Mbowe hana cha kupoteza katika kesi yake

Mimi nilijua Sabaya kahukumiwa kimkakati,Lengo kum-frame Mbowe na picha imeshaanza kujiridhisha.Kumbe kuanzisha kikundi cha ugaid Tz ni simple hivyo?,just one basic salary ya mfanyakazi wa mhindi.
Wajinga Sana hao watu yaani kitaa kwangu kila mtu anasema Mbowe kabambikizwa kesi
 
Mbowe hana cha kupoteza??? Nafikiri umeandika bila kutumia akili vizur. So let me bring you to the point. Mbowe ana vingi vya kupoteza ikiwemo uenyekiti wake ambao umegharimu baadhi ya maisha ya watu akiwemo Chacha wangwe, Ben saa8 kupotea ktk mazingira ya kutatanisha kisa tu alimshauri jamaa ang'atuke ili kupisha wenye mawazo mbadala waendeshe chama kwan yey alikuwa ashaanza kupwaya katika uongozi na kutoa boko mbali mbali (kumleta Lowasa kwa malipo madogo agombee) zilizosaidia adui kupata ushindi mnono mwaka 2015, Zito kukoswa koswa kulishwa sumu. Lkn pia ataingia hasara ya kuwalipa wanasheria ili aweze kushinda kesi ambayo pengine hapo baadae hatokuja kushinda. Kuhusu hao mabeberu sahau. Hao wazungu hawawezi kumpigania mtu kama wanaona maslahi yao yapo pale pale kupitia serikali iliyopo. Kwahiyo chakupoteza anacho ndo maana kila siku watu wanapambana ili aaachiwe.
Tikiti maji kabsa
 
Mods please msifute huu Uzi

Shortly hii kesi inaenda kuivua nguo serikali ya SSH, inenda kuwavua nguo kina DPP, IGP na DCI.

Kwanini Mbowe hana Cha kupoteza katika hii kesi

1. Kama Mbowe atafutiwa kesi na DPP basi jamaa(Mbowe) atakuwa amepata popularity ya kutosha ndani na nje ya nchi,pili itampa kiburi zaidi Cha kuendelea kudai katiba mpya kwa nguvu Sana.

2. Kama wataacha kesi iamuliwe na mahakana na Mbowe kushinda kesi,, itakuwa aibu kubwa kwa Rais na hao wasaidizi wake, na Mbowe anaenda kuwa na jeuri zaidi na confidence ya kuendelea kudai katiba mpya.

3. Kama wakiamua kumuhukumu Mbowe, Kesi ya ugaidi ni kubwa itabidi Mbowe afungwe miaka 30 jera au kunyongwa. Hapa ni pagumu Sana sahivi serikali ina pressure kubwa Sana kutoka ndani na nje ya nchi,, kutokana na kushikiliwa kwa Mbowe,,,so wakimuhuku 30yrs au wakimnyonga itakuwa hatari kwa usalama na ustawi wa taifa(ukweli CCM wanajua nguvu ya huyu mwamba)

Mwisho, Serikali atakuwa ndo looser kwenye hii kesi.

So Mbowe relax muda utaamua
Rubbish nyuma ya keyboards
 
Kesi imetengenezwa ili kuhamisha attention ya watu itoke kwa Sabaya ihamie kwa Mbowe, Sabaya akihojiwa anasema ana maadui wa kisiasa, huku Kisutu wanasema Mbowe alimsababishia Sabaya majeraha, hayo majeraha waliwahi kuripoti polisi? wana RB?

