Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
Kijana ulikuwa na misimamo thabiti juu ya mwenyekiti na genge lake, mpaka chawa wa Mbowe walikuwa wakiona comment yako inayozungumzia uenyekiti wa Mbowe wanaichungulia kwa mbali na kuipita kama Hawaioni.Japo Mbowe bado anaonekana ana nguvu, mvuto, na kuaminiwa na wengi, hasa baada ya kufuta zile kelele za amelamba asali kwa kumtandika Samia na kitu kizito kichwani mpaka CCM wote wakaanza kulia...
Lakini kwa upande mwingine naona akiwepo mwenyekiti mpya aongoze Chadema mambo hayataharibika pia, anaweza kuja na ari mpya itakayokisukuma chama kusonga mbele zaidi, option zote mbili kwangu naziona sawa tu.
Lakini sasa kama waswahili wanavyosema kuwa hakuna mkate mgumu mbele ya chai. Kijana umelainika na mikwara ya jukwaani na kukubali kuwekwa mfukoni kwake.