Ujamaa ni mhimu
JF-Expert Member
- Sep 30, 2022
- 1,203
- 1,011
Unaogopaje kama wewe ni kamanda?? Acha utapeliii.Kila kitu lazima kiwe na kiongozi imara. Uoga wa watanzania, mi mi na wewe kuogopa risasi, kufungwa jela, kifo etc hatuwezi kutoboa bila kuwa na watu shupavu, wasio woga kama Mbowe..
Kapewa UDCHuyu kijana msaliti yuko wapi nowadays> Alimtoa kuzimu akampandisha Ahera ahalafu akamsaliti!
Hata mwendazake jiwe mlitaka kumbakisha ili akamilishe miradi ila Mungu alivyofundi sasa! The rest is history.Madikteta wote husema ngoja nikamilishe hiki. Ngoja ni kamilishe kile. Mwisho hutawala maisha. Mbowe alitamka kuwa mwaka 2023 anaachia kiti. Kama CDM ni wapinzani wa maana tunataka kuona hilo.
Team ya chadema ipo vizuri, inafaa kuendelea ilivyo , twende kazi naunga mkonoNakazia tu alichokisema mtu humu JF, kama Kitila na Zitto Kabwe wangelifanikwa kumng'oa Mbowe kwenye uenyekiti, CHADEMA lingekuwa Tawi la CCM. Rabbon
Kwa muktadha huo, Mbowe haondoki kwenye uenyekiti mpaka tupate katiba Mpya na Tume huru!
Take Note: Wenye uwezo CHADEMA ni wengi. Lissu, Heche, Lema, Msigwa and many others, lakini ngoja awepo awepo kukamilisha safari aliyoianzisha ya demokrasi at national level government.
Erythrocyte
Naunga mkono HOJA!!!Nakazia tu alichokisema mtu humu JF, kama Kitila na Zitto Kabwe wangelifanikwa kumng'oa Mbowe kwenye uenyekiti, CHADEMA lingekuwa Tawi la CCM. Rabbon
Kwa muktadha huo, Mbowe haondoki kwenye uenyekiti mpaka tupate katiba Mpya na Tume huru!
Take Note: Wenye uwezo CHADEMA ni wengi. Lissu, Heche, Lema, Msigwa and many others, lakini ngoja awepo awepo kukamilisha safari aliyoianzisha ya demokrasi at national level government.
Erythrocyte
Kwa hiyo Mbowe anamuiga Mwendazake?Hata mwendazake jiwe mlitaka kumbakisha ili akamilishe miradi ila Mungu alivyofundi sasa! The rest is history.
Ni hatari sana Mbowe kuwa na nguvu na mizizi kiasi hiki siku akidondoka ghafla kama JPM itatokea power struggle kubwa mnoo haijawahi shuhudiwa kwenye mfumo wa vyama vingi.Nakazia tu alichokisema mtu humu JF, kama Kitila na Zitto Kabwe wangelifanikwa kumng'oa Mbowe kwenye uenyekiti, CHADEMA lingekuwa Tawi la CCM. Rabbon
Kwa muktadha huo, Mbowe haondoki kwenye uenyekiti mpaka tupate katiba Mpya na Tume huru!
Take Note: Wenye uwezo CHADEMA ni wengi. Lissu, Heche, Lema, Msigwa and many others, lakini ngoja awepo awepo kukamilisha safari aliyoianzisha ya demokrasi at national level government.
Erythrocyte
Dikiteta mboweNakazia tu alichokisema mtu humu JF, kama Kitila na Zitto Kabwe wangelifanikwa kumng'oa Mbowe kwenye uenyekiti, CHADEMA lingekuwa Tawi la CCM. Rabbon
Kwa muktadha huo, Mbowe haondoki kwenye uenyekiti mpaka tupate katiba Mpya na Tume huru!
Take Note: Wenye uwezo CHADEMA ni wengi. Lissu, Heche, Lema, Msigwa and many others, lakini ngoja awepo awepo kukamilisha safari aliyoianzisha ya demokrasi at national level government.
Erythrocyte
CDM inaongoza Kwa DEMOKRASIA.Kwa hiyo Mbowe anamuiga Mwendazake?
Nadhani ni DC Nkasi huko, alipelekwa kuhakikisha anamdhibiti mbunge wa CHADEMA asifurukute Hadi 2025.Huyu kijana msaliti yuko wapi nowadays> Alimtoa kuzimu akampandisha Ahera ahalafu akamsaliti!
