kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Kwako nikweli huoni KATIBA ni ajenda kubwa Sana na kipekeeChadema inapaswa kuwa chama chenye mtazamo, misimamo, sera na fikra mbadala.
Kama chadema itakuwa inaakisi kinachofanywa na ccm basi uwepo wake utakuwa hauna maana.
Tunatarajia chadema iwe tofauti na ccm.
well saidChadema inapaswa kuwa chama chenye mtazamo, misimamo, sera na fikra mbadala.
Kama chadema itakuwa inaakisi kinachofanywa na ccm basi uwepo wake utakuwa hauna maana.
Tunatarajia chadema iwe tofauti na ccm.
Dr Slaa Alisha groom Zitto na Mnyika kuwa Mwenyekiti na Katibu Mkuu. Sema tu Zitto alikua na haraka haraka Sasa kakosa yote angebakia CHADEMA angekua popular kuliko hata Lissu au Mbowe angekua ndio sura ya chama na mgombea Urais.Vipi kuhusu Zittow, wa Jina wako?
Asingebadilika yule ndumilakuwili?
Kamuua nani? Hivi aue angekua uraiani? CCM walimfunga kisa uchochezi ndio sembuse mauaji?Yaani unalitetea dikiteta na uaji? Eti kwenye peak!!!
Ndo nafasi ya mkt shilingi isichezewe kwenye Tundu la choo.Dr Slaa Alisha groom Zitto na Mnyika kuwa Mwenyekiti na Katibu Mkuu. Sema tu Zitto alikua na haraka haraka Sasa kakosa yote angebakia CHADEMA angekua popular kuliko hata Lissu au Mbowe angekua ndio sura ya chama na mgombea Urais.
Sema ndio hivo tamaa ilimponza fisi
Sio kweli, wale moderates wanamhofia Lissu maana havumilii ujinga so chama kitakua hakiishi migogoro na kufukuzana Kila siku.Hapana, Lisu kila mmoja anamkubali
Siyo hawezi kuiga tu, katekeleza kabisa wakati Mwendazake hakufanya hayo. Mbowe ni dikteta zaidi ya Mwendazake.Mbowe hawezi kuiga Uj*nga. Point ni kuwa Mwendazake alikuwa dikteta kama ulivyotolea mfano katika comment yako.
Heche hana commanding heights, ie hana natural acceptance by the mass. Ni mzuri sana kujenga hoja, but kuna ile kitu inaitwa spontaneous love and acceptance ambayo nadhani Lisu anayo hata kwenye chama chake.Sio kweli, wale moderates wanamhofia Lissu maana havumilii ujinga so chama kitakua hakiishi migogoro na kufukuzana Kila siku.
Hata Dr Slaa alifaa ukatibu sio uenyekiti, yaani lazima mwenyekiti awe mtu neutral siyo radical au laissez-faire ila moderate kitu ambacho Mbowe ameweza sana ndio maana chama kimevuka migogoro mikubwa bila kupasuka ila ingekua Lissu angesema tu "fukuza wote".
Having said this, mtu anayefaa uenyekiti ni Heche, ila Lissu atafaa ukatibu mkuu maana chama kitapaa sana then Mnyika sababu ni moderate awe makamu mwenyekiti bara that's it.
Yule singe Benson awe Katibu muenezi kuliko yule Mremba ambaye mambo ya uenezi hawezi kabisa.
una chuki binafsiSiyo hawezi kuiga tu, katekeleza kabisa wakati Mwendazake hakufanya hayo. Mbowe ni dikteta zaidi ya Mwendazake.
Kama Waitara aliyetairiwa bila ganzi alifika Bei, hata Heche simuamini maana njaa Haina bouncer.Sio kweli, wale moderates wanamhofia Lissu maana havumilii ujinga so chama kitakua hakiishi migogoro na kufukuzana Kila siku.
