Cathelin
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 2,071
- 3,995
Kwa ufupi ni kuwa hii kesi inaenda kuivua nguo serikali ya Samia Suluhu, inenda kuwavua nguo kina DPP, IGP na DCI.
Kwanini Mbowe hana cha kupoteza katika hii kesi
1. Kama Mbowe atafutiwa kesi na DPP basi jamaa(Mbowe) atakuwa amepata popularity ya kutosha ndani na nje ya nchi,pili itampa kiburi zaidi Cha kuendelea kudai katiba mpya kwa nguvu Sana.
2. Kama wataacha kesi iamuliwe na mahakana na Mbowe kushinda kesi,, itakuwa aibu kubwa kwa Rais na hao wasaidizi wake, na Mbowe anaenda kuwa na jeuri zaidi na confidence ya kuendelea kudai katiba mpya.
3. Kama wakiamua kumuhukumu Mbowe, Kesi ya ugaidi ni kubwa itabidi Mbowe afungwe miaka 30 jela au kunyongwa. Hapa ni pagumu sana sasa hivi Serikali ina pressure kubwa sana kutoka ndani na nje ya nchi kutokana na kushikiliwa kwa Mbowe so wakimuhukumu 30yrs au wakimnyonga itakuwa hatari kwa usalama na ustawi wa taifa(ukweli CCM wanajua nguvu ya huyu mwamba)
Mwisho, Serikali atakuwa ndo looser kwenye hii kesi.
So Mbowe relax muda utaamua