Mbowe haondoki kwenye Uenyekiti mpaka tupate Katiba Mpya na Tume huru

Kijana ulikuwa na misimamo thabiti juu ya mwenyekiti na genge lake, mpaka chawa wa Mbowe walikuwa wakiona comment yako inayozungumzia uenyekiti wa Mbowe wanaichungulia kwa mbali na kuipita kama Hawaioni.

Lakini sasa kama waswahili wanavyosema kuwa hakuna mkate mgumu mbele ya chai. Kijana umelainika na mikwara ya jukwaani na kukubali kuwekwa mfukoni kwake.
 
Silinde angeukwaa uenyekiti na kununuliwa, je CDM ingekuwapo?
Sense of responsibility ingemzuia, hata Mbowe kuna vitu alitamani compromise mfano maridhiano, wabunge viti Maalum, serikali ya mseto n.k ila kamati kuu ikamjia juu ikabidi apotezee so hata SILINDE angekua mwenyekiti angekua loyal sio sababu anaipenda sana CHADEMA ila level ya majukumu aliyonayo ingemforce hivyo.
 
Acha uongo,

Mbowe Hana mfuko mkubwa kiasi hicho kutununua.

Misimamo yetu ni Kwa utashi wetu.
 
Vipi kuhusu Zittow, wa Jina wako?

Asingebadilika yule ndumilakuwili?
 
Dikiteta mbowe
Mwanademokrasia Nyerere muasisi wa Tanu na CCM,

Alikaa nafasi ya uenyekiti maisha yake yote.

Mbeba Dira ya chama, ni kosa kubwa sana kuwaachia wengine kabla ya kuaccomplish mission.
 
Acha uongo,

Mbowe Hana mfuko mkubwa kiasi hicho kutununua.

Misimamo yetu ni Kwa utashi wetu.
Moyo wa mtu msitu. Mnunuaji na walionunuliwa wote wameficha Siri zao mioyoni.
 
Eee!! Yamekuwa hayo tena!?
 
Mbowe Si Dikteta,

Ndomana halazimishi kugombea urais, anawaachia wengine Yeye anaimarisha chama.

Mbowe ni MZALENDO, aungwe mkono.
Mbowe ni jizi, jambazi, uaji, dikiteta, muhuni, mlevi, shetani, ibilisi, kengeza, gaidi, etc linatakiwa kuwa gerezani likitumikia kifungo cha maisha au likisubiri kunyongwa na kufa kabisa
 
Chadema imesukika na kusukwa hata Mbowe akiondoka leo ile chama haiwezi pata shida ina watu na wametengeza watu ila structure yao ya uongonzi sio ya mchezo
 
Mkuu katika event Mbowe kaugua sana au bahati mbaya kafariki (MUNGU aepushe) hivi unadhani chama hakitopasuka kwenye kusaka mrithi?
Hapana, Lisu kila mmoja anamkubali.....atashik usukani vema kabisa. Kuna watu waliokataa kuongwa mamilioni na magufuli, hao hawawezi kugombea madaraka..... Mtu aliitiwa several bilions akakataa, leo agombee uenyekiti NEVER! Erythrocyte naomba maoni yako
 
Yaani unalitetea dikiteta na uaji? Eti kwenye peak!!!
 
Hivi nijibuni maana hua sielewi

Brother freeman aikael mbowe ni jasusi au Kuna kikundi Cha wanaTiss nchini wanafanya KAZI za chadema ?

Haiwezekani ,mapandikizi yote hudondokea pua au Mtangeneza katiba tundu Lisu ndie alikarabati uimara wa Chama na misingi yake

Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
 
Unafahamu kwamba nafasi ya mwenyekiti wa ccm ni ya kudumu (achana na jina la anayekuwa mwenyekiti nasema nafasi )

Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
 
Unafahamu kwamba nafasi ya mwenyekiti wa ccm ni ya kudumu (achana na jina la anayekuwa mwenyekiti nasema nafasi )

Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
Chadema inapaswa kuwa chama chenye mtazamo, misimamo, sera na fikra mbadala.

Kama chadema itakuwa inaakisi kinachofanywa na ccm basi uwepo wake utakuwa hauna maana.

Tunatarajia chadema iwe tofauti na ccm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…