Hata Dr Slaa alifaa ukatibu sio uenyekiti, yaani lazima mwenyekiti awe mtu neutral siyo radical au laissez-faire ila moderate kitu ambacho Mbowe ameweza sana ndio maana chama kimevuka migogoro mikubwa bila kupasuka ila ingekua Lissu angesema tu "fukuza wote".
Having said this, mtu anayefaa uenyekiti ni Heche, ila Lissu atafaa ukatibu mkuu maana chama kitapaa sana then Mnyika sababu ni moderate awe makamu mwenyekiti bara that's it.
Yule singe Benson awe Katibu muenezi kuliko yule Mremba ambaye mambo ya uenezi hawezi kabisa.
Hapana, Heche is tested and proved loyal. Wakati wake Bavicha ilipaa sana na imezalisha sio tu wanasiasa wa upinzani wengi ila mpaka manaibu waziri.Heche simuamini
If that is the case Kwa Heche, Apewe ukatibu mkuu kama Mnyika amepoa.Hapana, Heche is tested and proved loyal. Wakati wake Bavicha ilipaa sana na imezalisha sio tu wanasiasa wa upinzani wengi ila mpaka manaibu waziri.
HECHE pia ataizatiti CHADEMA Kanda ya ziwa maana Mara imekua ikiongoza kuunga mkono harakati za CHADEMA so kupeleka kiti kule Kuna impact zaidi.
On the contrary, waitara ni mhuni tu hata 2010 aliuza Jimbo la tarime na 2015 alikua amekubali pesa za Jerry Slaa ila nguvu ya umma ikazuia hilo.
So hakuwahi kuwa loyal so asingeweza fikiriwa nafasi nyeti kama hiyo.
una chuki binafsi
Si Mbowe tu. Viongozi karibu wote wa upinzani ni madikteta wakubwa. Ni viongozi wa maisha kwenye vyama vyao. Hii ni moja ya sababu hakuna mtu mwenye akili zake atawachukulia wapinzani serious nchi hii.una chuki binafsi
NAUNGA MKONO HOJANakazia tu alichokisema mtu humu JF, kama Kitila na Zitto Kabwe wangelifanikwa kumng'oa Mbowe kwenye uenyekiti, CHADEMA lingekuwa Tawi la CCM. Rabbon
Kwa muktadha huo, Mbowe haondoki kwenye uenyekiti mpaka tupate katiba Mpya na Tume huru!
Take Note: Wenye uwezo CHADEMA ni wengi. Lissu, Heche, Lema, Msigwa and many others, lakini ngoja awepo awepo kukamilisha safari aliyoianzisha ya demokrasi at national level government.
Erythrocyte
unataka wawekwe wa kununuliwa kama lipumba? hakunaSi Mbowe tu. Viongozi karibu wote wa upinzani ni madikteta wakubwa. Ni viongozi wa maisha kwenye vyama vyao. Hii ni moja ya sababu hakuna mtu mwenye akili zake atawachukulia wapinzani serious nchi hii.
Lipumba, Mbowe, Zitto, Mtikila, Mbatia et wanatofauti gani?unataka wawekwe wa kununuliwa kama lipumba? hakuna
Kama huoni tofauti, basi muulize Wasira, think tank wenuLipumba, Mbowe, Zitto, Mtikila, Mbatia et wanatofauti gani?
Sajili chama mbadala wa CDM kinachokidhi vigezo vyako tukuunge mkono🙏🙏Kwa haraka haraka unaweza kudhani cdm ni chama makini, Ila ukituliza akili na ukaondoa mihemko utabaini ni chama kinachoendeshwa na wahuni wenye target zao Binafsi.
Wanayohubiri kuyataka yafanyike kitaifa yamewashinda wao ndani ya chama.
% kubwa ya Wafuasi wao ni vijana ambao bado wanamihemko ya ujana pia ni watu wenye kipato kidogo, hawa ni rahisi sana kuwaendesha unavyotaka, wakikukubali hawanaga muda wa kukukosoa wala kuhoji.