Hapa naona kuna mchezo unachezwa na waendesha mashtaka wa serikali, kwenye hukumu ya hizi kesi mbili majibu yatapatikana, ni kama vile huyu akiachiwa na yule aachiwe, au huyu akifungwa na yule afungwe.
Kufungwa kwa Mbowe Ni hatari zaidi kuliko kuachiwa
 
Mawazo ya CCM mnayajua nyie wenyewe. Yaani mnaona raha mtu mwingine anapoonewa tu! Kweli shetani yupo na anafanyakazi yake.
Mbowe hana cha kupoteza??? Nafikiri umeandika bila kutumia akili vizur. So let me bring you to the point. Mbowe ana vingi vya kupoteza ikiwemo uenyekiti wake ambao umegharimu baadhi ya maisha ya watu akiwemo Chacha wangwe, Ben saa8 kupotea ktk mazingira ya kutatanisha kisa tu alimshauri jamaa ang'atuke ili kupisha wenye mawazo mbadala waendeshe chama kwan yey alikuwa ashaanza kupwaya katika uongozi na kutoa boko mbali mbali (kumleta Lowasa kwa malipo madogo agombee) zilizosaidia adui kupata ushindi mnono mwaka 2015, Zito kukoswa koswa kulishwa sumu. Lkn pia ataingia hasara ya kuwalipa wanasheria ili aweze kushinda kesi ambayo pengine hapo baadae hatokuja kushinda. Kuhusu hao mabeberu sahau. Hao wazungu hawawezi kumpigania mtu kama wanaona maslahi yao yapo pale pale kupitia serikali iliyopo. Kwahiyo chakupoteza anacho ndo maana kila siku watu wanapambana ili aaachiwe. JIWE GIZANI LITAKUJA NA MREJESHO wa KELELE.
 
Hauko sahihi 100 kwa 100
 
Tena Ni US 270[emoji1][emoji1][emoji1]
Imagine, hapo kwenye 300 tunazifanyia round off to the bearing 100.

Hawa Jamaa wamemuabisha sana Maza. Yaani toka mwezi wa September mwaka jana wanakimbizana na ugaidi $270. Hivi ni gharama kiasi gani zimeshatumika kufuatilia huu ugaidi.

Je na uhujumu uchumi ni kiasi gani au ndiyo hizo hizo 270...!?
 
Kesi imetengenezwa ili kuhamisha attention ya watu itoke kwa Sabaya ihamie kwa Mbowe, Sabaya akihojiwa anasema ana maadui wa kisiasa, huku Kisutu wanasema Mbowe alimsababishia Sabaya majeraha, hayo majeraha waliwahi kuripoti polisi? wana RB?

Hapa naona kuna mchezo unachezwa na waendesha mashtaka wa serikali, kwenye hukumu ya hizi kesi mbili majibu yatapatikana, ni kama vile huyu akiachiwa na yule aachiwe, au huyu akifungwa na yule afungwe.
Utashangaa sabaya anatoka ,mbowe anafungwa tz iko very opposite
 
S
Kwa ufupi ni kuwa hii kesi inaenda kuivua nguo serikali ya Samia Suluhu, inenda kuwavua nguo kina DPP, IGP na DCI.

Kwanini Mbowe hana cha kupoteza katika hii kesi

1. Kama Mbowe atafutiwa kesi na DPP basi jamaa(Mbowe) atakuwa amepata popularity ya kutosha ndani na nje ya nchi,pili itampa kiburi zaidi Cha kuendelea kudai katiba mpya kwa nguvu Sana.

2. Kama wataacha kesi iamuliwe na mahakana na Mbowe kushinda kesi,, itakuwa aibu kubwa kwa Rais na hao wasaidizi wake, na Mbowe anaenda kuwa na jeuri zaidi na confidence ya kuendelea kudai katiba mpya.

3. Kama wakiamua kumuhukumu Mbowe, Kesi ya ugaidi ni kubwa itabidi Mbowe afungwe miaka 30 jela au kunyongwa. Hapa ni pagumu sana sasa hivi Serikali ina pressure kubwa sana kutoka ndani na nje ya nchi kutokana na kushikiliwa kwa Mbowe so wakimuhukumu 30yrs au wakimnyonga itakuwa hatari kwa usalama na ustawi wa taifa(ukweli CCM wanajua nguvu ya huyu mwamba)

Mwisho, Serikali atakuwa ndo looser kwenye hii kesi.

So Mbowe relax muda utaamua
Serikali inahusikaje na kumnyonga au kumfunga.

Msiipangie mahakama cha kufanya au kuleta siasa mahakamani
 
Kwa ufupi ni kuwa hii kesi inaenda kuivua nguo serikali ya Samia Suluhu, inenda kuwavua nguo kina DPP, IGP na DCI.

