Mbowe hakuitengeneza CHADEMA kama chama Cha kushika Dola Bali kama taasisi ya kutengeneza fedha haina budi wengine wampokee

Kindus

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2014
Posts
3,384
Reaction score
2,073
Tar. 28 mei 1992 wazee kadhaa wa kichaga wakiongozwa na Edwin Mtei na Fillimon Ndesamburo walisajili chama Cha siasa kikipewa jina la Chama Cha Demokrasia na Maendeleo

CHADEMA kiligombea nafasi ya 2005 mgombea akiwa Freeman akipata asilimia 5.88 na poit hivi
Mwaka 2010 mgombea akiwa Dr Mihogo CHADEMA kilipata 27% ya kura
Mwaka 2015 CHADEMA kilipata
39.75% ya kura mgombea akiwa Mzee Lowasa
Sitoweka matokeo ya 2020 kwakuwa ule haukuwa uchaguzi hivyo haufai kutumika kama takwimu

Baada ya kupanda na kupata 27% ya kura ya uraisi 2010 sanjari na viti takribani 80 na kitu ukichanganya na viti maalumu CHADEMA kikawa kinapokea mabilion ya ruzuku kutoka serikalini
Chama chini ya Dr Slaa kikanza kujitengeneza kikanzisha idara ya habari
Idara ya intelligence
Idara ya ulinzi red brigade
Jumuia. Kama BAVICHA na BAWACHA zikawa moto kweli kweli

Wakati huo wote chama kilikuwa kwenye mikono ya Dr Slaa huku mwenyekiti Mbowe akila mema ya nchi mara Dubai mara Uingereza mara America akijirusha huku na huku tuliokuwa tunahoji tulijibiwa kuwa mwenyekiti alikuwa anautumia fedha zake za uridhi wa Mzee Aikael Mbowe

Ukiachia Yale magari ya M4C Tena yaliyosajiliwa kwa jina lake na zile pikipiki hakuna kitu chengine tulichoona kilifanyika

Hakukuwa na ulipaji wa mishahara Wala posho isipokuwa hukooo makao makuu sie wa mikoani na mawilayani tulihimizwa makamanda piganieni chama tuikomboe nchi hata zile gwanda za kikamanda tuliuziwa 50,000 kwa pea

Tetesi kwamba 2020 Lowasa alimvutia mbowe mkwanja mrefu sana ili ampatie nafasi ya kugombea uraisi ni wazi kwamba Ina mashiko kwakuwa muonekano wa Lowasa Hadi anaridi CCM hakuwahi kujionyesha kama mwana CHADEMA niwazi kuwa hakuwahi kuipenda CHADEMA Bali alitumia kama plan B baada ya kukatwa na maccm

Na huu mpango kazi wa Mbowe ulifanikiwa kuongeza ruzuku lkn baada ya hapo ulikiporomosha chama Hadi Sasa watu huwaza kuwa huenda kikaangamia kama kilivyoangamia kile Cha NCCR wenye uchungu na chama wameomba kumpokea mbowe akubali yaishe au akomae taasisi imfie mikononi
 
Tar. 23 mei 1992 wazee kadhaa wa kichaga wakiongozwa na Edwin Mtei na Fillimon Ndesamburo walisajili chama Cha siasa kikipewa jina la Chama Cha Demokrasia na Maendeleo

CHADEMA kiligombea nafasi ya 2005 mgombea akiwa Freeman akipata asilimia 5 na poit hivi
Mwaka 2010 mgombea akiwa Dr Mihogo CHADEMA kilipata 15% ya kura
Mwaka 2015 CHADEMA kilipata 39% ya kura mgombea akiwa Mzee Lowasa
Sitoweka matokeo ya 2020 kwakuwa ule haukuwa uchaguzi hivyo haufai kutumika kama takwimu

Baada ya kupanda na kupata 15% ya kura ya uraisi 2010 sanjari na vita takribani 80 na kitu ukichanganya na viti maalumu CHADEMA kikawa kinapokea mabilion ya ruzuku kutoka serikalini
Chama chini ya Dr Slaa kikanza kujitengeneza kikanzisha idara ya habari
Idara ya intelligence
Idara ya ulinzi red brigade
Jumuia. Kama BAVICHA na BAWACHA zikawa moto kweli kweli

Wakati huo wote chama kilikuwa kwenye mikono ya Dr Slaa huku mwenyekiti Mbowe akila mema ya nchi mara Dubai mara Uingereza mara America akijirusha huku na huku tuliokuwa tunahoji tulijibiwa kuwa mwenyekiti alikuwa anautumia fedha zake za uridhi wa Mzee Aikael Mbowe

