Mbowe: Halima Mdee na Wenzake waache mambo ya Kihuni

Kufuatia Baraza Kuu la CHADEMA kutupilia mbali rufaa ya Wabunge 19 wakiongozwa na Halima Mdee, kauli za majibizano baina ya pande mbili zimeendelea kutolewa, Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe amewaambia waliofukuzwa kuwa waache mambo ya kihuni.

Awali Mdee alinukuliwa akisema kilichofanyika ni uhuni n ahata Mbowe anajua. Akijibu hoja hiyo Mbowe amesema: “Tumesikitika kuwapoteza wanachama 19, hatujafurahia lakini imebidi, maamuzi ya kuwafukuza yalifanyika tangu 2020 katika kikao cha Kamati Kuu.

“Baraza Kuu limekutana leo (Mei 11, 2022) na kutoa maamuzi ya mwisho, kura zimepigwa mbele yao na wameona kila kitu, waache mambo ya kihuni.”

Kunguni hao waende zao. Ubunge unaelekea mwisho wa kuwakingia kifua hayupo tena!!
 
Angalau miongoni mwao namfahamu Stella Fiyao.Mpambanaji na mjenga hoja.Kwa ujumla Hana makuu huyu mama kutoka Tunduma Songwe.Ameipambania CDM Kwa muda mrefu huku akipitia magumu mengi Sana.CDM itakuwa imepoteza mtu muhimu Sana.
 
Halima Mdee naye ni muhimu
 
Angalau miongoni mwao namfahamu Stella Fiyao.Mpambanaji na mjenga hoja.Kwa ujumla Hana makuu huyu mama kutoka Tunduma Songwe.Ameipambania CDM Kwa muda mrefu huku akipitia magumu mengi Sana.CDM itakuwa imepoteza mtu muhimu Sana.
Atasamehewa vipi kama mwenyewe hajatambua kosa lake na kuomba msamaha.
 
Angalau miongoni mwao namfahamu Stella Fiyao.Mpambanaji na mjenga hoja.Kwa ujumla Hana makuu huyu mama kutoka Tunduma Songwe.Ameipambania CDM Kwa muda mrefu huku akipitia magumu mengi Sana.CDM itakuwa imepoteza mtu muhimu Sana.
Shida hawakuomba msamaha. So huwez msamehe mtu ambae anajiona hana kosa
 
Ana hekima gani? Kila anayetofautiana naye anamfukuza. Mwisho wa siku atajifukuza hata yeye. Mwenye hekima akitofautiana na mtu anamweka karibu ili ajue ukweli na kujirekebisha.
Huwezi kumlinganisha na wewe mtoto wa shule
 
Angalau miongoni mwao namfahamu Stella Fiyao.Mpambanaji na mjenga hoja.Kwa ujumla Hana makuu huyu mama kutoka Tunduma Songwe.Ameipambania CDM Kwa muda mrefu huku akipitia magumu mengi Sana.CDM itakuwa imepoteza mtu muhimu Sana.
Alisha potea siku nyingi. Sio Chadema walio mpoteza bali shida zake ndizo zilimpoteza.
Hivi alipo ondoka Slaa si mlisema Chadema ita kufa? Kumbe Slaa ndie kafa kisiasa.
Elewa Chadema ni mpango wa Mungu
 
Hakuna mtu muhimu mwizi anayefoji
 
Alisha potea siku nyingi. Sio Chadema walio mpoteza bali shida zake ndizo zilimpoteza.
Hivi alipo ondoka Slaa si mlisema Chadema ita kufa? Kumbe Slaa ndie kafa kisiasa.
Elewa Chadema ni mpango wa Mungu
CHADEMA ni taasisi na siyo mtu
 
Back
Top Bottom