Mbowe hakuitengeneza CHADEMA kama chama Cha kushika Dola Bali kama taasisi ya kutengeneza fedha haina budi wengine wampokee

Mbona husemi ccm kuendelea kuwa madarakani kwa muda mrefu tena kwa mabavu, ghiliba na ulaghai ni kuitia doa nchi au taifa lote..usimamizi na uendeshaji vyama vya siasa vya upinzani na hasa hapa Tanzania ni case tofauti kabisa na vile unaweza kuona sehemu nyingine, km tu unavyoweza kuona tabia ya watanzania ilivyo tofauti na watu wa nchi zingine, na hata matendo inayofanya serikali kwa watu yalivyo tofauti na sehemu nyingine..ndivyo ambavyo unapaswa kuona tofauti na uhitaji wa kuwa na mwenyekiti wa chama muda mrefu km kiongozi! Mazingira ndio yanatengeneza majibu..si suala la demokrasia peke yake..mbona Urusi Putin bado ni Rais na huonekani kushangaa..
Kama ni hivyo, kwa nini mnataka kuing'oa CCM madarakani?
 
Tar. 28 mei 1992 wazee kadhaa wa kichaga wakiongozwa na Edwin Mtei na Fillimon Ndesamburo walisajili chama Cha siasa kikipewa jina la Chama Cha Demokrasia na Maendeleo

CHADEMA kiligombea nafasi ya 2005 mgombea akiwa Freeman akipata asilimia 5.88 na poit hivi
Mwaka 2010 mgombea akiwa Dr Mihogo CHADEMA kilipata 27% ya kura
Mwaka 2015 CHADEMA kilipata
39.75% ya kura mgombea akiwa Mzee Lowasa
Sitoweka matokeo ya 2020 kwakuwa ule haukuwa uchaguzi hivyo haufai kutumika kama takwimu

Baada ya kupanda na kupata 27% ya kura ya uraisi 2010 sanjari na viti takribani 80 na kitu ukichanganya na viti maalumu CHADEMA kikawa kinapokea mabilion ya ruzuku kutoka serikalini
Chama chini ya Dr Slaa kikanza kujitengeneza kikanzisha idara ya habari
Idara ya intelligence
Idara ya ulinzi red brigade
Jumuia. Kama BAVICHA na BAWACHA zikawa moto kweli kweli

Wakati huo wote chama kilikuwa kwenye mikono ya Dr Slaa huku mwenyekiti Mbowe akila mema ya nchi mara Dubai mara Uingereza mara America akijirusha huku na huku tuliokuwa tunahoji tulijibiwa kuwa mwenyekiti alikuwa anautumia fedha zake za uridhi wa Mzee Aikael Mbowe

Ukiachia Yale magari ya M4C Tena yaliyosajiliwa kwa jina lake na zile pikipiki hakuna kitu chengine tulichoona kilifanyika

Hakukuwa na ulipaji wa mishahara Wala posho isipokuwa hukooo makao makuu sie wa mikoani na mawilayani tulihimizwa makamanda piganieni chama tuikomboe nchi hata zile gwanda za kikamanda tuliuziwa 50,000 kwa pea

Tetesi kwamba 2020 Lowasa alimvutia mbowe mkwanja mrefu sana ili ampatie nafasi ya kugombea uraisi ni wazi kwamba Ina mashiko kwakuwa muonekano wa Lowasa Hadi anaridi CCM hakuwahi kujionyesha kama mwana CHADEMA niwazi kuwa hakuwahi kuipenda CHADEMA Bali alitumia kama plan B baada ya kukatwa na maccm

Na huu mpango kazi wa Mbowe ulifanikiwa kuongeza ruzuku lkn baada ya hapo ulikiporomosha chama Hadi Sasa watu huwaza kuwa huenda kikaangamia kama kilivyoangamia kile Cha NCCR wenye uchungu na chama wameomba kumpokea mbowe akubali yaishe au akomae taasisi imfie mikononi

yeah, kwa heshima ya Mbowe, ampishe tu Jemedari Lisu. nyakati hizi zinamhitaji sana Lisu.

Mbowe Linda heshima yako kwa kumpisha Lisu kiroho safi
 
Ukweli ni kwamba chadema ndicho chama pekee cha upinzani, kilichodumu kwa muda mrefu hapa kwetu Tanzania.
 
Tar. 28 mei 1992 wazee kadhaa wa kichaga wakiongozwa na Edwin Mtei na Fillimon Ndesamburo walisajili chama Cha siasa kikipewa jina la Chama Cha Demokrasia na Maendeleo

CHADEMA kiligombea nafasi ya 2005 mgombea akiwa Freeman akipata asilimia 5.88 na poit hivi
Mwaka 2010 mgombea akiwa Dr Mihogo CHADEMA kilipata 27% ya kura
Mwaka 2015 CHADEMA kilipata
39.75% ya kura mgombea akiwa Mzee Lowasa
Sitoweka matokeo ya 2020 kwakuwa ule haukuwa uchaguzi hivyo haufai kutumika kama takwimu

Baada ya kupanda na kupata 27% ya kura ya uraisi 2010 sanjari na viti takribani 80 na kitu ukichanganya na viti maalumu CHADEMA kikawa kinapokea mabilion ya ruzuku kutoka serikalini
Chama chini ya Dr Slaa kikanza kujitengeneza kikanzisha idara ya habari
Idara ya intelligence
Idara ya ulinzi red brigade
Jumuia. Kama BAVICHA na BAWACHA zikawa moto kweli kweli

Wakati huo wote chama kilikuwa kwenye mikono ya Dr Slaa huku mwenyekiti Mbowe akila mema ya nchi mara Dubai mara Uingereza mara America akijirusha huku na huku tuliokuwa tunahoji tulijibiwa kuwa mwenyekiti alikuwa anautumia fedha zake za uridhi wa Mzee Aikael Mbowe

Ukiachia Yale magari ya M4C Tena yaliyosajiliwa kwa jina lake na zile pikipiki hakuna kitu chengine tulichoona kilifanyika

Hakukuwa na ulipaji wa mishahara Wala posho isipokuwa hukooo makao makuu sie wa mikoani na mawilayani tulihimizwa makamanda piganieni chama tuikomboe nchi hata zile gwanda za kikamanda tuliuziwa 50,000 kwa pea

Tetesi kwamba 2020 Lowasa alimvutia mbowe mkwanja mrefu sana ili ampatie nafasi ya kugombea uraisi ni wazi kwamba Ina mashiko kwakuwa muonekano wa Lowasa Hadi anaridi CCM hakuwahi kujionyesha kama mwana CHADEMA niwazi kuwa hakuwahi kuipenda CHADEMA Bali alitumia kama plan B baada ya kukatwa na maccm

Na huu mpango kazi wa Mbowe ulifanikiwa kuongeza ruzuku lkn baada ya hapo ulikiporomosha chama Hadi Sasa watu huwaza kuwa huenda kikaangamia kama kilivyoangamia kile Cha NCCR wenye uchungu na chama wameomba kumpokea mbowe akubali yaishe au akomae taasisi imfie mikononi
CDM kitabakia chama Dume Tanzania na Africa.
Hingera sana Jabari la Siasa Mh. Mbowe
 
Back
Top Bottom