Mbowe hana cha kupoteza katika kesi yake

Sa itakuwaje? Mungu hajawahi kushindwa na Shetani
 
Huo ndio ukweli. Na Bado Mwenyezi Mungu anaend akutoa kichapo kwa wote waliohusika na nuovu huo
 
Samia na vilaza wengine wataaibika na kupotea kama ilivyokwishatokea mapema mwaka huu!
na
 
Kama Mbowe atafutiwa kesi na DPP basi jamaa(Mbowe) atakuwa amepata popularity ya kutosha ndani na nje ya nchi
NAKATAA hiyo popularity tungeiona sasa wakati wa kesi huko ni kujidanganya na kujipa moyo. Kumbuka Lissu alinusurika kifo lakini hakupata popularity yoyote sembuse yeye Mbowe
 
Mimi nilijua Sabaya kahukumiwa kimkakati,Lengo kum-frame Mbowe na picha imeshaanza kujiridhisha.Kumbe kuanzisha kikundi cha ugaid Tz ni simple hivyo?,just one basic salary ya mfanyakazi wa mhindi.
Nimeshangazwa sana na support ya laki sita
 
 
Unaitishia mahakama kuwa imuogope Mwamba Ana nguvu kubwa?
Subiri Sasa uone maana ukimtishia jaji lazima akuonyeshe kilichokunja mkia wa mbwa.
 
I'm not happy the way kesi inavyokwenda, btw CCM hawana aibu wala hurumu kwa mtu anaetishia uwepo wao madarakani. Katika Africa jamii nisiyoiamini ni jamii ya watanzania,Mbowe anaweza fungwa na watanzania wakaendekea na maisha yao kama vile Mbowe alikuwa hana maana yeyote kwenye maisha yao.
 
Mbowe hana lolote ahukumiwe tu.

Maana hakuna wakati ameniudhi kama kutaka kuleta ubabe kwa serikali kisa inaongizwa na Rais mwanamke.

Ningekuwa na sababu ya kumuonea huruma iwapo angefanya ubabe huu kipindi cha Magu
 
Sio Mbowe tu arelax, hata ninyi mrelax. Muache speculations. Muda ndio utatoa majibu ya unayoyasema.
 
Mbowe hana lolote ahukumiwe tu.

Maana hakuna wakati ameniudhi kama kutaka kuleta ubabe kwa serikali kisa inaongizwa na Rais mwanamke.

Ningekuwa na sababu ya kumuonea huruma iwapo angefanya ubabe huu kipindi cha Magu
Ubabe?? Nyie ndo matiki maji ulitaka amnyenyekee, unataka Trump amnyenyekee Biden???
 
Hapa tu kesi ilipo tayari ameshapoteza mengi. Watanzania wengi tunamuogopa na kumuona kama Hamza
 
Uko sahihi kabisa. Wakisimama nchale, wakikimbia nchale.

Hii kesi imewaumbuwa sana hadi usawa huu. Ndo maana walikuwa hawataki wananchi waifuatilie.
 
Uko sahihi kabisa. Wakisimama nchale, wakikimbia nchale.

Hii kesi imewaumbuwa sana hadi usawa huu. Ndo maana walikuwa hawataki wananchi waifuatilie.
Ndo hivyo mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…