CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Kusema ukweli ndiyo kuropoka na amemshambulia nani katika hotuba yake? Maccm mumerukwa kusikia Lissu anaenda kuwa Mwenyekiti na bado.Tatizo lake ni mropokaji. Kama kweli ana sifa wenzake si wataona na kukubaliana agombee bila kushambulia Mtu?