kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Kwako nikweli huoni KATIBA ni ajenda kubwa Sana na kipekeeChadema inapaswa kuwa chama chenye mtazamo, misimamo, sera na fikra mbadala.
Kama chadema itakuwa inaakisi kinachofanywa na ccm basi uwepo wake utakuwa hauna maana.
Tunatarajia chadema iwe tofauti na ccm.
Kwasababu ajenda zote za chadema walizoibua siku zanyuma huko huzimwa na katiba iliyopo kupitia UCHAGUZI ,nadhani sasa chadema imekuja na mwarobaini wa chazo kikuu kinachokwamishaga wasiingie ikulu
Ukiachana na hilo juu ,hujanipa nilichoomba kufahamishwa chadema inawezekana ikawa na TISs wanaofanya KAZI na chadema ?
Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app