Waonyeshe hiyo demokrasia sasa si uongo uongo eti tukishika nchi....unaamini watatimiza hilo wakati kauli zao za sasa hawatimizi. Mwenyekiti amegoma kujiuzulu na alitangaza mwaka huu anajiuzulu. Kwa nini waliondoa ukomo wa mwenyekiti kinyemela. Ni aibu kwa mtu mzima kukubali kudanganyika kirahisi hivyo na wanasiasa.CDM inaongiza Kwa DEMOKRASIA.
Ni chama pekee kilichotangaza wazi kuwa kikishika Dola, Rais Kutoka CDM hatokuwa mwenyekiti wa wa chama Kwa kofia mbili!!
CCCm jambo Hilo la kutenga kofia ya Urais na mkt hawaezi thubutu.
UTAANGALIWA USHAURI WAKO, LKN KWA SIASA ZA SAMIA AND CO.lTD BADO KIDOGONi hatari sana Mbowe kuwa na nguvu na mizizi kiasi hiki siku akidondoka ghafla kama JPM itatokea power struggle kubwa mnoo haijawahi shuhudiwa kwenye mfumo wa vyama vingi.
Ni vizuri ang'atuke akiwa kwenye peak Ili apatikane mrithi aweze mfanyia mentorship na kumrekebisha akiwa bado ana nguvu sio mpaka azidiwe na uzee ndio tuanze kuokoteza mwenyekiti.
Hii nafasi alikua anafaa sana SILINDE kabla ya kutoroka ila Kwa Sasa anafaa HECHE aisee CHADEMA itakua ya moto sana.
Mbowe apumzike asisubiri atolewe kwa aibu kama Mbatia au Lipumba!!
Mbowe kuendelea kuwa mkt CDM ni kulinda tu chama kisipotezwe na mahasimu, hakuna mahusiano yoyote na Uchu wa madaraka.Waonyeshe hiyo demokrasia sasa si uongo uongo eti tukishika nchi....unaamini watatimiza hilo wakati kauli zao za sasa hawatimizi. Mwenyekiti amegoma kujiuzulu na alitangaza mwaka huu anajiuzulu. Kwa nini waliondoa ukomo wa mwenyekiti kinyemela. Ni aibu kwa mtu mzima kukubali kudanganyika kirahisi hivyo na wanasiasa.
Silinde angeukwaa uenyekiti na kununuliwa, je CDM ingekuwapo?Ni hatari sana Mbowe kuwa na nguvu na mizizi kiasi hiki siku akidondoka ghafla kama JPM itatokea power struggle kubwa mnoo haijawahi shuhudiwa kwenye mfumo wa vyama vingi.
Ni vizuri ang'atuke akiwa kwenye peak Ili apatikane mrithi aweze mfanyia mentorship na kumrekebisha akiwa bado ana nguvu sio mpaka azidiwe na uzee ndio tuanze kuokoteza mwenyekiti.
Hii nafasi alikua anafaa sana SILINDE kabla ya kutoroka ila Kwa Sasa anafaa HECHE aisee CHADEMA itakua ya moto sana.
Mbowe apumzike asisubiri atolewe kwa aibu kama Mbatia au Lipumba!!
Mkuu katika event Mbowe kaugua sana au bahati mbaya kafariki (MUNGU aepushe) hivi unadhani chama hakitopasuka kwenye kusaka mrithi?UTAANGALIWA USHAURI WAKO, LKN KWA SIASA ZA SAMIA AND CO.lTD BADO KIDOGO
Madikteta wote husema hivyo. Hujidai kuwa wengine hawawezi kuongoza ila wao. Kumbe tamaa ya madaraka. Hata JPM alianza kuwa na mtazamo hup.Mbowe kuendelea kuwa mkt CDM ni kulinda tu chama kisipotezwe na mahasimu, hakuna mahusiano yoyote na Uchu wa madaraka.
Mbowe Si Dikteta,Dikiteta mbowe
Kwann asitamani urais atamani uenyekiti?Madikteta wote husema hivyo. Hujidai kuwa wengine hawawezi kuongoza ila wao. Kumbe tamaa ya madaraka. Hata JPM alianza kuwa na mtazamo hup.