Mbowe: Halima Mdee na Wenzake waache mambo ya Kihuni

Mbowe: Halima Mdee na Wenzake waache mambo ya Kihuni

Ajabu ina maana Mh. Mbowe ni agent wa kutafutia watu kazi mpaka nje ya nchi??? Dah hakika uzi wa yoga umeumbua huu umoja kifisadi. Mbowe si mtu wa kumkabidhi nchi ataiuza
Kwa hii hoja yako ni sawa na unasema hutaki wagombea urais Tanzania wafahamiane na watu nje ya nchi.
 
Mbowe kwenda ikulu juzi ilikuwa na maana kubwa..nionavyo ilikuwa ni kumwambia Rais .chama kinaenda kuwamwaga wale covid waliowekwa na Mwendazake na ndugai.sasa tunaomba sana usije ukazuia hili..na yeye akaambiwa kawambie vijana wako waache kutukana mitandaoni..ndo mana smash ya jana ilikuwa ya kibabe sana..
 
Kuhusu kauli ya Halima Mdee kusema kuwa maamuzi ya kuwafukuza uanachama wa CHADEMA ni "NI YA KIHUNI", Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe amesema hajui chochote lakini maamuzi yaliyofanyika yamefanyika mbele yao wenyewe wakiona, hivyo Mdee aache mambo ya kihuni.

Nilipokuwa gerezani nilimwomba John Mnyika amlete Halima Mdee. Alikuja na Bulaya,niliwahisii sana. Niliwauliza nani aliwadanganya?

Nilimwambia kama unataka kazi niambie nitakutafutia kazi hata nje,utalipwa vizuri achana na Ubunge.Nipo gerezani namuwaza Halima" anasema Mh.Mbowe
Yani hayo maneno ya mwisho ,Yameniliza ,huruma ya ajabu!
 
Hujawahi kuugua uendawazimu kweli wewe?
Kama sio basi kuna tatizo la kiakili ktk ukoo wenu!
Mbowe anao huo ubavu kwa sababu yupo compromised already, yaani ana bei na mabeberu like ilivyo kwa Mzee wetu JK na ilivyo kwa Mama sasa hivi. Yaani Mbowe ni mtu mbaya sana kuwahi tokea ktk siasa za nchi yetu, ndiyo Maana Dkt Magufuli alimsaga kama kunguni kwa sababu stake aliyonayo ya kifisadi ni mpaka kifo he cannot let it go. Uzuri mifumo inajua kila kitu so usitegemee huyo Mbowe wako to amount to anything zaidi ya kuendelea na hiyo NGO yake. Na ndiyo maana hataki kuachia kumbe ana mikataba na economic hitmen! Uzuri hakuna siri.
 
Kuhusu kauli ya Halima Mdee kusema kuwa maamuzi ya kuwafukuza uanachama wa CHADEMA ni "NI YA KIHUNI", Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe amesema hajui chochote lakini maamuzi yaliyofanyika yamefanyika mbele yao wenyewe wakiona, hivyo Mdee aache mambo ya kihuni.

Nilipokuwa gerezani nilimwomba John Mnyika amlete Halima Mdee. Alikuja na Bulaya,niliwahisii sana. Niliwauliza nani aliwadanganya?

Nilimwambia kama unataka kazi niambie nitakutafutia kazi hata nje,utalipwa vizuri achana na Ubunge.Nipo gerezani namuwaza Halima" anasema Mh.Mbowe
Duuuuh hatareee sana.
 
Tanzania ni njaa wananchi hadi akina Mbowe, ndo maana haishangazi mtu ana cheo cha Balozi wa nchi bado anakubaliwa kuwa DC/RC. Pumbafu kabisa, wenzetu wanapambana kuimalisha nchi zao huku nchi zetu za kiswazi tunagombania kula
Na ndipo hapo unakuta anayejiita kiongozi wa NGO maarufu kabisa eti anamuambia mfuasi wake angemtafutia kazi nje ya nchi? How? Huwezi kuwa na connection ya kazi nje ya nchi kama matajiri unaowategemea na wao wanakutegemea kupitisha dili zao Tanzania. Ina maana Mbowe yupo compromised by 100% he cannot be trusted, ni bora Mdee na wenzake they’re not in that group na ndiyo wapinzani wa kweli, ila Mbowe anaonekana ana share na makampuni ya nje mengi mpaka anaouwezo wa kutafutia mtu kazi. Ikitokea kapewa nchi maana yake atahakikisha hao mabwana zake wanakba rasilimali zetu kwa mtindo wa mikataba. Na jinsi walivyo wazungu, watahakikisha wanatuacha kama kongo
 
Uhuni uhuni uhuni,

Kwanini hili neno linapendelewa Sana, Chama kinaambiwa kimefanya uhuni na uvico 19, Uvico 19 nao wanaambiwa na Mwenyekiti waache uhuni............!
 
Mbowe;
wewe ni kiongozi haswaa
Umejaa hekima na busara
Huna visasi kwa waliokutendea mabaya
Unajua kuongea na kuvuta wasikilizaji, kwa hili nakupa big sana kamanda.
Watu wa aina yako ni wachache sana Tz kwa sasa
Unataka kusema BABA YAKO hana BUSARA?? [emoji2][emoji2][emoji2] Bongo bhana.
 
Back
Top Bottom