CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Kusema ukweli ndiyo kuropoka na amemshambulia nani katika hotuba yake? Maccm mumerukwa kusikia Lissu anaenda kuwa Mwenyekiti na bado.Tatizo lake ni mropokaji. Kama kweli ana sifa wenzake si wataona na kukubaliana agombee bila kushambulia Mtu?
Mtajuuta tu kujenga taasisi kwa misingi ya kabila ,hamna hata aibu ,wachagga wameanza kutoa mapovu wakiongozwa na LemaUnaona ulivyo shetani watu wanajadili X-max wewe unaleta mambo ya CHADEMA, shetani kabisa
Mtu mwenye sifa anatangaza nia na kusubiri kampeni. Sasa unatangaza nia na kuisema Chama chenyewe na viongozi wake, sasa hapo unajenga au unabomoa?Kusema ukweli ndiyo kuropoka na amemshambulia nani katika hotuba yake? Maccm mumerukwa kusikia Lissu anaenda kuwa Mwenyekiti na bado.
UWT mbona mnaumia sn?Mtajuuta tu kujenga taasisi kwa misingi ya kabila ,hamna hata aibu ,wachagga wameanza kutoa mapovu wakiongozwa na Lema