Mbowe haondoki kwenye Uenyekiti mpaka tupate Katiba Mpya na Tume huru

Kila kitu lazima kiwe na kiongozi imara. Uoga wa watanzania, mi mi na wewe kuogopa risasi, kufungwa jela, kifo etc hatuwezi kutoboa bila kuwa na watu shupavu, wasio woga kama Mbowe..
Unaogopaje kama wewe ni kamanda?? Acha utapeliii.
 
Madikteta wote husema ngoja nikamilishe hiki. Ngoja ni kamilishe kile. Mwisho hutawala maisha. Mbowe alitamka kuwa mwaka 2023 anaachia kiti. Kama CDM ni wapinzani wa maana tunataka kuona hilo.
Hata mwendazake jiwe mlitaka kumbakisha ili akamilishe miradi ila Mungu alivyofundi sasa! The rest is history.
 
Nakazia tu alichokisema mtu humu JF, kama Kitila na Zitto Kabwe wangelifanikwa kumng'oa Mbowe kwenye uenyekiti, CHADEMA lingekuwa Tawi la CCM. Rabbon

Kwa muktadha huo, Mbowe haondoki kwenye uenyekiti mpaka tupate katiba Mpya na Tume huru!

Take Note: Wenye uwezo CHADEMA ni wengi. Lissu, Heche, Lema, Msigwa and many others, lakini ngoja awepo awepo kukamilisha safari aliyoianzisha ya demokrasi at national level government.
Erythrocyte
Team ya chadema ipo vizuri, inafaa kuendelea ilivyo , twende kazi naunga mkono
 
Nakazia tu alichokisema mtu humu JF, kama Kitila na Zitto Kabwe wangelifanikwa kumng'oa Mbowe kwenye uenyekiti, CHADEMA lingekuwa Tawi la CCM. Rabbon

Kwa muktadha huo, Mbowe haondoki kwenye uenyekiti mpaka tupate katiba Mpya na Tume huru!

Take Note: Wenye uwezo CHADEMA ni wengi. Lissu, Heche, Lema, Msigwa and many others, lakini ngoja awepo awepo kukamilisha safari aliyoianzisha ya demokrasi at national level government.
Erythrocyte
Naunga mkono HOJA!!!

Akisaidia CDM kushika Dola pia itafana sana.
 
Nakazia tu alichokisema mtu humu JF, kama Kitila na Zitto Kabwe wangelifanikwa kumng'oa Mbowe kwenye uenyekiti, CHADEMA lingekuwa Tawi la CCM. Rabbon

Kwa muktadha huo, Mbowe haondoki kwenye uenyekiti mpaka tupate katiba Mpya na Tume huru!

Take Note: Wenye uwezo CHADEMA ni wengi. Lissu, Heche, Lema, Msigwa and many others, lakini ngoja awepo awepo kukamilisha safari aliyoianzisha ya demokrasi at national level government.
Erythrocyte
Ni hatari sana Mbowe kuwa na nguvu na mizizi kiasi hiki siku akidondoka ghafla kama JPM itatokea power struggle kubwa mnoo haijawahi shuhudiwa kwenye mfumo wa vyama vingi.

Ni vizuri ang'atuke akiwa kwenye peak Ili apatikane mrithi aweze mfanyia mentorship na kumrekebisha akiwa bado ana nguvu sio mpaka azidiwe na uzee ndio tuanze kuokoteza mwenyekiti.

Hii nafasi alikua anafaa sana SILINDE kabla ya kutoroka ila Kwa Sasa anafaa HECHE aisee CHADEMA itakua ya moto sana.

Mbowe apumzike asisubiri atolewe kwa aibu kama Mbatia au Lipumba!!
 
Dikiteta mbowe
 
Kwa hiyo Mbowe anamuiga Mwendazake?
CDM inaongoza Kwa DEMOKRASIA.

Ni chama pekee kilichotangaza wazi kuwa kikishika Dola, Rais Kutoka CDM hatokuwa mwenyekiti wa wa chama Kwa kofia mbili!!

CCCm jambo Hilo la kutenga kofia ya Urais na mkt hawaezi thubutu.

Kama wanaweza, Wateue mkt mwingine hata Leo!!!
 
Huyu kijana msaliti yuko wapi nowadays> Alimtoa kuzimu akampandisha Ahera ahalafu akamsaliti!
Nadhani ni DC Nkasi huko, alipelekwa kuhakikisha anamdhibiti mbunge wa CHADEMA asifurukute Hadi 2025.
 
CDM inaongiza Kwa DEMOKRASIA.

Ni chama pekee kilichotangaza wazi kuwa kikishika Dola, Rais Kutoka CDM hatokuwa mwenyekiti wa wa chama Kwa kofia mbili!!

CCCm jambo Hilo la kutenga kofia ya Urais na mkt hawaezi thubutu.
Waonyeshe hiyo demokrasia sasa si uongo uongo eti tukishika nchi....unaamini watatimiza hilo wakati kauli zao za sasa hawatimizi. Mwenyekiti amegoma kujiuzulu na alitangaza mwaka huu anajiuzulu. Kwa nini waliondoa ukomo wa mwenyekiti kinyemela. Ni aibu kwa mtu mzima kukubali kudanganyika kirahisi hivyo na wanasiasa.
 
Ni hatari sana Mbowe kuwa na nguvu na mizizi kiasi hiki siku akidondoka ghafla kama JPM itatokea power struggle kubwa mnoo haijawahi shuhudiwa kwenye mfumo wa vyama vingi.

Ni vizuri ang'atuke akiwa kwenye peak Ili apatikane mrithi aweze mfanyia mentorship na kumrekebisha akiwa bado ana nguvu sio mpaka azidiwe na uzee ndio tuanze kuokoteza mwenyekiti.

Hii nafasi alikua anafaa sana SILINDE kabla ya kutoroka ila Kwa Sasa anafaa HECHE aisee CHADEMA itakua ya moto sana.

Mbowe apumzike asisubiri atolewe kwa aibu kama Mbatia au Lipumba!!
UTAANGALIWA USHAURI WAKO, LKN KWA SIASA ZA SAMIA AND CO.lTD BADO KIDOGO
 
Mbowe kuendelea kuwa mkt CDM ni kulinda tu chama kisipotezwe na mahasimu, hakuna mahusiano yoyote na Uchu wa madaraka.
 
Silinde angeukwaa uenyekiti na kununuliwa, je CDM ingekuwapo?
 
UTAANGALIWA USHAURI WAKO, LKN KWA SIASA ZA SAMIA AND CO.lTD BADO KIDOGO
Mkuu katika event Mbowe kaugua sana au bahati mbaya kafariki (MUNGU aepushe) hivi unadhani chama hakitopasuka kwenye kusaka mrithi?
 
Mbowe kuendelea kuwa mkt CDM ni kulinda tu chama kisipotezwe na mahasimu, hakuna mahusiano yoyote na Uchu wa madaraka.
Madikteta wote husema hivyo. Hujidai kuwa wengine hawawezi kuongoza ila wao. Kumbe tamaa ya madaraka. Hata JPM alianza kuwa na mtazamo hup.
 
Kwann asitamani urais atamani uenyekiti?

Tujifunze Kwa Nyerere,

Angekabidhi uenyekiti baada ya 5 yrs, Dira na maono yangebadilika.

Chama at least kishike Dola ndo aondoke.
 
Back
Top Bottom