Ukiachia Yale magari ya M4C Tena yaliyosajiliwa kwa jina lake na zile pikipiki hakuna kitu chengine tulichoona kilifanyika

Hakukuwa na ulipaji wa mishahara Wala posho isipokuwa hukooo makao makuu sie wa mikoani na mawilayani tulihimizwa makamanda piganieni chama tuikomboe nchi hata zile gwanda za kikamanda tuliuziwa 50,000 kwa pea

Tetesi kwamba 2020 Lowasa alimvutia mbowe mkwanja mrefu sana ili ampatie nafasi ya kugombea uraisi ni wazi kwamba Ina mashiko kwakuwa muonekano wa Lowasa Hadi anaridi CCM hakuwahi kujionyesha kama mwana CHADEMA niwazi kuwa hakuwahi kuipenda CHADEMA Bali alitumia kama plan B baada ya kukatwa na maccm

Na huu mpango kazi wa Mbowe ulifanikiwa kuongeza ruzuku lkn baada ya hapo ulikiporomosha chama Hadi Sasa watu huwaza kuwa huenda kikaangamia kama kilivyoangamia kile Cha NCCR wenye uchungu na chama wameomba kumpokea mbowe akubali yaishe au akomae taasisi imfie mikononi
Kazi ya kuongoza chama kwa muda huo wa miaka 20 na bado kikawa na uhai kilio nao sasa si kitu rahisi..pamoja na mapungufu ya kibinadamu aliyo nayo Mbowe, anastahili pongezi nyingi kuliko Mwenyekiti yeyote wa chama cha siasa Tanzania kwa vyama vyote ukimtoa Mwalimu peke yake! Uzoefu alio nao kwa sasa ndio hazina pekee kufanya upinzani uendelee kuwepo Tanzania, sio tu ccm wanajua hili..tiss ambao ndio uhai/mercenary wa ccm wanajua fika na kwa akili yao ya siku zote kupanga uharibifu zaidi na si kujenga wanajaribu kumuondoa Mbowe kwenye uenyekiti kuua siasa za upinzani Tanzania..najua hawatafanikiwa!
 
Siasa za Lissu ni confrotational haziwezi kudumu..na hivyo mtu anayeamini kwa mrengo huo asipopata wafuasi wanaofanana nae unakuwa ndio mwisho wa chochote anachofanya, kwa maana hiyo hawezi kuwa Mwenyekiti wa chama akafanikiwa sababu hao wafuasi wa kufanana nae sio tu CHADEMA hata kwa nchi nzima ni km hawapo, km wapo ni wachache sana..la pili kuwa Mwenyekiti wa chama cha siasa cha upinzani Tanzania si tu kujua kuongea na kuwa na elimu..inahitaji kujitoa sana kwa rasilimali zako mwenyewe pale inahitajika, mkionyesha hata chumba cha darasa moja tu alichojenga Lissu jimboni kwake wakati akiwa mbunge..niko tayari kufuta huu uzi..Lissu hana sifa ya kuchangia maendeleo kwa kutoa rasilimali toka mfukoni kwake, na kuwa Mwenyekiti wa chama upinzani ni kuwa MLEZI pia..hii sifa Lissu hana! Conclusion..pengine atafaa siku za usoni Mungu akimjalia afya! lkn si kwa sasa..!
kuna jambo jingine CHADEMA wanapaswa kufahamu na nadhani wanafahamu lkn wanachukulia poa..kuna kundi kubwa sana la vijana ndani ya chama ni mamluki..lengo lao ni kuleta fujo kuvuruga MAAMUZI..chama kijihadhari sana na maamuzi yanashinikizwa na vijana..lugha za jazba, ushabiki km wa ccm, matusi, kejeli na dharau na fujo zingine, mkiwafahamu watu hawa dawa ni kutojali sana wanachosema..bahati mbaya hawa ndio wanamsapoti Lissu agombee uenyekiti taifa, kwangu mimi bora kubaki 5 ndani ya chama kuliko kuwa na kundi la vijana 1,000 wa aina ya waliopo CHADEMA kwa sasa.
 
