Mbowe: Halima Mdee na Wenzake waache mambo ya Kihuni

Huna hoja zaidi ya kuweweseka.Roho zinawauma ila ndo ivyo bado mambo yakijinga aliyoyafanya mungu wenu wa chatu yanazidi kuharibika.
 
Binadamu mwenye akili timamu na na uwezo wa kujitambua ni vyema akaacha siasa! DAMU IKICHEMKA KWA SIASA UNAISHIA KUWA CHAMA WANAYOKULA WATOTO WADOGO!
 
Mwandishi nawe Andika kieleweke.
Mbowe kama mwenyekiti hajawafukuza. Wamefukuzwa na kamati kuu iliyoketi na kupiga kura mbele yao. Maamuzi ni kamati sio Mbowe.

Sent from my SM-A115AZ using JamiiForums mobile app
 
Yale yaliyofanyika ndio maamuzi ya kidemokrasia kuwa walio wengi kauli yao hupita. Rufaa ya akina Halima na wenziwe imepigiwa kura na wajumbe wote wa mkutano mkuu na walio wengi wamekubali kina Halima wafukuzwe mbele yao. Hilo ndilo lililopita na litaheshimiwa
 
Chadema, Mbowe hawa ni ccm, kindaki ndaki!! tangu mbowe akubali lawama za kumpiga Lisu Risasi,, na bado akajichekesha tuu simuamini hata siku moja!...Li CCM limesukwa hasa! ...na makuti ya waya.....naona hapo wajumbe waliongozwa tu kumtoa Halima!!

Ukiingia chadema uwe na akili tatu km ifutavyo!

1. Zako mwenyewe zisiwe za mtu yeyote ndani na nje ya chama, yaani zile za ukiambiwa! mara hivi, unaenda ..no..!..usije kuwa asusa!

2. Na zile akili Za undumila kuwili !! muda wowote unaweza chukuliwa uwe Jasusi la chama ndani ya chama km alivo mbowe!! ili utumikie uhai wa chama kingine fiche!

3. Akili za chama cha chadema zenyewe!! hizi ukiwa nazo hizo ufanye hivi;
uume na kupulizia! chochote chaweza tokea kwako ukiwa ndani ya chama!! so weye hapo ukubali matokeo tu!....Bulaya hakujua mantiki hii .... mdada kajitoa sana weee!! chamani kuumbe wanamchora tu na kumuundia mikakati!!

eti anatolewa kirahisi tu! jamani ! mwee!! Mbowe ana kitu anachotumiwa kutoka CCM makao makuu! sababu ccm imemlea tangu akiwa kinda na ukimuangalia vizuri ana ukijani usiofutika ......

pia ukoo wa mbowe umelelewa vizuri na kitambo mnoo na ccm! hawawezi isaliti hata iweje ni waajiliwa wa huko wa siri ...ni kama alivo kuwa Mabere Marando ndo alimuua Tamimu yule mjaluo!!

sasa fikiria huyu mabele ataisariti CCM kweli? au ataitumikia ccm mpaka kufa, walikula kiapao hao!! ndo anaiimarisha??........Ile mbowe kufungwa Ukonga na kujiliza liza vimachozi vya kinafiki km Demu ni uongo mtupu mie nilimuangalia sana kwa karibu!!

Mbowe kule gerezani ni alikuwa kazini kibata bata ..tunamjua kitambo sana huyu! Robo tatu ya uongozi wa juu ndani ya chedema ni mashushu wa sirikali ya ccm, kufa kupona!! wamekunywa maji ya bendera!!

ebu fikiria shushu mbobezi Mrema alivo sumbua nchini!!!! basi chadema pia ivoivo! siku mkija gutuka tu Anahamia ccm kiulainiiii!!...then anastaafia hukooo! Ubalozini .....SILAA yuko wapi??.... nani anajua??......

watakao umia ndo km hawa kumi na tisa na kina km hao kina Beni saanane tu..... ..lkn Mitanzania ilivyo mijinga mijinga hata usemeje haielewi somo!...chadema walinishawishi nikakataa kata kata!......CCM mAFIA SI kawaida!
 
Ukiwa katika kiwango cha kuaminika kama alivyo Mbowe kama mwanasiasa mfanyabiashara unaweza kumtafutia mtu kazi. Kazi zinazoweza kulipa zaidi ya ubunge ziko nje ya Tanzania zaidi.
 
Ajabu ina maana Mh. Mbowe ni agent wa kutafutia watu kazi mpaka nje ya nchi??? Dah hakika uzi wa yoga umeumbua huu umoja kifisadi. Mbowe si mtu wa kumkabidhi nchi ataiuza
Uwezo wako wa kufikiri ni giza kiwango cha rami.
 
Yaani ni ful mapicha picha...

Ukiwa na kadi ya hiki chama ni hasara tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…