Walioluzia mbowe unatuachaje sasa wamepata majibu.Nakazia tu alichokisema mtu humu JF, kama Kitila na Zitto Kabwe wangelifanikwa kumng'oa Mbowe kwenye uenyekiti, CHADEMA lingekuwa Tawi la CCM...
Uchaguzi wa Chadema ni mfano bora wa kuigwa wa kidemokrasiaHapana. Cha muhimu uchaguzi wa kumpata mwenyekiti ufanyike. Watu tofauti wagombee akiwemo na Mbowe mwenyewe. Mbowe akishinda kinyang'anyiro aendelee lkn akishindwa asepe...
Mwalimu wa SiasaNakazia tu alichokisema mtu humu JF, kama Kitila na Zitto Kabwe wangelifanikwa kumng'oa Mbowe kwenye uenyekiti, CHADEMA lingekuwa Tawi la CCM....
Inapaswa kudhihirika kwa vitendo siyo maneno. Kila raia wa Tanzania anapaswa kuona na kujiridhisha kuwa chaguzi ndani ya CDM ni za kidemokrasia.Uchaguzi wa Chadema ni mfano bora wa kuigwa wa kidemokrasia
Huyu kijana msaliti yuko wapi nowadays> Alimtoa kuzimu akampandisha Ahera ahalafu akamsaliti!
Kwani zinakuwaga za siri?Inapaswa kudhihirika kwa vitendo siyo maneno. Kila raia wa Tanzania anapaswa kuona na kujiridhisha kuwa chaguzi ndani ya CDM ni za kidemokrasia.
Vijana waliaminiwa baadae wakajisaliti
Kila kitu lazima kiwe na kiongozi imara. Uoga wa watanzania, mi mi na wewe kuogopa risasi, kufungwa jela, kifo etc hatuwezi kutoboa bila kuwa na watu shupavu, wasio woga kama Mbowe..Tafuteni katiba na tume huru kwenye chama chenuuu chadema ili uchaguzi uwe wa demokrasia ndani ya chama chenuu. Wewe mwenyekiti wa chama hana ukomoo? Jamaaniii.
Katiba ya wananchi itatafutwa na wananchi wenyeweee wasio na mlengo wa chama chochote
Demokrasia ndani ya chaguzi za chadema bado sana. Kumbuka matukio yafiatayo:-Kwani zinakuwaga za siri?
Nikujibu;Demokrasia ndani ya chaguzi za chadema bado sana. Kumbuka matukio yafiatayo:-
1. Zitto, Mwambe na Kitila kufukuzwa chamani kwa kujiandaa kupambana na mwenyekiti ktk chaguzi.
2. Kumpokea Lowasa na kumpa kijiti cha kugombea urais kupitia chadema huku waliokuwa wakivujja jasho wakituowa kama toilet paper.
3. Tunakumbuka namna vigogo wa chama wanavyochangia kuteua marafiki zao kugombea ubunge. Yaani kura za maoni huwa ni gelesha tu. Ilitokea 2015 ktk majimbo mengi ya Mbeya, Kilimanjaro, Arusha na Mbeya