Tar. 28 mei 1992 wazee kadhaa wa kichaga wakiongozwa na Edwin Mtei na Fillimon Ndesamburo walisajili chama Cha siasa kikipewa jina la Chama Cha Demokrasia na Maendeleo

CHADEMA kiligombea nafasi ya 2005 mgombea akiwa Freeman akipata asilimia 5.88 na poit hivi
Mwaka 2010 mgombea akiwa Dr Mihogo CHADEMA kilipata 27% ya kura
Mwaka 2015 CHADEMA kilipata
39.75% ya kura mgombea akiwa Mzee Lowasa
Sitoweka matokeo ya 2020 kwakuwa ule haukuwa uchaguzi hivyo haufai kutumika kama takwimu

Baada ya kupanda na kupata 27% ya kura ya uraisi 2010 sanjari na viti takribani 80 na kitu ukichanganya na viti maalumu CHADEMA kikawa kinapokea mabilion ya ruzuku kutoka serikalini
Chama chini ya Dr Slaa kikanza kujitengeneza kikanzisha idara ya habari
Idara ya intelligence
Idara ya ulinzi red brigade
Jumuia. Kama BAVICHA na BAWACHA zikawa moto kweli kweli

Wakati huo wote chama kilikuwa kwenye mikono ya Dr Slaa huku mwenyekiti Mbowe akila mema ya nchi mara Dubai mara Uingereza mara America akijirusha huku na huku tuliokuwa tunahoji tulijibiwa kuwa mwenyekiti alikuwa anautumia fedha zake za uridhi wa Mzee Aikael Mbowe

Ukiachia Yale magari ya M4C Tena yaliyosajiliwa kwa jina lake na zile pikipiki hakuna kitu chengine tulichoona kilifanyika

Hakukuwa na ulipaji wa mishahara Wala posho isipokuwa hukooo makao makuu sie wa mikoani na mawilayani tulihimizwa makamanda piganieni chama tuikomboe nchi hata zile gwanda za kikamanda tuliuziwa 50,000 kwa pea

Tetesi kwamba 2020 Lowasa alimvutia mbowe mkwanja mrefu sana ili ampatie nafasi ya kugombea uraisi ni wazi kwamba Ina mashiko kwakuwa muonekano wa Lowasa Hadi anaridi CCM hakuwahi kujionyesha kama mwana CHADEMA niwazi kuwa hakuwahi kuipenda CHADEMA Bali alitumia kama plan B baada ya kukatwa na maccm

Na huu mpango kazi wa Mbowe ulifanikiwa kuongeza ruzuku lkn baada ya hapo ulikiporomosha chama Hadi Sasa watu huwaza kuwa huenda kikaangamia kama kilivyoangamia kile Cha NCCR wenye uchungu na chama wameomba kumpokea mbowe akubali yaishe au akomae taasisi imfie mikononi
Huo ndio ukweli
 
Kwa hiyo kura za kumchagua zisipotosha itakuwaje?
 
Aisee 😯
Hapa na kuna umuhimu wa kuona uchaguzi wa kidemokrasia ndani ya Chadema.
Kwa jinsi ninavyoona akili kibakuli plus uchonganishi, uzushi wa watanganyika, hata uchaguzi usimamiwe na NATO bado kuna watu hawataridhika km ni huru. Hata Lisu mwenyewe hataridhika maan ktk speech zake jana kuna element za kutokubali matekeo na kusaliti chama. Time will tell, let's preserve this statement.
 
deed5ff644655f7b99ba1ff6559532f0.jpg
 
Siasa za Lissu ni confrotational haziwezi kudumu..na hivyo mtu anayeamini kwa mrengo huo asipopata wafuasi wanaofanana nae unakuwa ndio mwisho wa chochote anachofanya, kwa maana hiyo hawezi kuwa Mwenyekiti wa chama akafanikiwa sababu hao wafuasi wa kufanana nae sio tu CHADEMA hata kwa nchi nzima ni km hawapo, km wapo ni wachache sana..la pili kuwa Mwenyekiti wa chama cha siasa cha upinzani Tanzania si tu kujua kuongea na kuwa na elimu..inahitaji kujitoa sana kwa rasilimali zako mwenyewe pale inahitajika, mkionyesha hata chumba cha darasa moja tu alichojenga Lissu jimboni kwake wakati akiwa mbunge..niko tayari kufuta huu uzi..Lissu hana sifa ya kuchangia maendeleo kwa kutoa rasilimali toka mfukoni kwake, na kuwa Mwenyekiti wa chama upinzani ni kuwa MLEZI pia..hii sifa Lissu hana! Conclusion..pengine atafaa siku za usoni Mungu akimjalia afya! lkn si kwa sasa..!
kuna jambo jingine CHADEMA wanapaswa kufahamu na nadhani wanafahamu lkn wanachukulia poa..kuna kundi kubwa sana la vijana ndani ya chama ni mamluki..lengo lao ni kuleta fujo kuvuruga MAAMUZI..chama kijihadhari sana na maamuzi yanashinikizwa na vijana..lugha za jazba, ushabiki km wa ccm, matusi, kejeli na dharau na fujo zingine, mkiwafahamu watu hawa dawa ni kutojali sana wanachosema..bahati mbaya hawa ndio wanamsapoti Lissu agombee uenyekiti taifa, kwangu mimi bora kubaki 5 ndani ya chama kuliko kuwa na kundi la vijana 1,000 wa aina ya waliopo CHADEMA kwa sasa.
Suala ni kwamba, Mwenyekiti wa sasa ang'atuke awaachie wengine. Kukaa madarakani muda mrefu ni kukitia doa chama kinachojipambanua kuwa ni cha kidemokrasia.
Na nikuulize, je, Mwenyekiti akijiuzulu nafasi yake chama kitafutwa kwa kuwa hakuna mwingine anayeweza kutumia rasilimali zake binafsi kama yeye?
 
