Mbowe hana cha kupoteza katika kesi yake

Wale wavuta unga kuwatuma wakalipue vituo vya mafuta unahitaji kuwapa sh ngapi wale wezi wa masufuria na sidiria za akina Mama?
Kwa hiyo hao wavuta unga na wezi wa masufuri ndiyo mashahidi siyo....!!
 
Yaani sikutegemea kama mashtaka ndo yatakua kama haya. Inaonekana kabisa ni ya kutungwa tu. Sasa imekua uhujumu uchumi. Hii bongo sometimes ina mambo ya kitoto sana.
 
Nimachokiona kwenye mission nyingi za chama tawala ni kwamba huwa hawawazi consequences za hiyo mission, kuna mission unapanga lkn mwisho wa siku inakuvua nguo na kudharirisha kabisa taasisi.
 
Kesi ni uhuni mtupu.

Hivi hata huko nje mtu akisikia Ugaidi umekuwasponsored kwa laki 6 (USD 300) si ni kichekesho cha mwaka.
🀣🀣🀣 USD 300. Marekani class ya pombe ni usd 50 nikingia bar na wanangu tukawa watu watatu tumesha kuwa magaidi kwa mtonyo huo.

Hivi bastola na risasi zake mfano bastola aina ya Desert Eagle ni shilingi gapi??
 
Na kama wana RB ilitolewa lini na kwanini hakukamatwa tika kipindi hicho

Wao: Alikimbia nchi
 
CCM hawana ishu,ukishashiba ukavimbiwa akili nazo huwa zinaenda likizo.
 
Unajua Kuna wakati unakaribisha matatizo kwako na familia yako.

Ukiambiwa utoe ushahidi alipo Ben. Saanane na ni kwa namna gani Mbowe alisababisha kifo Cha wangwe unaweza thibitisha?

Polisi wanaweza kukushikilia mpaka useme ukweli unaoujua.

Mdomo uliponza kichwa
 
Thank you for your advice mkuu, lkn kuwaza kuwa jamaa hana cha kupoteza ni kujifariji kwa mleta mada.
 
Labda wamnyonge huyo macho kumchuzi,yani badala ya kutumia ubongo kufikiri lenyewe linatumia macho yake kuropoka kua ushahidi upo...ccm,policeccm,igp,dpp,dgtiss,mcherengwa ambae yupo kwa hisani ya mama mkwe
 
Kesi ya mbowe na sabaya Ni za kisiasa tunaangalia njia nzuri ya kuwaachia mda si mwingiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜ŠπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Aliyemuua Ben saa8 anafahamika kuwa Ni Paulo nakonda,Ally Happpy, Alexander mnyetiii,
 
Ushahid upo wa kutosha.Mbowe anafungwa thirty years.
 
Aliyemuua Ben saa8 anafahamika kuwa Ni Paulo nakonda,Ally Happpy, Alexander mnyetiii,
Mbowe amehusika sana na vifo :Kifo cha Chachawangwe,kutaka kumpa Sumu Zitto.Pale ofisini kuna watu walipewa sumu,kwa kuwa walimuunga mkono Zitto.Ushahid upo lazima afungwe tu.
 
Gharama ya kufadhiri ugaidi laki Sita kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…