Mbowe hana cha kupoteza katika kesi yake

Yaani sikutegemea kama mashtaka ndo yatakua kama haya. Inaonekana kabisa ni ya kutungwa tu. Sasa imekua uhujumu uchumi. Hii bongo sometimes ina mambo ya kitoto sana.
 
Kwa ufupi ni kuwa hii kesi inaenda kuivua nguo serikali ya Samia Suluhu, inenda kuwavua nguo kina DPP, IGP na DCI.

Kwanini Mbowe hana cha kupoteza katika hii kesi

1. Kama Mbowe atafutiwa kesi na DPP basi jamaa(Mbowe) atakuwa amepata popularity ya kutosha ndani na nje ya nchi,pili itampa kiburi zaidi Cha kuendelea kudai katiba mpya kwa nguvu Sana.

2. Kama wataacha kesi iamuliwe na mahakana na Mbowe kushinda kesi,, itakuwa aibu kubwa kwa Rais na hao wasaidizi wake, na Mbowe anaenda kuwa na jeuri zaidi na confidence ya kuendelea kudai katiba mpya.

3. Kama wakiamua kumuhukumu Mbowe, Kesi ya ugaidi ni kubwa itabidi Mbowe afungwe miaka 30 jela au kunyongwa. Hapa ni pagumu sana sasa hivi Serikali ina pressure kubwa sana kutoka ndani na nje ya nchi kutokana na kushikiliwa kwa Mbowe so wakimuhukumu 30yrs au wakimnyonga itakuwa hatari kwa usalama na ustawi wa taifa(ukweli CCM wanajua nguvu ya huyu mwamba)

Mwisho, Serikali atakuwa ndo looser kwenye hii kesi.

So Mbowe relax muda utaamua
Nimachokiona kwenye mission nyingi za chama tawala ni kwamba huwa hawawazi consequences za hiyo mission, kuna mission unapanga lkn mwisho wa siku inakuvua nguo na kudharirisha kabisa taasisi.
 
Kesi ni uhuni mtupu.

Hivi hata huko nje mtu akisikia Ugaidi umekuwasponsored kwa laki 6 (USD 300) si ni kichekesho cha mwaka.
🤣🤣🤣 USD 300. Marekani class ya pombe ni usd 50 nikingia bar na wanangu tukawa watu watatu tumesha kuwa magaidi kwa mtonyo huo.

Hivi bastola na risasi zake mfano bastola aina ya Desert Eagle ni shilingi gapi??
 
Kesi imetengenezwa ili kuhamisha attention ya watu itoke kwa Sabaya ihamie kwa Mbowe, Sabaya akihojiwa anasema ana maadui wa kisiasa, huku Kisutu wanasema Mbowe alimsababishia Sabaya majeraha, hayo majeraha waliwahi kuripoti polisi? wana RB?

Hapa naona kuna mchezo unachezwa na waendesha mashtaka wa serikali, kwenye hukumu ya hizi kesi mbili majibu yatapatikana, ni kama vile huyu akiachiwa na yule aachiwe, au huyu akifungwa na yule afungwe, simply wamejaribu ku-divert mind za watu kwa kucheza nazo.
Na kama wana RB ilitolewa lini na kwanini hakukamatwa tika kipindi hicho

Wao: Alikimbia nchi
 
Mbowe hana cha kupoteza??? Nafikiri umeandika bila kutumia akili vizur. So let me bring you to the point. Mbowe ana vingi vya kupoteza ikiwemo uenyekiti wake ambao umegharimu baadhi ya maisha ya watu akiwemo Chacha wangwe, Ben saa8 kupotea ktk mazingira ya kutatanisha kisa tu alimshauri jamaa ang'atuke ili kupisha wenye mawazo mbadala waendeshe chama kwan yey alikuwa ashaanza kupwaya katika uongozi na kutoa boko mbali mbali (kumleta Lowasa kwa malipo madogo agombee) zilizosaidia adui kupata ushindi mnono mwaka 2015, Zito kukoswa koswa kulishwa sumu. Lkn pia ataingia hasara ya kuwalipa wanasheria ili aweze kushinda kesi ambayo pengine hapo baadae hatokuja kushinda. Kuhusu hao mabeberu sahau. Hao wazungu hawawezi kumpigania mtu kama wanaona maslahi yao yapo pale pale kupitia serikali iliyopo. Kwahiyo chakupoteza anacho ndo maana kila siku watu wanapambana ili aaachiwe. JIWE GIZANI LITAKUJA NA MREJESHO wa KELELE.
Unajua Kuna wakati unakaribisha matatizo kwako na familia yako.