Mbona husemi ccm kuendelea kuwa madarakani kwa muda mrefu tena kwa mabavu, ghiliba na ulaghai ni kuitia doa nchi au taifa lote..usimamizi na uendeshaji vyama vya siasa vya upinzani na hasa hapa Tanzania ni case tofauti kabisa na vile unaweza kuona sehemu nyingine, km tu unavyoweza kuona tabia ya watanzania ilivyo tofauti na watu wa nchi zingine, na hata matendo inayofanya serikali kwa watu yalivyo tofauti na sehemu nyingine..ndivyo ambavyo unapaswa kuona tofauti na uhitaji wa kuwa na mwenyekiti wa chama muda mrefu km kiongozi! Mazingira ndio yanatengeneza majibu..si suala la demokrasia peke yake..mbona Urusi Putin bado ni Rais na huonekani kushangaa..
 
Tar. 28 mei 1992 wazee kadhaa wa kichaga wakiongozwa na Edwin Mtei na Fillimon Ndesamburo walisajili chama Cha siasa kikipewa jina la Chama Cha Demokrasia na Maendeleo

CHADEMA kiligombea nafasi ya 2005 mgombea akiwa Freeman akipata asilimia 5.88 na poit hivi
Mwaka 2010 mgombea akiwa Dr Mihogo CHADEMA kilipata 27% ya kura
Mwaka 2015 CHADEMA kilipata
39.75% ya kura mgombea akiwa Mzee Lowasa
Sitoweka matokeo ya 2020 kwakuwa ule haukuwa uchaguzi hivyo haufai kutumika kama takwimu

Baada ya kupanda na kupata 27% ya kura ya uraisi 2010 sanjari na viti takribani 80 na kitu ukichanganya na viti maalumu CHADEMA kikawa kinapokea mabilion ya ruzuku kutoka serikalini
Chama chini ya Dr Slaa kikanza kujitengeneza kikanzisha idara ya habari
Idara ya intelligence
Idara ya ulinzi red brigade
Jumuia. Kama BAVICHA na BAWACHA zikawa moto kweli kweli

Wakati huo wote chama kilikuwa kwenye mikono ya Dr Slaa huku mwenyekiti Mbowe akila mema ya nchi mara Dubai mara Uingereza mara America akijirusha huku na huku tuliokuwa tunahoji tulijibiwa kuwa mwenyekiti alikuwa anautumia fedha zake za uridhi wa Mzee Aikael Mbowe

Ukiachia Yale magari ya M4C Tena yaliyosajiliwa kwa jina lake na zile pikipiki hakuna kitu chengine tulichoona kilifanyika

Hakukuwa na ulipaji wa mishahara Wala posho isipokuwa hukooo makao makuu sie wa mikoani na mawilayani tulihimizwa makamanda piganieni chama tuikomboe nchi hata zile gwanda za kikamanda tuliuziwa 50,000 kwa pea

Tetesi kwamba 2020 Lowasa alimvutia mbowe mkwanja mrefu sana ili ampatie nafasi ya kugombea uraisi ni wazi kwamba Ina mashiko kwakuwa muonekano wa Lowasa Hadi anaridi CCM hakuwahi kujionyesha kama mwana CHADEMA niwazi kuwa hakuwahi kuipenda CHADEMA Bali alitumia kama plan B baada ya kukatwa na maccm

Na huu mpango kazi wa Mbowe ulifanikiwa kuongeza ruzuku lkn baada ya hapo ulikiporomosha chama Hadi Sasa watu huwaza kuwa huenda kikaangamia kama kilivyoangamia kile Cha NCCR wenye uchungu na chama wameomba kumpokea mbowe akubali yaishe au akomae taasisi imfie mikononi
Boni yai na wapuuzi wenzie hawataki mabadiliko
 
Sasa mbona imekubalika kwa Msajili wa vyama vya siasa?
 
Back
Top Bottom