Mbowe hakuitengeneza CHADEMA kama chama Cha kushika Dola Bali kama taasisi ya kutengeneza fedha haina budi wengine wampokee

Kama ni hivyo, kwa nini mnataka kuing'oa CCM madarakani?
 
Kama ni hivyo, kwa nini mnataka kuing'oa CCM madarakani?
..si kwa sababu wamekaa muda mrefu madarakani, wameshindwa kuongoza! Mbona ccp pamoja na kukaa muda mrefu kuongoza China wanafanya vyema?
 

yeah, kwa heshima ya Mbowe, ampishe tu Jemedari Lisu. nyakati hizi zinamhitaji sana Lisu.

Mbowe Linda heshima yako kwa kumpisha Lisu kiroho safi
 
Ukweli ni kwamba chadema ndicho chama pekee cha upinzani, kilichodumu kwa muda mrefu hapa kwetu Tanzania.
 
CDM kitabakia chama Dume Tanzania na Africa.
Hingera sana Jabari la Siasa Mh. Mbowe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…