Mbowe hana cha kupoteza katika kesi yake

Mimi nilijua Sabaya kahukumiwa kimkakati,Lengo kum-frame Mbowe na picha imeshaanza kujiridhisha.Kumbe kuanzisha kikundi cha ugaid Tz ni simple hivyo?,just one basic salary ya mfanyakazi wa mhindi.
Wajinga Sana hao watu yaani kitaa kwangu kila mtu anasema Mbowe kabambikizwa kesi
 
Tikiti maji kabsa
 
Rubbish nyuma ya keyboards
 
Kufungwa kwa Mbowe Ni hatari zaidi kuliko kuachiwa
 
Mawazo ya CCM mnayajua nyie wenyewe. Yaani mnaona raha mtu mwingine anapoonewa tu! Kweli shetani yupo na anafanyakazi yake.
 
Hauko sahihi 100 kwa 100
 
Tena Ni US 270[emoji1][emoji1][emoji1]
Imagine, hapo kwenye 300 tunazifanyia round off to the bearing 100.

Hawa Jamaa wamemuabisha sana Maza. Yaani toka mwezi wa September mwaka jana wanakimbizana na ugaidi $270. Hivi ni gharama kiasi gani zimeshatumika kufuatilia huu ugaidi.

Je na uhujumu uchumi ni kiasi gani au ndiyo hizo hizo 270...!?
 
Utashangaa sabaya anatoka ,mbowe anafungwa tz iko very opposite
 
S
Serikali inahusikaje na kumnyonga au kumfunga.

Msiipangie mahakama cha kufanya au kuleta siasa mahakamani
 
Mbowe should retire.

Over.
 
Duh kijana umesoma game theory na hii uliyosema ni nash equilibrim na umechora pay off matrix. Sijui hawa jamhuri hawjui hata prisoner's dilema!
 
endelea kujidanganya tu, aliyewaroga nyie hakika amekufa maana sio kwa ujinga huu ulio andika. clueless person
 
Mkuu mbona kesi hii haina uhusiano kabisa na mradi wa katiba mpya
 
Kwahiyo maombi mmeacha rasmi?
 
Alafu eti shahidi ni DPP wa zamani,maana ya shahidi ni mtu ambaye inatakiwa tukio linatendeka aone kwa macho yake,
Hivyo Basi wakati Mbowe anafanya ugaidi na Biswalo Mganga na yeye alikuwa anaona,na Kama alikuwa anaona inamana na DPP alishiliki,

Pia Kati ya mashahidi wote ni maasikali.
 
Kesi ni uhuni mtupu.

Hivi hata huko nje mtu akisikia Ugaidi umekuwasponsored kwa laki 6 (USD 300) si ni kichekesho cha mwaka.
Wale wavuta unga kuwatuma wakalipue vituo vya mafuta unahitaji kuwapa sh ngapi wale wezi wa masufuria na sidiria za akina Mama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…