Kwanini Mbowe hana cha kupoteza katika hii kesi

1. Kama Mbowe atafutiwa kesi na DPP basi jamaa(Mbowe) atakuwa amepata popularity ya kutosha ndani na nje ya nchi,pili itampa kiburi zaidi Cha kuendelea kudai katiba mpya kwa nguvu Sana.

2. Kama wataacha kesi iamuliwe na mahakana na Mbowe kushinda kesi,, itakuwa aibu kubwa kwa Rais na hao wasaidizi wake, na Mbowe anaenda kuwa na jeuri zaidi na confidence ya kuendelea kudai katiba mpya.

3. Kama wakiamua kumuhukumu Mbowe, Kesi ya ugaidi ni kubwa itabidi Mbowe afungwe miaka 30 jela au kunyongwa. Hapa ni pagumu sana sasa hivi Serikali ina pressure kubwa sana kutoka ndani na nje ya nchi kutokana na kushikiliwa kwa Mbowe so wakimuhukumu 30yrs au wakimnyonga itakuwa hatari kwa usalama na ustawi wa taifa(ukweli CCM wanajua nguvu ya huyu mwamba)

Mwisho, Serikali atakuwa ndo looser kwenye hii kesi.

So Mbowe relax muda utaamua
Mbowe should retire.

Over.
 
Duh kijana umesoma game theory na hii uliyosema ni nash equilibrim na umechora pay off matrix. Sijui hawa jamhuri hawjui hata prisoner's dilema!
 
endelea kujidanganya tu, aliyewaroga nyie hakika amekufa maana sio kwa ujinga huu ulio andika. clueless person
 
Kwa ufupi ni kuwa hii kesi inaenda kuivua nguo serikali ya Samia Suluhu, inenda kuwavua nguo kina DPP, IGP na DCI.

Kwanini Mbowe hana cha kupoteza katika hii kesi

1. Kama Mbowe atafutiwa kesi na DPP basi jamaa(Mbowe) atakuwa amepata popularity ya kutosha ndani na nje ya nchi,pili itampa kiburi zaidi Cha kuendelea kudai katiba mpya kwa nguvu Sana.

2. Kama wataacha kesi iamuliwe na mahakana na Mbowe kushinda kesi,, itakuwa aibu kubwa kwa Rais na hao wasaidizi wake, na Mbowe anaenda kuwa na jeuri zaidi na confidence ya kuendelea kudai katiba mpya.

3. Kama wakiamua kumuhukumu Mbowe, Kesi ya ugaidi ni kubwa itabidi Mbowe afungwe miaka 30 jela au kunyongwa. Hapa ni pagumu sana sasa hivi Serikali ina pressure kubwa sana kutoka ndani na nje ya nchi kutokana na kushikiliwa kwa Mbowe so wakimuhukumu 30yrs au wakimnyonga itakuwa hatari kwa usalama na ustawi wa taifa(ukweli CCM wanajua nguvu ya huyu mwamba)

Mwisho, Serikali atakuwa ndo looser kwenye hii kesi.

So Mbowe relax muda utaamua
Mkuu mbona kesi hii haina uhusiano kabisa na mradi wa katiba mpya
 
Kwahiyo maombi mmeacha rasmi?
 
Alafu eti shahidi ni DPP wa zamani,maana ya shahidi ni mtu ambaye inatakiwa tukio linatendeka aone kwa macho yake,
Hivyo Basi wakati Mbowe anafanya ugaidi na Biswalo Mganga na yeye alikuwa anaona,na Kama alikuwa anaona inamana na DPP alishiliki,

Pia Kati ya mashahidi wote ni maasikali.
 
Kesi ni uhuni mtupu.

Hivi hata huko nje mtu akisikia Ugaidi umekuwasponsored kwa laki 6 (USD 300) si ni kichekesho cha mwaka.
Wale wavuta unga kuwatuma wakalipue vituo vya mafuta unahitaji kuwapa sh ngapi wale wezi wa masufuria na sidiria za akina Mama?
 
Back
Top Bottom