Ukiambiwa utoe ushahidi alipo Ben. Saanane na ni kwa namna gani Mbowe alisababisha kifo Cha wangwe unaweza thibitisha?

Polisi wanaweza kukushikilia mpaka useme ukweli unaoujua.

Mdomo uliponza kichwa
 
Thank you for your advice mkuu, lkn kuwaza kuwa jamaa hana cha kupoteza ni kujifariji kwa mleta mada.
 
Kwa ufupi ni kuwa hii kesi inaenda kuivua nguo serikali ya Samia Suluhu, inenda kuwavua nguo kina DPP, IGP na DCI.

Kwanini Mbowe hana cha kupoteza katika hii kesi

1. Kama Mbowe atafutiwa kesi na DPP basi jamaa(Mbowe) atakuwa amepata popularity ya kutosha ndani na nje ya nchi,pili itampa kiburi zaidi Cha kuendelea kudai katiba mpya kwa nguvu Sana.

2. Kama wataacha kesi iamuliwe na mahakana na Mbowe kushinda kesi,, itakuwa aibu kubwa kwa Rais na hao wasaidizi wake, na Mbowe anaenda kuwa na jeuri zaidi na confidence ya kuendelea kudai katiba mpya.

3. Kama wakiamua kumuhukumu Mbowe, Kesi ya ugaidi ni kubwa itabidi Mbowe afungwe miaka 30 jela au kunyongwa. Hapa ni pagumu sana sasa hivi Serikali ina pressure kubwa sana kutoka ndani na nje ya nchi kutokana na kushikiliwa kwa Mbowe so wakimuhukumu 30yrs au wakimnyonga itakuwa hatari kwa usalama na ustawi wa taifa(ukweli CCM wanajua nguvu ya huyu mwamba)

Mwisho, Serikali atakuwa ndo looser kwenye hii kesi.

So Mbowe relax muda utaamua
Labda wamnyonge huyo macho kumchuzi,yani badala ya kutumia ubongo kufikiri lenyewe linatumia macho yake kuropoka kua ushahidi upo...ccm,policeccm,igp,dpp,dgtiss,mcherengwa ambae yupo kwa hisani ya mama mkwe
 
Kwa ufupi ni kuwa hii kesi inaenda kuivua nguo serikali ya Samia Suluhu, inenda kuwavua nguo kina DPP, IGP na DCI.

Kwanini Mbowe hana cha kupoteza katika hii kesi

1. Kama Mbowe atafutiwa kesi na DPP basi jamaa(Mbowe) atakuwa amepata popularity ya kutosha ndani na nje ya nchi,pili itampa kiburi zaidi Cha kuendelea kudai katiba mpya kwa nguvu Sana.

2. Kama wataacha kesi iamuliwe na mahakana na Mbowe kushinda kesi,, itakuwa aibu kubwa kwa Rais na hao wasaidizi wake, na Mbowe anaenda kuwa na jeuri zaidi na confidence ya kuendelea kudai katiba mpya.

3. Kama wakiamua kumuhukumu Mbowe, Kesi ya ugaidi ni kubwa itabidi Mbowe afungwe miaka 30 jela au kunyongwa. Hapa ni pagumu sana sasa hivi Serikali ina pressure kubwa sana kutoka ndani na nje ya nchi kutokana na kushikiliwa kwa Mbowe so wakimuhukumu 30yrs au wakimnyonga itakuwa hatari kwa usalama na ustawi wa taifa(ukweli CCM wanajua nguvu ya huyu mwamba)

Mwisho, Serikali atakuwa ndo looser kwenye hii kesi.

