Gerald .M Magembe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2013
- 2,496
- 1,800
Yaani Mbowe mgeni wa bwana Jela hana cha kupoteza?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upuuzi mtupuMbowe hana cha kupoteza??? Nafikiri umeandika bila kutumia akili vizur. So let me bring you to the point. Mbowe ana vingi vya kupoteza ikiwemo uenyekiti wake ambao umegharimu baadhi ya maisha ya watu akiwemo Chacha wangwe, Ben saa8 kupotea ktk mazingira ya kutatanisha kisa tu alimshauri jamaa ang'atuke ili kupisha wenye mawazo mbadala waendeshe chama kwan yey alikuwa ashaanza kupwaya katika uongozi na kutoa boko mbali mbali (kumleta Lowasa kwa malipo madogo agombee) zilizosaidia adui kupata ushindi mnono mwaka 2015, Zito kukoswa koswa kulishwa sumu. Lkn pia ataingia hasara ya kuwalipa wanasheria ili aweze kushinda kesi ambayo pengine hapo baadae hatokuja kushinda. Kuhusu hao mabeberu sahau. Hao wazungu hawawezi kumpigania mtu kama wanaona maslahi yao yapo pale pale kupitia serikali iliyopo. Kwahiyo chakupoteza anacho ndo maana kila siku watu wanapambana ili aaachiwe. JIWE GIZANI LITAKUJA NA MREJESHO wa KELELE.
Magufuli oyeeee, nimem miss sana Uncle Magu kwenye siasa zetu za Tanzania.Ubabe?? Nyie ndo matiki maji ulitaka amnyenyekee, unataka Trump amnyenyekee Biden???
Alionesha ubabe gani?Mbowe hana lolote ahukumiwe tu.
Maana hakuna wakati ameniudhi kama kutaka kuleta ubabe kwa serikali kisa inaongizwa na Rais mwanamke.
Ningekuwa na sababu ya kumuonea huruma iwapo angefanya ubabe huu kipindi cha Magu
Dah pole sana kijana.. ama kweli usilolijua ni sawa na usiku wa giza.Upuuzi mtupu
Kama Mbowe angekuwa anahusika na madhila yaliyo wafika Chacha na Saanane undhani hayati Dikteta angemuacha.
Unadhani Mbowe anafaidika nini kwenye uenyekiti wake zaidi ya Bilcanas, Tanzania Daima,Mashamba yake ya kuuza ulaya mboga na matunda,akaunti na fedha zake benki na biashara zake zote kwa ujumla zilizo haribiwa na Hayati Dikteta.
Shirikisha ubongo unapoandika comment
Tatizo Tanzania bado hawajui nini maana ya ugaidi. Wanautani kweli ugaidi yaani!Kesi ni uhuni mtupu.
Hivi hata huko nje mtu akisikia Ugaidi umekuwasponsored kwa laki 6 (USD 300) si ni kichekesho cha mwaka.
Mbowe hana cha kupoteza???
Nafikiri umeandika bila kutumia akili vizur.
So let me bring you to the point. Mbowe ana vingi vya kupoteza ikiwemo uenyekiti wake ambao umegharimu baadhi ya maisha ya watu akiwemo Chacha wangwe, Ben saa8 kupotea ktk mazingira ya kutatanisha kisa tu alimshauri jamaa ang'atuke ili kupisha wenye mawazo mbadala waendeshe chama kwan yey alikuwa ashaanza kupwaya katika uongozi na kutoa boko mbali mbali (kumleta Lowasa kwa malipo madogo agombee) zilizosaidia adui kupata ushindi mnono mwaka 2015, Zito kukoswa koswa kulishwa sumu.
Lkn pia ataingia hasara ya kuwalipa wanasheria ili aweze kushinda kesi ambayo pengine hapo baadae hatokuja kushinda.
Kuhusu hao mabeberu sahau.
Hao wazungu hawawezi kumpigania mtu kama wanaona maslahi yao yapo pale pale kupitia serikali iliyopo. Kwahiyo chakupoteza anacho ndo maana kila siku watu wanapambana ili aaachiwe.
Giza na Nuru wapi na wapi? CCM na serikali yake ni GIZA NENE. CHADEMA ni haki. Ukitupa hilo jiwe gizani, litawaumiza walio gizani. Mtaumia ninyi...!JIWE GIZANI LITAKUJA NA MREJESHO wa KELELE.
Maneno mengiKwa jinsi tu ulivyoanza kujaribu ku - counter attack hoja ya jamaa, unaonesha moja kwa moja kushiriki mjadala huu ukiwa ktk extreme shock & panic kwa mtu mmoja kuja na mawazo hayo ambayo masikio yako umeya - tune katika mode ya kutosikia kabisa kuwa MBOWE HANA HATIA, SIYO GAIDI... Pole sana Mr Dudumizi...!!
Hupaswi kushiriki mjadala while you are in this state...!
Really? Really?
What you have written has no connectivity at all with what is going on...!
Mfano hujaeleza kwa vipi apoteze uenyekiti wake kwa sababu ya kesi hii ya UONGO na yenye HILA na KUKOMOANA kisiasa?
Na hata hujaeleza kwa vipi hayo ya kina Wangwe, Zito na sijui maisha ya watu kupotea yanavyohusiana na "kupoteza uenyekiti wake". Je, unadhani ni kwa sababu ya kum - brand na fake and unproven terrorism accusations...??
You argue and write on something ambacho huna taarifa za kutosha kukihusu. Mbowe hatoi hata shilingi for your information. Pesa yote kugharamia mambo ya kisheria yote tunachanga sisi wanachama na wapenzi wa CHADEMA kama ambavyo mwaka jana ndani ya masaa yasiyozidi 36 (siku moja na nusu) tu, tulichanga zaidi ya 350,000,000 kulipia faini ya hukumu ya mahakama kuwatoa viongozi wetu gerezani mwaka Jana...!
Na kama hujui, kwa taarifa yenu no kuwa, wengi wa Mwanasheria unaotuona hapo mahakamani tunashiriki ktk kesi hizi kama sehemu ya mchango wetu katika harakati za kuikomboa nchi hii toka mikononi mwa mkoloni mweusi CCM...
CHADEMA hatuna msamiati huu kwa ndugu na jamaa zetu Wa mataifa ya magharibi ambao ni wadau wakubwa wa maendeleo ya nchi yetu. Msamiati wa " mabeberu" uko hukohuko kwenu CCM...
Freeman Mbowe na CHADEMA haina haja ya kupiganiwa na wazungu. Watanzania ndio waipiganiayo Tanzania yao..
By the way, FREEMAN MBOWE mpaka pointi hii, kuachiwa is not an option bali is a MUST kwa sababu UKWELI wa kesi kuwa ni ya kubumbwa uko wazi hata kwa mjinga asiyekwenda shule ya sheria...!
Kwanini huruhusu ufahamu na akili yako kufunguka na kuuona ukweli huu wewe Mr Dudumizi....????
Giza na Nuru wapi na wapi? CCM na serikali yake ni GIZA NENE. CHADEMA ni haki. Ukitupa hilo jiwe gizani, litawaumiza walio gizani. Mtaumia ninyi...!
Wanawaonea tuu wasukuma Kuna hawa watu kutoka mbozi kwa wachuna ngozi "WANYIHA" kichwani ni weupe peee ,washamba kama hili Iboya ni kijiji Chaompeni kichwa tu anapata shida nyie mko nje mnampa matumaini yaliyokufa?kesi ngumu hiyo usiione ndogo