati hizi za uchaguzi mkuu kama mlivyofanya wakati wa UKAWA.Mwenyekiti wa Chadema bwana Mbowe amesema chama chao cha chadema hakina ukomo wa madaraka na watu wasiwalazimishe kua kama CCM ana ACT wazalendo wenye ukomo wa Madaraka.