So Mbowe relax muda utaamua
Kesi ya mbowe na sabaya Ni za kisiasa tunaangalia njia nzuri ya kuwaachia mda si mwingi😂😂😂😂😂😊😂😂😂
 
Mbowe hana cha kupoteza??? Nafikiri umeandika bila kutumia akili vizur. So let me bring you to the point. Mbowe ana vingi vya kupoteza ikiwemo uenyekiti wake ambao umegharimu baadhi ya maisha ya watu akiwemo Chacha wangwe, Ben saa8 kupotea ktk mazingira ya kutatanisha kisa tu alimshauri jamaa ang'atuke ili kupisha wenye mawazo mbadala waendeshe chama kwan yey alikuwa ashaanza kupwaya katika uongozi na kutoa boko mbali mbali (kumleta Lowasa kwa malipo madogo agombee) zilizosaidia adui kupata ushindi mnono mwaka 2015, Zito kukoswa koswa kulishwa sumu. Lkn pia ataingia hasara ya kuwalipa wanasheria ili aweze kushinda kesi ambayo pengine hapo baadae hatokuja kushinda. Kuhusu hao mabeberu sahau. Hao wazungu Ali kumpigania mtu kama wanaona maslahi yao yapo pale pale kupitia serikali iliyopo. Kwahiyo chakupoteza anacho ndo maana kila siku watu wanapambana ili aaachiwe. JIWE GIZANI LITAKUJA NA MREJESHO wa KELELE.
Aliyemuua Ben saa8 anafahamika kuwa Ni Paulo nakonda,Ally Happpy, Alexander mnyetiii,
 
Kwa ufupi ni kuwa hii kesi inaenda kuivua nguo serikali ya Samia Suluhu, inenda kuwavua nguo kina DPP, IGP na DCI.

Kwanini Mbowe hana cha kupoteza katika hii kesi

1. Kama Mbowe atafutiwa kesi na DPP basi jamaa(Mbowe) atakuwa amepata popularity ya kutosha ndani na nje ya nchi,pili itampa kiburi zaidi Cha kuendelea kudai katiba mpya kwa nguvu Sana.

2. Kama wataacha kesi iamuliwe na mahakana na Mbowe kushinda kesi,, itakuwa aibu kubwa kwa Rais na hao wasaidizi wake, na Mbowe anaenda kuwa na jeuri zaidi na confidence ya kuendelea kudai katiba mpya.

3. Kama wakiamua kumuhukumu Mbowe, Kesi ya ugaidi ni kubwa itabidi Mbowe afungwe miaka 30 jela au kunyongwa. Hapa ni pagumu sana sasa hivi Serikali ina pressure kubwa sana kutoka ndani na nje ya nchi kutokana na kushikiliwa kwa Mbowe so wakimuhukumu 30yrs au wakimnyonga itakuwa hatari kwa usalama na ustawi wa taifa(ukweli CCM wanajua nguvu ya huyu mwamba)

Mwisho, Serikali atakuwa ndo looser kwenye hii kesi.

So Mbowe relax muda utaamua
Ushahid upo wa kutosha.Mbowe anafungwa thirty years.
 
Aliyemuua Ben saa8 anafahamika kuwa Ni Paulo nakonda,Ally Happpy, Alexander mnyetiii,
Mbowe amehusika sana na vifo :Kifo cha Chachawangwe,kutaka kumpa Sumu Zitto.Pale ofisini kuna watu walipewa sumu,kwa kuwa walimuunga mkono Zitto.Ushahid upo lazima afungwe tu.
 
Mbowe hana cha kupoteza??? Nafikiri umeandika bila kutumia akili vizur. So let me bring you to the point. Mbowe ana vingi vya kupoteza ikiwemo uenyekiti wake ambao umegharimu baadhi ya maisha ya watu akiwemo Chacha wangwe, Ben saa8 kupotea ktk mazingira ya kutatanisha kisa tu alimshauri jamaa ang'atuke ili kupisha wenye mawazo mbadala waendeshe chama kwan yey alikuwa ashaanza kupwaya katika uongozi na kutoa boko mbali mbali (kumleta Lowasa kwa malipo madogo agombee) zilizosaidia adui kupata ushindi mnono mwaka 2015, Zito kukoswa koswa kulishwa sumu. Lkn pia ataingia hasara ya kuwalipa wanasheria ili aweze kushinda kesi ambayo pengine hapo baadae hatokuja kushinda. Kuhusu hao mabeberu sahau. Hao wazungu hawawezi kumpigania mtu kama wanaona maslahi yao yapo pale pale kupitia serikali iliyopo. Kwahiyo chakupoteza anacho ndo maana kila siku watu wanapambana ili aaachiwe. JIWE GIZANI LITAKUJA NA MREJESHO wa KELELE.
Gharama ya kufadhiri ugaidi laki Sita kweli?
 
Back
Top Bottom